Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Akili zingine za mkopo kweli... Sasa kama walizitumia kuwaua Syria why hao hao wa'Syria wajitolee kuungana na Jeshi la Urusi ndani ya Ukraine?
Labda kwa sababu Assad , kwa msaada wa Urusi, pamoja na Daesh na wagaidi walifaulu kuharibu Syria imekuwa nchi ya njaa tupu? Na watu (kama hawakutembea kwa miguu hadi Ujerumani) waliobaki wanachukua kila nafasi kujipatia senti?
Na Warusi wanawapa senti kwa sababu wameshapoteza askari wa kutosha, pamoja na hayo ni nafuu kisiasa kupata maiti za mamluki kuliko maiti za wananchi na raia?
 
Ukraine rescued Melitopol Mayor Ivan Fedorov, kidnapped by Russian occupiers! It was a special operation, he is safe now, Deputy Head of the Presidential Office Kyrylo Tymoshenko said in a statement. "We don't leave our people in danger!" Tymoshenko said!

Ukweli ni kuwa hawa Urusi ni wepesi saana tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na hii Vita inawaumbua zaidi Warusi yaani ni mdebwedo kabisa Sasa wangekutana na mziki wa Poland si ndio balaa
Wote unaowataja si wageni kwenye kupata kipigo kutoka kwa Warusi.wanajua Warusi ni watu wa aina gani.
 
Total Post 813,
Likes received 613....

Avarage Like per post 0.75...

This show how yo "nonsenses" being ignored kila mda unapojarib kujitutumua...
Mzee si tulikubaliana hamna kutumia miguu, mbn sasa unapiga mateke tena kama van damme!? Taratibu bwana utaua

[emoji1787][emoji12]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
#Kherson , airport, Russian equipment is on fire after the attack. It could have been better, of course, but it turned out so well (the video was replaced, the quality is better here)
😂😂😂😂😂
 
Vijana wadogo! Huyu alizaliwa 1990!
Alexander Tarkhanov, born in 2000 from the village of Menderskoye, Kurgan region. I was able to finish only 9 classes, tried myself in different professions, but decided to end my life in the ranks of the occupiers in Ukraine. He did it


 
Labda kwa sababu Assad , kwa msaada wa Urusi, pamoja na Daesh na wagaidi walifaulu kuharibu Syria imekuwa nchi ya njaa tupu? Na watu (kama hawakutembea kwa miguu hadi Ujerumani) waliobaki wanachukua kila nafasi kujipatia senti?
Na Warusi wanawapa senti kwa sababu wameshapoteza askari wa kutosha, pamoja na hayo ni nafuu kisiasa kupata maiti za mamluki kuliko maiti za wananchi na raia?
"Labda" means huna uhakika na unachokizungumza...

Screenshot_20220316-211817.jpg


Angalia mwaka huo vizuri... aliyeanza kuingia Syria ni USA 2013 akishirikiana na waasi wa Syria kutaka kumpindua Assad...

Assad akaomba msaada kutoka kwa nani... Soma apo chini.

Screenshot_20220316-211850.jpg


Af kisha tumia utashi wako kufikiri sio mihemko... Kisha ujibu kwa hoja zilizonyooka...

Kingine hujiulizi USA alisaidia upande wa waasi na RUSSIA akaenda kuisadia serikali.... Enhe ka n Dhaifu ikawaje mpk leo hii mwaka 9 hao Mazuzu wako hawajaipindua Serikali?

Mnapiga taarabu kwenye "Media" uku linawakaanga kwenye "Field"
 
Mzee si tulikubaliana hamna kutumia miguu, mbn sasa unapiga mateke tena kama van damme!? Taratibu bwana utaua

[emoji1787][emoji12]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah mwisho unaamua kumzoom vizuri tu uelewe reputation yake kwanza [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] usije jikuta unaua Mende kwa Rungu.
 
Kaka samahani, history book yako kutoka wapi??
1) Ukraine haina silaha za kushambulia nchi kama Urusi, kinyume walikabidhi kwa hiari yao silaha za nyuklia kwa Urusi (iliyoahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine daima)
2. Je kati ya mipaka ya Urusi ni nchi ngapi za NATO? Mipaka ya Rusi inagusana kwenye 6 % za urefu wake na nchi za NATO. (kama Urusi isingechukua ardhi ya Finland na Ujerumani, ingekuwa sehemu ndogo zaidi; ni hapa tu KArelia inagusana kidogo na Norwei na Kaliningrag inapogusana na Poland na Lithuania, tzoite mbili hazikuw maeneo ya Kirusi kabla ya 1945
3. Vita za Urusi dhidi ya nchi nyingine:
a) Urusi imepanuka na kujenga milki ya koloni ambazo ziko nyingi hadi leo (ila ajabu Waafrika wengi hawaelewi): Siberia yoote ilivamiwa na kuchukuliwa kama makoloni ya Urusi katika karne zilizopita;
Nchi zote za Asia ya Kati (ambazo zimepata uhuru mwaka 1991) zilikuwa koloni za Urusi tangu karne ya 19; nchi za Kaukazi (Azerbaijan, Georgia, Chechnia, Armenia, Cherkesia) zilivamiwa katika karne ya 19 kwa damu nyingi;
1939 Urusi ilivamia Poland (pamoja na Ujerumani) na Finland;
1940 ilivamia Estonia, Latvia na Lithuania
1953 ilituma majeshi kukandamiza mapinduzi katika Ujerumani Mashariki
1956 ilituma jeshi kukandamiza uhuru wa Hungaria
1968 ilituma jeshi kukandamiza uhurui wa Chekoslovakia
1994/96 na 1999/2009 ilipiga vita kukomesha uhuru wa Chechnya

Si ajabu majirani wengi wana mashaka kuhusu Urusi na ahadi zake.
Historia imekupita kushoto yaani kwa jinsi ulivyo mweupe yakupasa upate course ndefu sana ya masuala ya historia
 
Captain of the Guard Alexander Vladimirovich Ilyin, born in 1981 from the village of Shcherbaki, Novosibirsk region. completed his participation in the "special operation" on 03/01/22 near the village of Rudnya, Chernihiv region. Ukraine

 
Back
Top Bottom