We, choma kitabu chako cha historia! Chekoslovakia ndani ya USSR? Huna habari lakini huoni aibu kusambaza upuuzi hapa?Zama za mawe hizo mzee, Czechslovakia unayoisema ilikuwa ndani ya USSR.
Vita unazozitaja wewe ni katika kuijenga USSR na ukumbuke USSR imevunjika rasmi 1990s.
Unaenda WIKIPEDIA unakusanya vitu hata huelewi mzee.
hao jamaa hawaoni aibu kutoa matangopori na wanakuwa na kauli chafu ukiwazidi kwa hoja warusi wa kisiju 🚮🚮🚮 kabisaWe, choma kitabu chako cha historia! Chekoslovakia ndani ya USSR? Huna habari lakini huoni aibu kusambaza upuuzi hapa?
Basi nikusaidie. Ona ramani (Je unasoma ramani?): nyekundu ni Chekoslovakia, rangi ya zambarau USSR. Ndani ya USSR???
Maeneo makubwa niliyotaja niliyotaja ni Urusi KABLA ya USSR. Ukimfuatilia hotuba za Putin yote muhimu sana.
Alisema tar. 25.04.2005 mbele ya bunge la Urusi "kuvunjika kwa USSR ilikuwa balaa kubwa katika historia ya karne ya 20" (matini rasmi hapa). Kumbe hakuona kuundwa kwa USSR, wala vita kuu ya pili, wala maangamizi ya mamilioni kwa sababu ya chuki (Waarmenia, Wayahudi, Rwanda), hapana "kuvunjika kwa USSR".
Na wewe (unayeamini Chekoslovakia ilikuwa ndani ya USSR) unadai eti ni zama za mawe.
Sidhani. Nadhani ni mandharinyuma ya maazimio ya Putin anayetaka kurudisha Urusi kwenye nafasi kubwa anayoamini inastahili - bila kujali wengine.
Maana ukubwa wa Urusi anaolilia ulipatikana tu kwa uvamizi na damu.
Hapa ramani kwa ajili yako kuhusu USSR (dhambarau) na Chekoslovakia (nyekundu):
View attachment 2153228
Hujui kitu kabisa wadanganye wajinga wenzio...USSR iliundwa na Jamhuri 15 tu na Czechoslovakia sio miongoni mwa hizo...miongoni mwa Jamhuri zilizounda USSR ni Russia, Brerussia, Ukraine, Georgia, Armenia, krgistan, Turkmestan, Arzbejain, Lativia, Lithuania, Estonia na nyingine nne zilizobaki lakini siyo Czechoslovakia.....Kasome historia mzee. Kuanzia 1949-1989
Mkuu kasome vizuri historia, hao jamaa walikuwa Eastern Bloc under Communism.Jamani humu JF Kuna uongo mwingi Sana mpaka kinyaa...tangu lini Czechslovakia ilikuwa sehemu ya USSR??
Mpendwa, hii ni nzuri!!! 🤣Kherson announced his desire to improve relations with Russia.
Representatives of the new administration said they want to improve trade, economic and socio-cultural ties with Russia.
Crimea, in response, has already announced that it is ready to supply food and essential goods to Kherson, writes @rt_russian.
We also discussed the possibility of remote admission of applicants to Russian universities.
Mkuu umeleta madini lkn kwa hasira mno, punguza kidogo ili uje na kiini cha mgogoro unaondelea ukoHujui kitu kabisa wadanganye wajinga wenzio...USSR iliundwa na Jamhuri 15 tu na Czechoslovakia sio miongoni mwa hizo...miongoni mwa Jamhuri zilizounda USSR ni Russia, Brerussia, Ukraine, Georgia, Armenia, krgistan, Turkmestan, Arzbejain, Lativia, Lithuania, Estonia na nyingine nne zilizobaki lakini siyo Czechoslovakia.....
Ila Czechoslovakia ilikuwa ni miongoni mwa nchi zilizounda Warsaw Pact yaani umoja wa kijeshi wa nchi za ulaya mashariki...Warsaw Pact ambayo ilikuwa sawa na NATO ilivunjika miaka ya 1990 baada ya kusambaratika kwa USSR...Warsaw Pact iliundwa na nchi kadhaa ikiwemo USSR, Poland, East Germany, Czechoslovakia, Bulgaria na Hungary...makao makuu ya Warsaw Pact yalikuwa Warsaw Poland...
Baada ya kuvunjika kwa ukomunisti Czechoslovakia nayo ilivunjika na kuwa nchi mbili anbazo ni Czech na Slovakia ..nadhani Sasa umeelewa angalau kidogo ...usipende kudanganya watu humu...Kuna watu wengi wanazijua nchi hizi..
Kwa hiyo msipende kuropokaropoka humu manbo msiyoyajua...
Hata mgogoro wa Russia na Ukraine wengi wanaropoka ropoka tu hawajui hata kiini chake...
Kumbukeni nyie vina wa siku hizi...Kuna kizazi Cha Watanzania wamesoma kwenye nchi hizo za ulaya mashariki dnzi za ujamaa na Ukomunisti...kwa hiyo msilete za kuleta hjmu
Nimeshatoa jibu humu...Czechoslovakia haijawahi kuwa sehemu ya USSR...ila ilikuwa kwenye Warsaw Pact..Mkuu kasome vizuri historia, hao jamaa walikuwa Eastern Bloc under Communism.
Mwanzo walijiita CSSR, kasome pia Warsaw pact utajua mengi kuhusu hao jamaa. Nchi zote ambazo zilikuwa under Soviet walitumia sana mfumo tunaita Marxist-Leninist.
Jamani humu JF Kuna uongo mwingi Sana mpaka kinyaa...tangu lini Czechslovakia ilikuwa sehemu ya USSR??
Kama yuko mmoja anayehitaji kusoma historia kidogo, kati ya ninyi wawili si Bwana 1954!Mkuu kasome vizuri historia, hao jamaa walikuwa Eastern Bloc under Communism.
Mwanzo walijiita CSSR, kasome pia Warsaw pact utajua mengi kuhusu hao jamaa. Nchi zote ambazo zilikuwa under Soviet walitumia sana mfumo tunaita Marxist-Leninist.
Duh...JF imeingiliwa na wachambuzi uchwara. .Kama yuko mmoja anayehitaji kusoma historia kidogo, kati ya ninyi wawili si Bwana 1954!
We jamaa, umekula maharage ya wapi?? Yaan wao wanavunjika vp kwa sababu ya USSR kama hawakuwa mlengo mmoja?? Unaelewa ulicholeta au umekopi na kushusha??Hujui kitu kabisa wadanganye wajinga wenzio...USSR iliundwa na Jamhuri 15 tu na Czechoslovakia sio miongoni mwa hizo...miongoni mwa Jamhuri zilizounda USSR ni Russia, Brerussia, Ukraine, Georgia, Armenia, krgistan, Turkmestan, Arzbejain, Lativia, Lithuania, Estonia na nyingine nne zilizobaki lakini siyo Czechoslovakia.....
Ila Czechoslovakia ilikuwa ni miongoni mwa nchi zilizounda Warsaw Pact yaani umoja wa kijeshi wa nchi za ulaya mashariki...Warsaw Pact ambayo ilikuwa sawa na NATO ilivunjika miaka ya 1990 baada ya kusambaratika kwa USSR...Warsaw Pact iliundwa na nchi kadhaa ikiwemo USSR, Poland, East Germany, Czechoslovakia, Bulgaria na Hungary...makao makuu ya Warsaw Pact yalikuwa Warsaw Poland...
Baada ya kuvunjika kwa ukomunisti Czechoslovakia nayo ilivunjika na kuwa nchi mbili anbazo ni Czech na Slovakia ..nadhani Sasa umeelewa angalau kidogo ...usipende kudanganya watu humu...Kuna watu wengi wanazijua nchi hizi..
Kwa hiyo msipende kuropokaropoka humu manbo msiyoyajua...
Hata mgogoro wa Russia na Ukraine wengi wanaropoka ropoka tu hawajui hata kiini chake...
Kumbukeni nyie vina wa siku hizi...Kuna kizazi Cha Watanzania wamesoma kwenye nchi hizo za ulaya mashariki dnzi za ujamaa na Ukomunisti...kwa hiyo msilete za kuleta hjmu
Pole Sana...ipo siku utaelewa...We jamaa, umekula maharage ya wapi?? Yaan wao wanavunjika vp kwa sababu ya USSR kama hawakuwa mlengo mmoja?? Unaelewa ulicholeta au umekopi na kushusha??
Akili zingine za mkopo kweli... Sasa kama walizitumia kuwaua Syria why hao hao wa'Syria wajitolee kuungana na Jeshi la Urusi ndani ya Ukraine?Waliziharibu baada ya kuzitumia kuwauwa wa Syria?
Hujui kitu kabisa wadanganye wajinga wenzio...USSR iliundwa na Jamhuri 15 tu na Czechoslovakia sio miongoni mwa hizo...miongoni mwa Jamhuri zilizounda USSR ni Russia, Brerussia, Ukraine, Georgia, Armenia, krgistan, Turkmestan, Arzbejain, Lativia, Lithuania, Estonia na nyingine nne zilizobaki lakini siyo Czechoslovakia.....
Ila Czechoslovakia ilikuwa ni miongoni mwa nchi zilizounda Warsaw Pact yaani umoja wa kijeshi wa nchi za ulaya mashariki...Warsaw Pact ambayo ilikuwa sawa na NATO ilivunjika miaka ya 1990 baada ya kusambaratika kwa USSR...Warsaw Pact iliundwa na nchi kadhaa ikiwemo USSR, Poland, East Germany, Czechoslovakia, Bulgaria na Hungary...makao makuu ya Warsaw Pact yalikuwa Warsaw Poland...
Baada ya kuvunjika kwa ukomunisti Czechoslovakia nayo ilivunjika na kuwa nchi mbili anbazo ni Czech na Slovakia ..nadhani Sasa umeelewa angalau kidogo ...usipende kudanganya watu humu...Kuna watu wengi wanazijua nchi hizi..
Kwa hiyo msipende kuropokaropoka humu manbo msiyoyajua...
Hata mgogoro wa Russia na Ukraine wengi wanaropoka ropoka tu hawajui hata kiini chake...
Kumbukeni nyie vina wa siku hizi...Kuna kizazi Cha Watanzania wamesoma kwenye nchi hizo za ulaya mashariki dnzi za ujamaa na Ukomunisti...kwa hiyo msilete za kuleta hjmu
Bwana Msimamoo, siwezi kuona hasira yoyote kwa Bwana 1954. Amejibu ujinga kuu kwa upole, na upendo mkubwa kwa kumpa mtu asiye na kitu chochote darsa na elimu bure.Mkuu umeleta madini lkn kwa hasira mno, punguza kidogo ili uje na kiini cha mgogoro unaondelea uko