myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaAmbacho unajifanya hujui ni kwamba US ndio aliwapa silaha Mujahideen tena kwa waziwazi na kwa shipments nyingi waitoe Soviet Union hapo Afghanistan. Zile helikopta zao zilizokuwa zinadondoka ni kazi ya Stinger MANPADS from US arsenal. Mambo ya kawaida haya, hata leo Marekani anatoa silaha waziwazi kabisa kwa Ukraine na anatangaza View attachment 2154602