Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Habari zenu wenzangu wanaJF.

Habari zao wenyewe wanaopigana zinaonyesha hii ni vita moja ambayo sheria walizotutungia dunia wamezitupilia mbali. Yaani nahisi ndo kipimo cha chuki kilipofikia. Vikwazo vimevunja hadi sheria ndani ya nchi inayotoa vikwazo...
Habari za majeshi ndani ya mahospitali nk yanatokea mara kadhaa... hii ni kutumia raia kama kinga.

Hii vita pia inapiganiwa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari - lengo kuu kulazimisha dunia kumchukia mrusi na kuunga mkono wa magharibi. Uongo mwingi sana tunatupiwa, usipochunguza unafuata mkumbo haraka sana manake mavideo na mapicha makali. Tunasahau photoshop nk

Nimemsikia mmarekani akitangazia dunia mrusi anataka kutumia silaha za kibailojia zaidi ya mara moja. Sikuelewa kwa nini hadi nilipomsikia huyu mbunge wa zamani wa Marekani akiongelea mitambo inayolipiwa labda hata kumilikiwa na mmarekani ya kutafiti silaha za kibailojia - kwa hiyo zimejaa madudu ya kuundia silaha hizo. Kama historia yake mmagharibi - ana uwezo wa kutupa yeye mabomu akimsingizia mrusi. Pia putin alivowashtaki wanatengeneza mabomu, walimbishia na kumbeza .... michezo ile ile michafu ILI sisi duniani tuwashangilie, kisa tunameza taarifa zao za habari kuliko za putin

Kwa kweli hii vita wamagharibi wamekuja na hisia na ubaguzi kuliko maarifa na uungwana. Hawaonyeshi kujali athari za kiuchumi duniani zinazosababishwa na ubishani ILA wanaonyesha kujali sana kutoa taarifa wanazotaka wao na kuungwa mkono kwa nguvu. Tafakari marekani na ulaya vitu vinapanda bei kama urusi walikompa vikwazo, serikali hazijali hilo - macho yameiva mekundu ni kutoa pumzi kali na hela kibao vitani.

Hawawajali watu wao sembuse sisi? Waafrika hii ni vita, sawa ya kuicheki na kuichora, ila tutajisaidia sana tukiamka tukalima ngano nyingi na mazao ya kutulisha... kuna njaa itakuja

1647540071985.jpeg

Tulsi Gabbard labeled a "Russian asset" for pushing U.S. biolabs in Ukraine claim

1647540159836.jpeg

Habari
Wandugu Rais Putin amesaini na imewekwa sheria kwa aliyeko russia na kwingineko duniani ukikutwa umetaja neno vita badala ya operation maalumu ni kosa na unakwenda jera miaka 15 na ukiandamana kupinga pia operation unakwenda miaka 15 jera .....msije kusema haukujua .....
Kwa Sababu Russia ikianza vita Kila kitu kinaharibiwa
 
Habari zenu wenzangu wanaJF.

Habari zao wenyewe wanaopigana zinaonyesha hii ni vita moja ambayo sheria walizotutungia dunia wamezitupilia mbali. Yaani nahisi ndo kipimo cha chuki kilipofikia. Vikwazo vimevunja hadi sheria ndani ya nchi inayotoa vikwazo...
Habari za majeshi ndani ya mahospitali nk yanatokea mara kadhaa... hii ni kutumia raia kama kinga.

Hii vita pia inapiganiwa mtandaoni na kwenye vyombo vya habari - lengo kuu kulazimisha dunia kumchukia mrusi na kuunga mkono wa magharibi. Uongo mwingi sana tunatupiwa, usipochunguza unafuata mkumbo haraka sana manake mavideo na mapicha makali. Tunasahau photoshop nk

Nimemsikia mmarekani akitangazia dunia mrusi anataka kutumia silaha za kibailojia zaidi ya mara moja. Sikuelewa kwa nini hadi nilipomsikia huyu mbunge wa zamani wa Marekani akiongelea mitambo inayolipiwa labda hata kumilikiwa na mmarekani ya kutafiti silaha za kibailojia - kwa hiyo zimejaa madudu ya kuundia silaha hizo. Kama historia yake mmagharibi - ana uwezo wa kutupa yeye mabomu akimsingizia mrusi. Pia putin alivowashtaki wanatengeneza mabomu, walimbishia na kumbeza .... michezo ile ile michafu ILI sisi duniani tuwashangilie, kisa tunameza taarifa zao za habari kuliko za putin

Kwa kweli hii vita wamagharibi wamekuja na hisia na ubaguzi kuliko maarifa na uungwana. Hawaonyeshi kujali athari za kiuchumi duniani zinazosababishwa na ubishani ILA wanaonyesha kujali sana kutoa taarifa wanazotaka wao na kuungwa mkono kwa nguvu. Tafakari marekani na ulaya vitu vinapanda bei kama urusi walikompa vikwazo, serikali hazijali hilo - macho yameiva mekundu ni kutoa pumzi kali na hela kibao vitani.

Hawawajali watu wao sembuse sisi? Waafrika hii ni vita, sawa ya kuicheki na kuichora, ila tutajisaidia sana tukiamka tukalima ngano nyingi na mazao ya kutulisha... kuna njaa itakuja

View attachment 2154549
Tulsi Gabbard labeled a "Russian asset" for pushing U.S. biolabs in Ukraine claim

View attachment 2154552

Ooooooh mama
 
NI silaha gani Kali ambazo mpaka sasa haijatumia kwenye hii Vita?! Au unataka watumie nyuklia au chemical weapons?! Maana masilaha yake mazito mazito karibu yote kashatumia kuanzia thermobaric bombs,cluster bombs,iskander missiles,kalibr missiles, artillery shells,nk.
Ukweli usemwe tu kwamba kwenye Vita hii Urusi imeonyesha udhaifu mkubwa sana.
Leta ushahidi wa hizo silaha kutumika nchini Ukraine.

Mpaka sasa kwa mujibu wa takwimu za CIA mpaka sasa Urusi imerusha makombora 800 kati ya hayo hakuna hata kombora moja lenye mlipuko wa uzito angalau wa kilo 500 wakati Urusi ina makombora yenye uzito wa tani 3.

Haya niambie Urusi akija kuanza kutumia makombora yenye uzito hata wa tani moja siya takuwa maafa?

Leo shirika la kijasusi la Uingereza ambao ni maadui wa Urusi wamekili ya kwamba Urusi inatumia silaha za kizamani ww unapinga kama nani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji635] "Azov, bitch! People were leaving - "Azov" shot, people! They shot columns of civilians who tried to go to Volodarsk - they shot buses!"

Civilians who escaped from Mariupol talk about the horrors they had to endure during the city battles.

According to them, there are many dead civilians in the city, who have no one to bury. Radicals from the Ukrainian "Azov Regiment" repeatedly disrupted the evacuation of civilians, shooting those who tried to leave the city.

[emoji1255][emoji635] "Azov, bitch! Watu walikuwa wakiondoka - "Azov" waliwapiga watu! Walipiga nguzo za raia ambao walijaribu kwenda Volodarsk - walipiga risasi mabasi!

Raia ambao walitoroka kutoka Mariupol wanazungumza juu ya maovu ambayo walilazimika kuvumilia wakati wa vita ikiendelea.

Kulingana na wao, kuna raia wengi waliokufa katika jiji hilo, ambao hawana mtu wa kuzika. Radicals kutoka "Kikosi cha Azov" cha Kiukreni kilivuruga mara kwa mara uhamishaji wa raia, wakiwapiga risasi wale waliojaribu kuondoka jijini.

[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856] Ila media hazitangazi.
 
Mwenzio huyo Mjuzi wa mambo kushinda hao CIA [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] kwanza CIA ni ya "Kirusi" wanajisifia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Urusi "kachakazwa" vibaya....

[emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
 
Leta ushahidi wa hizo silaha kutumika nchini Ukraine.

Mpaka sasa kwa mujibu wa takwimu za CIA mpaka sasa Urusi imerusha makombora 800 kati ya hayo hakuna hata kombora moja lenye mlipuko wa uzito angalau wa kilo 500 wakati Urusi ina makombora yenye uzito wa tani 3.

Haya niambie Urusi akija kuanza kutumia makombora yenye uzito hata wa tani moja siya takuwa maafa?

Leo shirika la kijasusi la Uingereza ambao ni maadui wa Urusi wamekili ya kwamba Urusi inatumia silaha za kizamani ww unapinga kama nani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
SS Mkuu Makombora ya tani tatu mbona yashatumika tukianza na hilo iskander,uzito wake ni 3800kg ambayo ni Sawa na tani 3 na kg 800.
Ambacho hakijatumika Labda NI nyuklia tu Ila convectional weapons karibu zote kashazitumia kuangusha maghorofa huko Ukraine
 
Leta ushahidi wa hizo silaha kutumika nchini Ukraine.

Mpaka sasa kwa mujibu wa takwimu za CIA mpaka sasa Urusi imerusha makombora 800 kati ya hayo hakuna hata kombora moja lenye mlipuko wa uzito angalau wa kilo 500 wakati Urusi ina makombora yenye uzito wa tani 3.

Haya niambie Urusi akija kuanza kutumia makombora yenye uzito hata wa tani moja siya takuwa maafa?

Leo shirika la kijasusi la Uingereza ambao ni maadui wa Urusi wamekili ya kwamba Urusi inatumia silaha za kizamani ww unapinga kama nani?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Thermobaric missiles!
Screenshot_2022-03-17-21-31-54-867_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-03-17-21-32-22-960_com.android.chrome.jpg
 
[emoji1255][emoji635] "Azov, bitch! People were leaving - "Azov" shot, people! They shot columns of civilians who tried to go to Volodarsk - they shot buses!"

Civilians who escaped from Mariupol talk about the horrors they had to endure during the city battles.

According to them, there are many dead civilians in the city, who have no one to bury. Radicals from the Ukrainian "Azov Regiment" repeatedly disrupted the evacuation of civilians, shooting those who tried to leave the city.

View attachment 2154568

[emoji1255][emoji635] "Azov, bitch! Watu walikuwa wakiondoka - "Azov" waliwapiga watu! Walipiga nguzo za raia ambao walijaribu kwenda Volodarsk - walipiga risasi mabasi!

Raia ambao walitoroka kutoka Mariupol wanazungumza juu ya maovu ambayo walilazimika kuvumilia wakati wa vita ikiendelea.

Kulingana na wao, kuna raia wengi waliokufa katika jiji hilo, ambao hawana mtu wa kuzika. Radicals kutoka "Kikosi cha Azov" cha Kiukreni kilivuruga mara kwa mara uhamishaji wa raia, wakiwapiga risasi wale waliojaribu kuondoka jijini.

[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856][emoji856] Ila media hazitangazi.
ASANTE - hizi ndo habari wameficha tokea mwanzoni - HASWA tokea miaka ya 2014 hawa jamaa manazi wamekuwa fujo
 
Wachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
 
Back
Top Bottom