Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Madhara yaliyotokea Kherson airbase ambayo Ukraine ilishambulia jana. Kamaz trucks kadhaa na helicopters zinaonekana zimeharibiwa
 

Attachments

  • 2022_03_17_10_50_46_Zh2FqoLBnAOdPPIg.mp4
    12 MB
yani wewe ni fala sana, kama unamchukia Putin kwa kuwasikiliza wamarekani lazima uwe na akili kama zako

libya,iran afghanstan, saiv wanamtuhumu urusi ili waonekane ni watu .

Saivi jamaaa anasema makachelo wametumwa ili wamuue hasa watu weusi wakati ni kweli kwamba wanawazuia wasiondoke kwa kuwabagua kama weusi.

Halafu anawachafua kwa kusema wametumwa.
Point yako ipi hapo sasa
 
Nilikupa somo juzi kuhusu uvumi wa kuwa Azebaijan aliiharibu S-300 ya Armenia sio wa kweli.

Leo nakujuza kuwa wakati wewe ambaye huijui S-300 (si tech iliyotumika kuiunda tu hata inavyofanya kazi) ukidai kuwa system hiyo haifai kwa ulinzi wa anga, rais Zelensky wa Ukraine amemuomba rais Biden wa Marekani ampatie msaada wa S-300 air-defense systems imlinde dhidi ya mashambulizi ya Russia.

Pia nakuongezea kuwa hata hao Azebaijan pia wanayo S-300 wanaitumia kwenye ulinzi wa anga yao.


View attachment 2153746

View attachment 2153745
Hahahaha Ukraine kupewa hizo air defense haiondoi ukweli na uhalisia kwamba hizo systems hazikufanya vizuri kwenye Vita ya Armenia-Azerbaijan. Hizo Systems ziliharibiwa vibaya na Makombora ya Lora ya Israel na drones za Turkey na Israel.

S300 zipo Syria na wakati zinapelekwa tulikua tunabishana humu watu walikua wanasema ndo itakua Mwisho WA mashambulizi ya Israel ndani ya Syria lakini Leo wote tunajionea nn kinaendelea ndani ya Syria.
 
Madhara yaliyotokea Kherson airbase ambayo Ukraine ilishambulia jana. Kamaz trucks kadhaa na helicopters zinaonekana zimeharibiwa
Ukraine jeuri sana,
Urusi hakuwa na intelligence ya uhakika, na ali underestimate uwezo wa Ukraine, Zerensky, Wananchi wa Ukraine...

Kwa muda mrefu Urusi atapoteza sana
Ukraine hana chakupoteza maana silaha anapewa bure

Vita ikiisha fedha za Urusi zilizokuwa blocked ndo zitaenda kutumika ijenga Ukraine
 
Ukisoma specifications za S-300 hakuna sehemu ambayo mtengenezaji alilenga ziharibu UAV au loitering munition. Hata Marekani anazo MIM Patriot kwa medium na long range ila anazo systems mpya kwa ajili ya drones, loitering munitions na swarn ya vyote. Radar, wavelengths, bands vinavyotumika kwa kazi hizo ni tofauti havikai pamoja
Mkuu T14 Armata , acha kuwalisha watu MatangoPori, sio kweli kuwa S-300 haina uwezo wa kuharibu UAV.

Kwani huwezi kupost pasi na kuweka habari za uongo au kusemea vitu usivyovijua?!

SmartSelect_20220317-110551_Chrome.jpg


 
Morali ya wanajeshi wa Urusi umeshuka baada ya vifo vya wanajeshi wenzao zaidi ya elfu 7,huko Ukraine-Pentagon
Screenshot_20220317-110340.png
 
Hizo sio habari za CNN wala BBC. Hizo ni observation tatizo lako la kuchukia hizo media lisikufanye uzisingizie kila taarifa inayotolewa. Hapo hujafatilia hata unachopinga mradi umeitaja NATO basi ushamaliza
Nani kafanya huo uchunguzi? Kubali tu unadandia mada hata kama huielewi mzee.
 
We will never forget who bombed our embassy in Yugoslavia," the Chinese representation in the European Union said.

Such a comment appeared there after the call of the NATO Secretary General to Beijing to condemn the special operation of the Russian Federation in Ukraine.

"We do not need lectures on justice from a violator of international law," the message says.

By the way, back in March last year, the Chinese Foreign Ministry recalled that as a result of the bombings in Yugoslavia, NATO had a "bloody debt" to Beijing.

Chinese Foreign Ministry spokeswoman Hua Chunying said at the time that in 1999 Washington, "neglecting international legal norms," began to bomb Yugoslavia. "Many people died, including three Chinese journalists."
People can clearly see where the world is really heading to! Poor AMERICANATO!
 
^hitchhike^!!! Alilazimika KUDANDIA usafiri na kutoroka!!! 🙂 Alifanya maamuzi ya busara sana. Angekuwa marehemu kama yule deadliest snipper wa Canada ambaye hakuna uwanja wa vita zaidi ya saa kadhaa, akafutwa.

Hii ni sawa na kisa cha yule askari wa UK aliyesimulia maumivu baada ya kurejea home kwa mbinde:

View attachment 2153741
Dakika 20 wakamfuta tena sniper wa urusi
 

NATO again rejects no-fly zone, claiming to avoid a 'full-fledged war' between alliance and Russia​

30 NATO defense ministers meet on Wednesday in Belgium for a special session amid the ongoing Russia-Ukraine conflict.

Despite committing to double down on NATO’s support for Ukraine the alliance has once again rejected Zelensky’s repeated requests on imposing a no-fly zone over Ukraine.
 
Ukishughulisha ubongo kidogo utaelewa, Mrusi anarusha makombora yake kwenye makazi ya watu, hayo ni mauaji ya kimbari....
Ukraine wamezindua tovuti yenye taarifa za kila mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa, Warusi wameombwa waingie humo na kutafuta taarifa za watu wao.
Wanajeshi wa ukrain wanapigania mitaan kuzuia warusi, so kwa hayo mazingira ya namna hiyo unategemea mrusi atarusha wapi makombora?
 
Back
Top Bottom