Rasputin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2018
- 557
- 692
Putin hotuba yake leo inatisha raia wake. It seems hapendelei Warusi matajiri wanaoishi nje anaosema wako Westernized zaidi na anasema wengine wao watatumika kuisaliti nchi. Hao amewaita fifth column. Pia anasema anadhani 'purification' ya jamii ni necessary
Putin tangu mwaka jana kwenye hotuba ya mwaka mpya 2021 ulipoanza hakuwa anafanya movements za mkono wake wa kulia. Anauficha mpaka leo za zile gestures anatumia wa kushoto tu, wa kulia hautikisiki. Kuna observer mmoja tangu aseme hivyo siku hiyo huwa nauzingatia
Mimi nmeona tangu 2015 hakuanza mwaka jana, kipindi hicho kuna article iliandikwa ni sababu ya KGB training maana hata wenzake aliokuwa nao km PM Medvedev alikuwa hivyo hivyo