Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine rescued Melitopol Mayor Ivan Fedorov, kidnapped by Russian occupiers! It was a special operation, he is safe now, Deputy Head of the Presidential Office Kyrylo Tymoshenko said in a statement. "We don't leave our people in danger!" Tymoshenko said!

Ukweli ni kuwa hawa Urusi ni wepesi saana tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na hii Vita inawaumbua zaidi Warusi yaani ni mdebwedo kabisa Sasa wangekutana na mziki wa Poland si ndio balaa
🤣😂😅😄😃 Eti 'Special operation' imefanywa na jeshi la Ukraine kumkomboa meya! Ukihitaji vichekesho hivyo tuma neno 'VUNJA MBAVU' kwenda namba 15021.

Mkuu PNC , acha kuwalisha watu MatangoPori. Ukraine hawana uwezo huo hata kidogo wa kutumia mtutu (special operation) kuwakomboa watu wao waliotekwa ndani ya mji uliotekwa na majeshi ya Russia.

Hakuna special operation yoyote ile iliyofanywa na majeshi ya Ukraine ktk kumkomboa huyo meya mstaafu wa Melitopol, Ivan Fedorov. Alichokifanya Zelensky ni kufanya mazungumzo na Russia na kuomba wabadilishane mateka ili wamkomboe meya. UKrain imewaachia vijana 9 wa jeshi la Russia ikapewa maya huyo mmoja. Hakuna ngumi hata 1 waliyorusha Ukraine. Sasa hiyo ndiyo waiita special operation🤣🤣🤣🤣

Operation ya kijeshi inafanywa kwa mazungumzo?! Na meya mpya aliyesimikwa na Russia anaendelea na majukumu yake ya kikazi. Na mji unaendelea kuwa chini ya majeshi ya Russia.

Cc: Frank Wanjiru ,permanides
====

SmartSelect_20220317-063654_Chrome.jpg
SmartSelect_20220317-063723_Chrome.jpg
 
Hii international criminal court na international court of justice Zina tofauti?
ICC ina deal na Cases za Genocides and other crimes against humanity huku ICJ yenyewe iki deal na cases zingine kwa individual among UN member States.

ICC ni kongwe toka baada ya vita ya pili ya dunia ila ICJ ni ya juzi juzi ina miaka 20 hivi sasa...

Kwa kufupisha tu ICC ni Criminal Court while ICJ ni Civil Court...

Hicho ndio nachokifaham so far kuhusu hizo mahakama mbili.
 
Russia ikipeleka msaada wa kibinadamu, ikiwemo chakula na madawa, ktk sehemu walizozikomboa kwenye mkoa wa Kharkov nchini Ukraine


Wanajeshi wao Wana njaa hawana msosi,Sasa kuwapelekea misaada waliowaharibia Maisha si ndio unafiki wa Putin huu?
 
France Alarmed As Soldiers Leave for Ukraine — report


Authorities are reportedly concerned with some soldiers leaving France to fight in Ukraine.


According to the l'Humanité paper, many of the volunteers apparently are “ultra radical Nazi sympathizers”.


Furthermore, several soldiers of the French Foreign Region are currently absent without leave, and suspected to have deserted to join combat in Ukraine.
 
"Pill for memory".

In 1999, Joe Biden boasted that it was he who proposed bombing the capital of Yugoslavia.

“It was I who suggested bombing Belgrade…” the future US president proudly and publicly declared.
 
Unaona dharau zako...Kuna Siku sijui utaweka wapi sura yako G
Dharau zipi ilhali nakwambia "ukweli" wa moyo wangu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] Russia "anapigika" mpaka anaomba Poo kwa nchi jirani [emoji23][emoji23][emoji23]

Joannah basi tu najaribu kukupa taarifa za kuukosha moyo wako nikikupa zingine utanuna na kuziona Prop....nda... So twende hivi hivi tutafika [emoji1732][emoji1739]

Any way msikilize huyu dada japo hutomwelewa lugha ake ila "hints" ya anachozungumza naiweka kwa chini...







[emoji1255] The story of civilians about 15 days of hell in basements without electricity, water and communications.

Hadithi ya raia kuhusu "15 days of hell" katika vyumba vya chini bila umeme, maji na mawasiliano.

[emoji3502]The Kiev security forces did not help civilians in any way.

Vikosi vya usalama vya Kiev havikuwasaidia raia kwa vyovyote vile.

[emoji3502]The Armed Forces of Ukraine deployed armored vehicles in close proximity to civilian bomb shelters.

Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vilipeleka magari ya kivita karibu na makazi ya raia.

[emoji3502]Everyone who tried to leave the city through "humanitarian corridors" was killed at the exit from Mariupol.

Kila mtu ambaye alijaribu kuondoka jijini kupitia "humanitarian corridors" aliuawa kwenye njia ya kutokea Mariupol.

[emoji3502]Instead of food and water, the Ukrainian military distributed propaganda materials among the local population that the Russian army was defeated and that the war would end not today or tomorrow (photo attached).

IMG_20220317_074429_280.jpg


Badala ya chakula na maji, jeshi la Kiukreni lilisambaza vifaa vya propaganda kati ya wakazi wa eneo hilo kwamba jeshi la Urusi lilishindwa na kwamba vita havitaisha leo au kesho.

[emoji3502]The Russian army tried to provide the refugees with everything they needed.

Jeshi la Urusi lilijaribu kuwapa wakimbizi kila kitu walichohitaji.

Na hili la mwisho Video nyingi tu za matani ya shehena za vyakula zinazoingizwa kutoka Russia ninazo unfortunately are too large zingine Mb 200, Mb 400 and so ningekupa ukaziona...

Sasa jiulize kwanini Raia wao wanalalamika... Kama kweli ni mashujaa kwanini wawatumie Raia wao kama kinga. Na hiki kitu huezi kukipata kwe Media za magharibi na wala sijazitoa Sputnik wala RT za Mrusi...

Nimeitoa kwa "Uncensored Reporters" walio kwenye tukio wasio na mahaba wala mihemko ka sie... [emoji847][emoji847][emoji847] Ila kwa kua haziwapendezi ruksa kuzichukua kama Propaganda [emoji3577]

Apo nyuma nishawah kukwambia kukwambia ka wakumbuka kua wanasiasa sio watu wazuri, they are just a peace of shi*... Wako radhi kuua Raia wao au kudhuru Raia wao wenyewe kwa lengo la kumchafua mwingine aonekane mbaya... Hao ndo politicians.

Wanashinda kwenye ma'Office wakila selfie saaaafi kabisa dunia iwaone huku Raia wakiteseka.... Wanatulia kwenye viyoyozi huku kamtanguliza mtoto wa mwanamke mwenzio msitari wa mbele akafe vizuri.

Kwa sasa kaanza taratibu kukubaliana na Matakwa ya Russia.
View attachment 2153605
 
🤣😂😅😄😃 Eti 'Special operation' imefanywa na jeshi la Ukraine kumkomboa meya! Ukihitaji vichekesho hivyo tuma neno 'VUNJA MBAVU' kwenda namba 15021.

Mkuu PNC , acha kuwalisha watu MatangoPori. Ukraine hawana uwezo huo hata kidogo wa kutumia mtutu (special operation) kuwakomboa watu wao waliotekwa ndani ya mji uliotekwa na majeshi ya Russia.

Hakuna special operation yoyote ile iliyofanywa na majeshi ya Ukraine ktk kumkomboa huyo meya mstaafu wa Melitopol, Ivan Fedorov. Alichokifanya Zelensky ni kufanya mazungumzo na Russia na kuomba wabadilishane mateka ili wamkomboe meya. UKrain imewaachia vijana 9 wa jeshi la Russia ikapewa maya huyo mmoja. Hakuna ngumi hata 1 waliyorusha Ukraine. Sasa hiyo ndiyo waiita special operation🤣🤣🤣🤣

Operation ya kijeshi inafanywa kwa mazungumzo?! Na meya mpya aliyesimikwa na Russia anaendelea na majukumu yake ya kikazi. Na mji unaendelea kuwa chini ya majeshi ya Russia.

Cc: Frank Wanjiru ,permanides
====

View attachment 2153558View attachment 2153559
uzuri chanzo cha habari ni cha West nadhani. alete maneno mengune huyu jamaa yetu!
 
🇨🇳🇺🇸China is bombarding the US with biolab questions

"The United States has 336 biological laboratories around the world.

▪️What is the connection between them and the Pentagon?

▪️How does the US keep these labs safe?

▪️Why for over 20 years, the United States has been constantly preventing the creation of a verification mechanism for the "Biological Weapons Convention", what are they worried about?

▪️What does the Fort Detrick laboratory have to do with the spread of coronavirus?" - writes the Chinese Embassy in Kazakhstan.

Recall that the Chinese newspaper "People's Daily" in 2021 wondered why the United States closed a secret military laboratory at Fort Detrick after an outbreak of pneumonia nearby.

❗️The Unexplained Pneumonia Outbreak and the Fort Detrick Lab:

In September 2019, a report from the state of Maryland, where the biolab is located, mentioned a growing number of cases of "e-cigarette related pneumonia".

At the same time, in July of the same year, an outbreak of a respiratory disease was also detected in nursing homes near Fort Detrick.

In the same month, the US Centers for Disease Control and Prevention published an official letter announcing the cessation of the laboratory's activities, RIA Novosti reported.
 
Mrussi anaendelea kula kichapo haamini anacho kiona mpaka Leo ameshindwa kuiteka kyiv AiBuuuuuuuuuuu
 
Wakiwa wanapewa mafunzo ya siku moja na baadea kukabidhiwa AK47.
Wazungu: They are very brave.
Wakipelekewa Moto.
Wazungu: Russians shelling on Residential areas killing civilians😂😂😂😂😂😂😂.
Wazungu wana roho mbaya aloo
A Russian Special force unit in the captured town of Kherson confiscates weapons and ammunition from Civilians. Likely a mix of black market weapons and weapons which was handed out by the Ukrainian military...

View attachment 2153335

Ila kumbe wamegawa silaha nyingi sana kwa Raia...
 

LIVE UPDATES: Russia's EMERCOM Supplying 2,000 Tonnes of Humanitarian Aid to Donbass, Ukraine​


Russian President Vladimir Putin said on Wednesday that the ongoing military operation in Ukraine is successful and is going according to plan.
 

Another One Hits the Dust: One of Kamala Harris’ Longest-Serving Aides Reportedly Quitting​


Reports of infighting and general dysfunction have accompanied a series of departures by staffers in Kamala Harris's office, including that of chief spokesperson and senior adviser Symone Sanders and communications director Ashley Etienne, with the Vice President declining to reply if the resignations were part of a greater trend within her office.
 
Ukute maisha yake yanategemea ka NGO fulani hivi. So amekuwa brainwashed. Au ukute ni assignment kweye ka NGO ka kizungu kila siku anatakiwa atoe taarifa ya namna alivyotekeleza😊😊😊😊😊😊
Mahaba yako kwa Western ungempa mkeo nazan angejihisi ni yeye tu kwenye ulimwengu.... Naaaa nazan mngedumisha sana Ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yan bro una mahaba na Magharibi kiasi uko radhi kubadil Nyeupe kuwa nyeusi na Nyeusi kua njano kwa ajil yao...

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom