Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Sababu kubwa ya watu kuwekeza nje ya nchi ni kukimbia sera mbovu na ubabe wa Serikali iliyopo madarakani.Hivi kwa mwekezaji ambaye hapatani na Putin anaweza kufanya biashara ndani ya Urusi?
Hata hapa Tz wakati wa mwendazake kuna watu walihamishia biashara zao Rwanda, Congo DRC, etc, sababu zilikuwa ni hizi hizi.
Hili nakupinga 100% Putin ndo rais anayependwa na warussi na wanamuunga mkono. Putin na matajir wa russia ni marafiki sana achana na west propaganda mzee. Putin ndo rais wa dunia kwa sasa.