myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mambo magumu wa wasoshalist...
Kichafu chafu[emoji1787] tena kigodoro cha kuazima kishachanikia vitani
Apa una maana ya nguvu ya dollar as currency au nguvu ya dollar kama "Mamlaka"?Ila nguvu ya dollar brother sio rahisi kwa hii miaka 30 inayofuatia.
Dollar kama currency.Apa una maana ya nguvu ya dollar as currency au nguvu ya dollar kama "Mamlaka"?
Kama una maana ya kwanza, nikuhoji swali rafiki...
Unafaham how currency value is decided? Unaeza kutofautisha kati ya Popular currency, Most Valued Currency na Stable Currency?
Unajua kwamba vita imesimama? Kashindwa izunguka Kyiv kashindwa ichukua pwani ya bahari nyeusi kuanzia Odesa mpaka MoldovaHuu nao uongo mwingine
Acha uwongo vita gani iyo iliyosimamaUnajua kwamba vita imesimama? Kashindwa izunguka Kyiv kashindwa ichukua pwani ya bahari nyeusi kuanzia Odesa mpaka Moldova
Hana upungufu wa Manpower Ammunition na mafuta na Logistics mbovu kuwafikia askari wake mstari wa mbele....kabaki anapiga mizinga kubomoa miji ya Ukraine
Kafuatilie basi kama unadhani Mimi Muongo Maafisa wa Ukraine waliuingilia mfumo wa Mawasiliano ya Mageneral wa Urusi wakafahamu maeneo walipo wakawafuata na wakawaua wao na Maafisa wajuu
Kiasi sa hivi hawatumii mfumo huo tena wanatumia simu za kawaida tunazotumia kuchat na kuwasiliana
South Africa's Ramaphosa blames NATO for Ukraine war
Yes imesimama no Progress anafyatua tu Mizinga kubomoa majengo ya miji na kumbi za kitamaduni.....na muda wake ambao aliuweka kuwa Kyiv itakuwa chini yake umeishaAcha uwongo vita gani iyo iliyosimama
Basi ka una maana ya dollar kama Currency binafs nikiangalia mambo yanavoenda ninaeza kuungana na yule jamaa...Dollar kama currency.
Naomba nikujibu kiongozi kama ifuatavyo:Apa una maana ya nguvu ya dollar as currency au nguvu ya dollar kama "Mamlaka"?
Kama una maana ya kwanza, nikuhoji swali rafiki...
Unafaham how currency value is decided? Unaeza kutofautisha kati ya Popular currency, Most Valued Currency na Stable Currency?
Naam nimekupata vyema hakika... Umeelezea vizuri...Naomba nikujibu kiongozi kama ifuatavyo:
Thamani ya pesa inapatikanaje?
Baada ya mwaka 1770, real money iliyokuwa inasapotiwa na commodities kama kama dhahabu au madini fedha ilibadilishwa.
Hivyo Dunia tukaanza kutumia currency ambayo ni Fiat money.
Currency tuliitohoa kutoka neno current katika umeme (electric current).
Hivyo thamani ya pesa itaongezeka au kupungua kutoka na mzunguko wa pesa hiyo katika mifumo.
Kumbuka pesa ya Sasa ni karatasi tu, lisilo na thamani ila thamani yake hubebwa na rate itakavyo zunguka sokoni.
Pesa ya zamani ilikuwa halisi hivyo haikupungua thamani Wala kuongezeka kisa uhitaji wa soko.
Hivyo njia itumikayo kuipa thamani pesa yoyote duniani ziko njia mbili:
(1)fixed rate
Hii ni njia ambayo pesa inakuwa assigned to certain value na haibadiliki hovyo hovyo.
Inatumika sana kwenye controlled economy.
Mfano; Tanzania enzi za Nyerere ilikuwa 1usd=5Tsh na ilikuwa haibadiliki na sehemu pekee pa kubadilishia ilikuwa benki kuu.
(2) Floating rate
Kifupi tu, thamani ya hii pesa inategemea nguvu ya soko na kiwango chale kinavyozunguka sokoni.
Kama ulivyo umeme bila kuzunguka kwa zile charges hakuna umeme na ndivyo Haina hii inavyofanya kazi.
Mfano pesa ya Marekani Ina thamani kubwa, kwa sababu pesa yake Ina mzunguko mkubwa duniani, na ya Tanzania Ina mzunguko mdogo duniani na hata thamani yake ni ndogo.
Kumbuka mifumo yote miwili inatumika na nchi mbalimbali duniani, hivyo usishangae pesa yetu ya Tanzania Ina thamani kuliko nchi nyingi dhaifu hapa Afrika.
Umeghusia pia popular currency, nadhani ni pesa maarufu mfano USD, Yuan, Yen, Sterling pound, Rand ya afrika kusini hata rupia ya India.
Kumbuka umeghusia ni maarufu, na umaarufu unategemea na sehemu gani upo duniani.
Stable currency
Ni aina ya pesa ambayo thamani yake haibadiliki badiliki ndani ya muda mfupi.
Na aina hii ya fedha hupendelewa na wawekezaji.
Kutokubadilika badiliki pia huonyesha uimara wa pesa.
Mfano:swiss franc
Most valued currency
Pesa yenye thamani kubwa, kumbuka aina hii ya pesa haimaanishi ndio pesa itumikayo zaidi.
Mfano: Kuwait dinar ni pesa yenye thamani kubwa.
Nafikiri nimejibu vema.
Unafikiri kwa nini nimesema sidhani kama pesa ya Marekani katika kipindi Cha miaka 30 ijayo itaendelea kutamba?
Kwa sababu ndio global reserve currency ambayo Bado nchi nyingi uhifadhi pesa Yao.
Lakini pia ndio hutumika kama base kwenye international foreign exchange market.
Naomba kuwasilisha.
Malengo ya Russia ni hayaNimesikia wachambuzi wa Dw Jioni hii wanasema ni wazi Ukraine itashindwa hii vita maana hawana msaada wa moja kwa moja kutoka Nato
Karudie kusoma ulichoandikaUnajua kwamba vita imesimama? Kashindwa izunguka Kyiv kashindwa ichukua pwani ya bahari nyeusi kuanzia Odesa mpaka Moldova
Hana upungufu wa Manpower Ammunition na mafuta na Logistics mbovu kuwafikia askari wake mstari wa mbele....kabaki anapiga mizinga kubomoa miji ya Ukraine
Kafuatilie basi kama unadhani Mimi Muongo Maafisa wa Ukraine waliuingilia mfumo wa Mawasiliano ya Mageneral wa Urusi wakafahamu maeneo walipo wakawafuata na wakawaua wao na Maafisa wajuu
Kiasi sa hivi hawatumii mfumo huo tena wanatumia simu za kawaida tunazotumia kuchat na kuwasiliana
Wahi Milembe haraka sana.Yes imesimama no Progress anafyatua tu Mizinga kubomoa majengo ya miji na kumbi za kitamaduni.....na muda wake ambao aliuweka kuwa Kyiv itakuwa chini yake umeisha
Kwamba unajua Russian elites wengi wanatoroka nchi Yao wanaenda hamia Tibiris kujaribu kukwepa ugumu wa maisha na vikwazo vya kiuchumi
Hail Putin na anguko la Urusi
Watu wenye mawazo ya kufanana , huwa wanajuana ila kwenye hii field pia nipo kiongozi.Naam nimekupata vyema hakika... Umeelezea vizuri...
Af ngoja kwanza nicheke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wakati nipo najipinda "mwandiko" na ww uko wajipinda "mwandiko" [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ajabu maelezo kwa kiasi kikubwa yanafanana apo umekamilisha ule msemo wa "Great mind think alike" [emoji3577]
Kongole jomba [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]... Nimejifunza pia. Anyway wacha tuone kitakachotokea uko mbeleni.
Nikuulize tena swali la kizushi... Em nambie kwanini nchi nyingi zinatumia Dollar and other stable currency vile vile Gold kama reserve?Watu wenye mawazo ya kufanana , huwa wanajuana ila kwenye hii field pia nipo kiongozi.