Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

What awaits Crimea after Russia's special operation?

Georgy Muradov, Deputy Chairman of the Council of Ministers of the Republic of Crimea and Representative to the President of the Russian Federation, told @SputnikLive about this.

March 16 is the anniversary of the referendum, in which the inhabitants of the peninsula decided to return to the Russian Federation.

Watch the full version of the interview and subscribe to Sputnik in Russian on RuTube: https://rutube.ru/video/6c775ecdc5dc2a4e4360e2ef9753147d/
 
Watu wanabisha kwa hoja eti kama silaha za Russia ni dhaifu mbona anashambulia Ukraine. Comparison yetu tunaifanya kwa pande zilizosababisha vita sio upande unaoathirika na magomvi yao.

Russia anaipiga Ukraine isijiunge na maadui zake NATO, Ukraine ni dhaifu mno mbele ya Russia. Kitu ambacho Russia anatumia hakijaguswa ni Kalibr missiles ni ngumu kuzifanyia interception. Mengineyo yote aina zote za vifaru kina T series zishapigwa, aina zote za IFV na APC kina BMP series tiyari, the most modern helicopter ya Russia Ka-52 zishapigwa kuna videos mbili zinaonekana. Ndege anazotumia ni Su-25 na Mig-34 zishapigwa, air defence system za Pantsir na Tor tiyari, artillery pieces na Grad rockets tiyari ila TOS sijaona kwanza zinatumika kwa uchache maana ni lawama zile, magari kina Kamaz hayo ndio wahanga wakubwa. Na silaha nyingine.

Kwa hizi silaha alizonazo Russia ishaonekana ni vulnerable kwa silaha za NATO. Zinataka tactics nzuri za deployment sahihi zaidi sio haya mambo ya Russian tanks kwenda mjini kwa adui bila infantry cover. Kwa kuwa silaha zinapigika na of course za NATO zinapigika vilevile ingawa sidhani kwa kiasi kama hiki, basi Russia anahitajika kuwa na number kubwa ambayo inataka uchumi mkubwa. Ukraine hata ipigwe leo ijisalimishe bado jeshi la Russia sio kitisho sana kwa NATO, hatujajua wings nyingine kama submarines na nukesView attachment 2153810

Oya mpelekeni milembe huyu kashakuwa chizi kwanza jana umewalisha watu matangopori eti Putin mkono wake mbovu data zako unagoogle wapi mzee? [emoji28][emoji28][emoji28]

Kama Russia hana uwezo wa kupigana na NATO wanaogopa nini kuingia vitani?? Unaichukulia Russia kma jeshi la Malawi hvi mzee. Acha kudanganya watu mzee. NATO ni waoga na dhaifu huo ndo ukweli.

Eti jeshi la Russia ni dhaifu mkuu embu nitajie silaha kali alotumia Russia mpaka sasa jeshi kapeleka watoto wabichi kabisa we umeona red army pale embu kuwa siriaz kidogo. Unalisha sana watu matangopori humu ndani.
 
Hakuna wa kuchukua hizo fedha akazimiliki, utakuja kuniambia hapa, nakuhakikishia UKRAINE anapigwa mwanzo mwisho na hakuna kitu kitafanyika dhidi ya akiba yake.
Hadi muda huu hii imeonekana wazi sio vita ni operesheni, utofauti wa vita na operesheni ni kwamba VITA haichagui na makombora hushushwa bila taadhari wala kuangalia ni wapi mzigo unapigwa. Operesheni ni unadeal na zile sehemu unazozitaka tu bila kujali ugumu wa hizo sehemu.
We unavyofikiri Urusi akishambulia kila kilicho mbele yake itakuwaje??
Kwako wewe unahisi URUSI hawezi kuishambulia KYIV kutokea Moscow?? Unajua kwann wamekuja na vifaru mwanzo mwisho??
Aleppo walienda na vifaru??
Tuseme tu URUSI wastaarabu mno, yaan wastaarabu sana.
Na ili ustaarabu wao uishe nakwambia nchi yoyote ya NATO itie mguu au itume VIKOSI vyake.

Kuna boya anajiita amarta sijui anakwambia Russia dhaifu kuna watu humu jf ni zaid ya comedian wao zelenskyy
 
Ukweli ni kwamba jeshi halisi la Urusi "Redy Amy" limetulia tu huku wakishushia Vodka[emoji1634][emoji1634], wakiwasubiri NATO+USA wasogeze pua[emoji3][emoji2]
Red Army ilishaisha ilikuwa ni ya Russia baada ya mapinduzi ya Romanovs ambayo jana imetimiza miaka 105 tangu utawala wao uondolewe. Red Army wakapigana na White Army kuitawala Russia. Bolsheviks wakiongozwa na Vladimir Lenin wakashinda ndio Red Army ikaendelea kwenye Soviet Union mpaka mwisho wake 1991
 
“We were like in a cage. Our houses were methodically shelled with hailstones by the Ukrainian army.”

A resident of Mariupol told a @SputnikLive correspondent that the Azov militants purposefully hit residential buildings, and long before the start of hostilities in the city.

"Grads were flying from Azovstal. Everyone knows that. The Armed Forces of Ukraine shelled Mariupol from the very beginning. From the 26th," he said.

"Walked, laughed, creatures (Azov), and fired at houses with incendiary shells."
 
1647522265034.png


A heartbreaking photo of an elderly man clutching his cat is doing the rounds in Facebook posts that claim he was
fleeing Russian shelling in Ukraine The picture actually shows 83-year-old Ali Mese after a fire at his home in Turkey in 2018
http://u.afp.com/oldmancat

 
Ili Russia na NATO wapigane inabidi Russia amvamie member wa NATO na hapo Article 5 itatumika. Au NATO imvamie Russia. Unajua nimejibu nini pale, hakuna WW3 ndicho nimesema.

Humu watu mnakimbilia kujibu ila hamzingatii mnayemjibu kasema nini. Sijasema Russia hawezi shambulia hizo silaha, atazishambulia zikiwa Ukraine which doesn't provoke NATO. Hawezi shambulia zikiwa Poland ambako wakiziweka mpakani huwezi sema zinaingia Ukraine, na Poland iko active members wa NATO wakiwa karibu na vita huwa wanakaa attention kama Turkey ilivyodungua ndege ya Russia iliyokuwa inaenda Syria ila ikaingia kidogo kwenye anga lake.

Poland sio Ukraine mradi ziko ndani ya ardhi ya Poland hapo Russia akizishambulia ndio vita inaweza tokea. Hata juzi hapo alishambulia kambi yenye member wa NATO iliyopo Ukraine. Hawezi enda shambulia kambi ya NATO iliyopo Poland ambako kuna joint emergency force eti kisa shehena ya silaha inapitia hapo. Hiyo ni kitu kingine
Hapa nabeti tu msinihukumu?
Kwa mwendo huu wa NATO, Poland itapigwa halafu watasema, akiigusa ujerumani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
T14 Armata tafadhali ukuje hapa[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115], nilikuwekea picha za Head of the 5th Service of the FSB, Sergey Beseda, ambapo wewe ulidai kwenye stori zako kuwa hana picha mtandaoni.

Na ukajinadi kuwa wewe huwa ni mshindi ktk mechi za namna hii za kutafuta ukweli. Ukajigamba kuwa watu wa dizaini yangu mie, shuleni ulikuwa mnawekeana hela na kusaini nani anasimamia kipi kisha mnaenda tafuta ukweli. Na ukajigamba kuwa uliwashinda na ukala hela zao mpaka wakafikia hatua hawataki kubishana na wewe.

Sasa mbona nilipokuwekea picha uliishia kusoma kimya kimya na kukimbia mitini?!

Njoo uchukue ushindi uliozoea kuuchukua toka shule ya msingi hadi sasa[emoji1787][emoji23][emoji28][emoji23]
Salute comred
 
Naona tukila Pasaka na Kyiv ikiwa bado imara kabisa.Na kwa kile alichokisema Biden siioni ikianguka kirahisi tena.
Mimi sitaki niseme kitu kuhusu Pasaka itafika Ukraine ikiwa vipi. Russia ilipanga wanajeshi Belarus na kwake, hao ndio ilipanga kuwatumia kwenye hii operation na silaha ilizopanga iliziandaa mpakani. US intelligence ambayo kila alichosema kwenye vita hii kilitokea kwa hiyo siwezi kuibishia ilisema kwa wakati fulani kulikuwa na wanajeshi 190,000 wakisubiri order kuvamia. Wakati vita inaanza Ukraine ilikuwa na around wanajeshi active 196,600.

Leo hii tuko wiki ya tatu hivyo vikosi na silaha nyingi vishaingia Ukraine. Hakuna kilomita za misururu ya magari tena kutoka Belarus au Russia kwahiyo jeshi lililopo Ukraine yaweza kuwa ndio asilimia kubwa ya lililopangwa. Kwa sasa Russia anapigia humo akijaribu kusogea mbele na ndio maana kachukua silaha kiasi kazitoa Belarus kazisogeza Kherson airbase ndani ya Ukraine.

Morali ya Ukraine iko juu bado, morali ya Russia sijui ikoje (wasije sema nalishwa propaganda na CNN). Ikiwa Marekani atatimiza azma yake ya kuleta silaha within a week hapo sijui kipi kitatokea. Ninachoamini Russia hawezi ongeza wanajeshi wengine nje ya aliokuwa ameandaa na uhakika ni Russia kushinda ambayo sio ajabu, ila ni atashinda lini
 
Hao hatari yao huwa pale wanaingia kwenye majengo ya kibiashara kama vile Milimani city bila kugunduliwa na kujilipua kisa mzuka wa kiislamu, ila kwenye hili, wanakuta kila mtu/raia amekaa mkao wa kivita. Magaidi wa kiislamu hubabaisha tu pale wamekuta watu wanafanya mambo yao kisha wanajilipua humo, ila wakikuta kila mtu ameiva vita, hupokea kipigo sana wanawahishwa kwa allah wakapewe mabikira.

Hivi kwenye dini yenu ukijitoa mhanga kwa kupigania makafiri kama Urusi bado utapewa mabikira au inakula kwako.
Nani alikwambia Urusi ni makafiri?
Kuna republic ngapi za kiisalmu Urusi?
Kuna oblast ngapi za kiisalmu huko Urusi?
Hilo ni Taifa la wapenda haki sio nyie nyang'au
 
Sababu kubwa ya watu kuwekeza nje ya nchi ni kukimbia sera mbovu na ubabe wa Serikali iliyopo madarakani.Hivi kwa mwekezaji ambaye hapatani na Putin anaweza kufanya biashara ndani ya Urusi?
Hata hapa Tz wakati wa mwendazake kuna watu walihamishia biashara zao Rwanda, Congo DRC, etc, sababu zilikuwa ni hizi hizi.
Hoja ya kipuuzi kabisa, unaelewa nini kuhusu fursa na kutanua masoko? Unafikiri ni warusi pekee ndo wanawekeza nje ya nchi yao? Jielimishe kijana
 
The Ministry of Defense published the original documents on the activities of Ukrainian biological laboratories:

- a document dated March 6, 2015 confirms the participation of the Pentagon in the financing of military biological projects in Ukraine;

- The United States allocated $ 32 million to the laboratories of the Ukrainian Ministry of Defense in Kyiv, Lvov, Odessa and Kharkov for projects to study the Crimean-Congo fever;

– there are natural foci of this pathogen both in Ukraine and on the territory of the Russian Federation, its use can be disguised as real outbreaks of the disease;

- the Russian department believes that bioweapon components were created on Ukrainian territory;

— A US-led project in Georgia and Ukraine on bat pathogens began in October 2019, on the eve of the coronavirus pandemic. The Pentagon allocated a total of $1.6 million for it;

– within the framework of several projects, studies in laboratories have been carried out since 2009;

- there are documents confirming the transfer of biosamples taken in Ukraine to third countries, including Germany, Great Britain, Georgia.

Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
“The unipolar world ceases to exist. I am sure that in the near future we will witness Yalta-2.

This opinion was expressed by Vice Speaker of the State Duma of the Russian Federation Boris Chernyshov during the @SputnikLive video bridge.

“Europe is losing its sovereignty every day. And we will go our own way, our path is right, and the Union State will prosper,” the deputy said.
 
Oya mpelekeni milembe huyu kashakuwa chizi kwanza jana umewalisha watu matangopori eti Putin mkono wake mbovu data zako unagoogle wapi mzee? [emoji28][emoji28][emoji28]

Kama Russia hana uwezo wa kupigana na NATO wanaogopa nini kuingia vitani?? Unaichukulia Russia kma jeshi la Malawi hvi mzee. Acha kudanganya watu mzee. NATO ni waoga na dhaifu huo ndo ukweli.

Eti jeshi la Russia ni dhaifu mkuu embu nitajie silaha kali alotumia Russia mpaka sasa jeshi kapeleka watoto wabichi kabisa we umeona red army pale embu kuwa siriaz kidogo. Unalisha sana watu matangopori humu ndani.
Ni dhaifu........................................

T14 Armata
 
Lukashenko: What Russia Wants from Ukraine Deal

“I am sure that very soon this conflict… will end with a peace deal,” the Belarusian president, who facilitated the talks between Moscow and Kiev said to Japanese agency TBS.

“Russia is offering Ukraine, Putin to Zelensky, a very acceptable draft of a treaty. And it is still yet possible for Russian and Ukraine to come to a deal. … If Zelensky doesn’t agree to it, then, believe you me, in a little while he will have to sign a capitulation act.”
 
Hii vita imenifunza mengi but la muhimu kabisa kuwa na passport nimeona waUkraine wakionesha passport zao mpakani kuna hadi WaRussia nao wanataka kuvuka border la Mexico kuingia US,,haha bongo mpaka uipate hiyo passport sasa Kimbembe Mungu aepushe tu isitokee vita tena huku!
 
Mimi sitaki niseme kitu kuhusu Pasaka itafika Ukraine ikiwa vipi. Russia ilipanga wanajeshi Belarus na kwake, hao ndio ilipanga kuwatumia kwenye hii operation na silaha ilizopanga iliziandaa mpakani. US intelligence ambayo kila alichosema kwenye vita hii kilitokea kwa hiyo siwezi kuibishia ilisema kwa wakati fulani kulikuwa na wanajeshi 190,000 wakisubiri order kuvamia. Wakati vita inaanza Ukraine ilikuwa na around wanajeshi active 196,600.

Leo hii tuko wiki ya tatu hivyo vikosi na silaha nyingi vishaingia Ukraine. Hakuna kilomita za misururu ya magari tena kutoka Belarus au Russia kwahiyo jeshi lililopo Ukraine yaweza kuwa ndio asilimia kubwa ya lililopangwa. Kwa sasa Russia anapigia humo akijaribu kusogea mbele na ndio maana kachukua silaha kiasi kazitoa Belarus kazisogeza Kherson airbase ndani ya Ukraine.

Morali ya Ukraine iko juu bado, morali ya Russia sijui ikoje (wasije sema nalishwa propaganda na CNN). Ikiwa Marekani atatimiza azma yake ya kuleta silaha within a week hapo sijui kipi kitatokea. Ninachoamini Russia hawezi ongeza wanajeshi wengine nje ya aliokuwa ameandaa na uhakika ni Russia kushinda ambayo sio ajabu, ila ni atashinda lini
Week 2 zilizopita nilikuwa nishakubali na kuamini Ukraine inaanguka muda wowote.Kitendo cha wao kuhold mpaka sasa ni lazima kiwatie morali sana ukilinganisha na upande wa pili ambao waliingia katika hii "special operation"with high expactations za kumaliza ndani ya muda mfupi.Siku zote mwenye matumaini kidogo inapotokea room ya kuona anaweza survive na kusonga mbele zaidi,basi si rahisi tena kugive up kirahisi.Katika hili Kremlin wako frustrated zaidi.Ukisoma update za NYUNDO YA MOTO za speech ya Putin utaona amekuwa zaidi anawatia moyo walioko vitani na waliopo nyumbani,sizisikii tena zile commanding Speech kwa Ukraine kama alizokuwa anazitoa kabla na baada tu ya vita kuanza.Mimi ninaamini kabisa Pasaka itafika na Kyiv itakuwa bado imesimama.
 
Back
Top Bottom