Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Wakuu kuna uwekazeno hili jimbo la khersan warusi wakalifanya kuwa taifa huru
paratroopers wako mpaka leo kiev vip na ndungu yangu mlituamisha nato wataingilia kati lakin sio kituLeo ni ijumaa nyingine, Ndugu zetu warusi wa Tanzania, msafara umefika wapi?
leo ni siku ya 20🤣🤣🤣🤣, nakumbuka tarehe 24 Feb mlipeleka hadi paratroopers pale Kiev, walikimbia au walikula kichapo cha mbwa koko?
Acha dhihaka na UislamuBasi pale Ukraine itakua mtihani kama hawaendi kumfia allah na muddy eti wanaenda wamfie Putin.
Acha dhihaka na UislamuBasi pale Ukraine itakua mtihani kama hawaendi kumfia allah na muddy eti wanaenda wamfie Putin.
Chukua propaganda nyingine hizi kutoka vyombo vya habari vya Russia (REUTERS na ALJAZEERA) 🙃🙃🙃🙃Wewe endelea kuleta propaganda zako huku huko grounds Chui wa Karatasi Mrusi anachapika.
Nafuatilia sana tu jamaa yangu. Issue ya kukutana imeshaongelewa sana lakini bado Russia aliendelea kushambulia. Sasahivi ndio ionekane ndio sababu!!! LAAHASHA, NGOMA IMEKUWA NZITO KWAKE.Wapo kwenye mazungumzo probably final Zelensky na Putin kuna uwezekano wakakutana ana kwa ana kwa final talks uwe unasikiliza na kufatilia vizuri taarifa
Kwani anatumia bando lako,?Kama anakuboa acha kumfuatilia,Ila jua Kuna wanaomfatiliaWenye akili na maarifa wataacha kufuatilia uzi huu, haiwezekani watu wazima wenye akili timamu wachangie uzi huu wenye 'vilaza' kama ganga zumba nk.
Yaani mtu anaokota picha hovyo hovyo analeta kama facts, hizi vocha za kupewa na shemeji zinatuharibia JF, yaani kuna watu ni viazi sijapata kuona.
Kabla ya Kipigo (January 11): Suala la Ukraine kujiunga NATO halitatumika kama kigezo cha kubageni ktk mazungumzo na Russia (lazima tujiunge NATO, ni uhuru na haki yetu)Nafuatilia sana tu jamaa yangu. Issue ya kukutana imeshaongelewa sana lakini bado Russia aliendelea kushambulia. Sasahivi ndio ionekane ndio sababu!!! LAAHASHA, NGOMA IMEKUWA NZITO KWAKE.
Si mnajifanya kumsujudia Putin zaidi ya muddyAcha dhihaka na Uislamu
Ongea yanayokuhusu
Madam nishakujua lengo lko wala sipati tabuSi mnajifanya kumsujudia Putin zaidi ya muddy