Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
kwanini nato hawa ingii wakat nao wana nuclear? tukubali tu jamaa ni waogaNdo maana anasema NATO wakiingilia anafungua Nuclear, anajua NATO ni superior ila anajua ana nuclear
kwanini nato hawa ingii wakat nao wana nuclear? tukubali tu jamaa ni waogaNdo maana anasema NATO wakiingilia anafungua Nuclear, anajua NATO ni superior ila anajua ana nuclear
Sasa maelezo yote, wakati ungeeleweka tu, kwa lugha nyepesi.You need to construct proper arguments, even for uneducated people, life never stops teaching. Coming to the kernel of the argument, I pinpointed factors that can lead to nationals relocating their investments to other countries. The list was never exhaustive, as there also other factors.
From the blue, and in a very disparaging manner, you demeaned the post. I tried as hard as could, but your reply was not having any rational argument or substantiation. I am dumbfounded to hear your pressing hard that I admit I was wrong, what kind of joke is this ?!.
Anaitwa Karungu yeye, comred ulitarajia nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu ina maana kike kituo kilichopigwa juzi kule Lyviv karibu na mpaka wa Poland ambacho wakikitumia NATO kuwapa mafunzo ya kijeshi wanajeshi wa Ukraine ulijua kikowapi? Au hufatilii kabisa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao "wasaliti" wanaosemwa kuwa ni "many people" ni wangapi? What if they're in millions? Serikali inajaribu kunyamazisha upinzani dhidi yake?Kwenye Taifa lenye watu zaidi Milioni 140 ulitarajia kusiwe na wasaliti?
Mdanganyika mmoja toka wilaya ya Tanganyika kabila mnyika, anataka kumwadhibu Putin.Us..the world
No winners in nuclear warkwanini nato hawa ingii wakat nao wana nuclear? tukubali tu jamaa ni waoga
Sometimes you have to ignore certain opinions to avoid exorbitant arguments.No winners in nuclear war
Mkuu kweli NATO ni waoga tokea zamani. Hui ndio ukweli mchungu.kwanini nato hawa ingii wakat nao wana nuclear? tukubali tu jamaa ni waoga
Mkuu kweli NATO ni waoga tokea zamani. Hui ndio ukweli mchungu.kwanini nato hawa ingii wakat nao wana nuclear? tukubali tu jamaa ni waoga
Haitasaidia kitu.nchi nyingi za ulaya Magharibi zilijisahau sana kijeshi on a sasa wanaendeshwa na MTU mmoja.NATO begins major war games near Russia
"Cold Response" biennial drills are underway in Norway
NATO has deployed 30 thousand troops, 50 vessels, and 200 aircraft from 27 member-states in Norway to conduct the long-planned military exercise "Cold Response" that started on Monday and will last till April.
Acha ku google nimeishi Russia acha uongoRed Army ilishaisha ilikuwa ni ya Russia baada ya mapinduzi ya Romanovs ambayo jana imetimiza miaka 105 tangu utawala wao uondolewe. Red Army wakapigana na White Army kuitawala Russia. Bolsheviks wakiongozwa na Vladimir Lenin wakashinda ndio Red Army ikaendelea kwenye Soviet Union mpaka mwisho wake 1991
mimi hawanisumbui tena hawa pro russia akileta ubishani namuacha kama alivyoAnakubishia halafu tena anakutuma ukalete source,nilitegemea yeye angekuja na full package ya kudiscredit uliyoleta wewe
haya tupe uhalisia wa huko RussiaAcha ku google nimeishi Russia acha uongo