Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

And also from Nova Kakhovka: the Russian flag now flies over the city hall along with the flag of Ukraine.

There used to be a statue of Lenin in front of the City Hall. The nationalists, of course, did not give rest to such an alignment, and Lenin was removed.

But the trouble is, for all these years, Ukrainian patriots have not found a politically correct local who would also change the course of human history on a large scale.

Having come up with nothing better, the patriots of Ukraine stuck a cap and a stick on the podium, painted it in the colors of the Ukrainian flag and stuck another Ukrainian flag on top. The main thing is to be proud
Galip SV Liwagu View attachment 2153096View attachment 2153097

View attachment 2153095
Nadhani hizi nipicha za bandia kama zile baadhi ya video za bandia zinazoonyesha Ukraine wakitungua ndege na helkopta za Russia.
 
Hapana, tatizo kubwa nchi ndogo zinapomikili silaha kubwa huleta shida kwenye jumuiya za kimataifa. Unaona KOREA KASKAZINI?? Mud wote wao wanatamani vita, ugomvi na ubabe. Urusi miaka yote hawana ugomvi na wala hajawahi hatarisha maisha ya wengine.
Hao Ukraine wanatumika kama mlango wa kuidhoofisha Urusi kupitia NATO na USA ndio maana wanakula kichapo. Mbona kuna nchi zimepakana na Urusi na zipo NATO? au hujui? Ni kwamba hizo nchi hazina chokochoko, na kama umefuatilia, tangu Zelenskyy achaguliwe yeye amekuwa mtu wa kuisema vibaya URUSI na anasisitiza atapambana na hilo.
Hapo ndipo kazi ilipoanza, au unadhani mgogoro huu umeanza mwaka huu?
Huyu raisi wa Ukraine kachaguliwa Crimea ikiwa imechukuliwa tayari, hapo hapo Urusi anatoa msaada wa dhahiri kwa majimbo ya Ukraine yaweze kujitangazia uhuru. Hakuna raisi wa nchi mwenye kujua wajibu wake ambaye anaweza kulivumilia hili. Hili mwisho wa siku kila mkoa utakuwa umejitangizia uhuru na taifa la Ukraine litavunjika kama USSR ilivyovunjika. Tujiulize kama tunasema Urusi ni mpenda haki za watu tujiulize, je wale waasi wa Chenchen walivyotaka kujitenga, kiliwapata?
Kuna wakati nilikuwa nina mawazo kuwa baadhi ya mataifa madogo hayapaswi kuwa na silaha kubwa, lakini ukiangalia vitendo vya China, Urusi na Marekani yenyewe utaona ni wazi hizi tunazosema ni nchi ndogo zinahitaji silaha hatari kabisa za kuzuia uonevu kutoka mataifa makubwa.
 
Kaka samahani, history book yako kutoka wapi??
1) Ukraine haina silaha za kushambulia nchi kama Urusi, kinyume walikabidhi kwa hiari yao silaha za nyuklia kwa Urusi (iliyoahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine daima)
2. Je kati ya mipaka ya Urusi ni nchi ngapi za NATO? Mipaka ya Rusi inagusana kwenye 6 % za urefu wake na nchi za NATO. (kama Urusi isingechukua ardhi ya Finland na Ujerumani, ingekuwa sehemu ndogo zaidi; ni hapa tu KArelia inagusana kidogo na Norwei na Kaliningrag inapogusana na Poland na Lithuania, tzoite mbili hazikuw maeneo ya Kirusi kabla ya 1945
3. Vita za Urusi dhidi ya nchi nyingine:
a) Urusi imepanuka na kujenga milki ya koloni ambazo ziko nyingi hadi leo (ila ajabu Waafrika wengi hawaelewi): Siberia yoote ilivamiwa na kuchukuliwa kama makoloni ya Urusi katika karne zilizopita;
Nchi zote za Asia ya Kati (ambazo zimepata uhuru mwaka 1991) zilikuwa koloni za Urusi tangu karne ya 19; nchi za Kaukazi (Azerbaijan, Georgia, Chechnia, Armenia, Cherkesia) zilivamiwa katika karne ya 19 kwa damu nyingi;
1939 Urusi ilivamia Poland (pamoja na Ujerumani) na Finland;
1940 ilivamia Estonia, Latvia na Lithuania
1953 ilituma majeshi kukandamiza mapinduzi katika Ujerumani Mashariki
1956 ilituma jeshi kukandamiza uhuru wa Hungaria
1968 ilituma jeshi kukandamiza uhurui wa Chekoslovakia
1994/96 na 1999/2009 ilipiga vita kukomesha uhuru wa Chechnya

Si ajabu majirani wengi wana mashaka kuhusu Urusi na ahadi zake.
 
Hii muhimu sana.
Sababu kubwa ya watu kuwekeza nje ya nchi ni kukimbia sera mbovu na ubabe wa Serikali iliyopo madarakani.Hivi kwa mwekezaji ambaye hapatani na Putin anaweza kufanya biashara ndani ya Urusi?
Hata hapa Tz wakati wa mwendazake kuna watu walihamishia biashara zao Rwanda, Congo DRC, etc, sababu zilikuwa ni hizi hizi.
 
Financial Times: Russia and Ukraine have prepared a plan that provides for a ceasefire and the withdrawal of troops, subject to the neutrality of Kyiv and the reduction of the number of Ukrainian troops.
Galip SV Liwagu View attachment 2153084
[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Urusi hataki akivamia tena mara nyingine akutane na resistance aliyokutana nayo sasa hivi.
 
View attachment 2153092The WHO has suspended the evaluation of Sputnik V due to technical difficulties caused by sanctions, RIA Novosti reported.
Galip SV Liwagu
Sputnik V ndio chanjo ya kwanza ya COVID-19 kutolewa sasa wanasemaje kuna technical difficulties kwenye evaluation. Vikwazo gani vinazuia evaluation ya mambo muhimu ya afya
 
Huyu raisi wa Ukraine kachaguliwa Crimea ikiwa imechukuliwa tayari, hapo hapo Urusi anatoa msaada wa dhahiri kwa majimbo ya Ukraine yaweze kujitangazia uhuru. Hakuna raisi wa nchi mwenye kujua wajibu wake ambaye anaweza kulivumilia hili. Hili mwisho wa siku kila mkoa utakuwa umejitangizia uhuru na taifa la Ukraine litavunjika kama USSR ilivyovunjika. Tujiulize kama tunasema Urusi ni mpenda haki za watu tujiulize, je wale waasi wa Chenchen walivyotaka kujitenga, kiliwapata?
Kuna wakati nilikuwa nina mawazo kuwa baadhi ya mataifa madogo hayapaswi kuwa na silaha kubwa, lakini ukiangalia vitendo vya China, Urusi na Marekani yenyewe utaona ni wazi hizi tunazosema ni nchi ndogo zinahitaji silaha hatari kabisa za kuzuia uonevu kutoka mataifa makubwa.
Mkuu siraha hazizuii uonevu,
Siraha haipigani vita ila watu ndo wanapigana vita na watu ndo wakuzuia uonevu.

Ukiwa na siraha za hatari ila vionguzi wa hovyo Ni sawa na jeshi la Simba linaloongozwa na kondoo.
Urusi anajipigia huko sababu NATO hamna kiongozi, US kaonekana sio real super power yaana Nchi inavamiwa halafu wakusaidia anakaa pembeni wanakimbilia vikwazo vya kipuuzi.

Hiyo vita ikiisha Urusi akashinda US hatakuwa Superpower Tena na vikwazo vitakuwa vimeondoka automatically.
 
❗️Operation End? Russia and Ukraine are prepping a plan to include a ceasefire & withdrawal of troops - Kremlin spox neither confirms nor denies

The deal is reportedly subject to the neutrality of Kiev and a reduction of the Ukrainian armed forces (FT citing sources).

Kremlin spokesperson Dmitry Peskov said it is too early to give a firm statement on the Financial Times report.
 
hii news mbaya sana kwa marekani
 
Unaandika kwa hasira sana, ubora wa jeshi la urusi unatambuliwa na wakubwa zako, pale Syria watu wanajua kwanini mpaka leo Assad yupo madarakani.
Hapo Ukraine ni special operation ambayo inabagua, hawapigi ovyo ndio maana silaha kali hazitumiki, ndio maana 'kuruta ' wa kirusi wamepelekwa mbele, Kwanini ? Huwezi jua nini kitatokea mbele ndio maana watu wanatanguliza nguvu kidg, then wanasoma mchezo.
Ukraine inazalisha wakimbizi, mali na miundombinu zainaaribika, watu wanakufa ni hasara kubwa ambayo Cnn, BBC na media za west hawatakuambia.
Swali kwako, je benk zote za urusi wamefungiwa Swift? Nchi za ulaya kuna hata moja imezuia nishati ya russia?

Ni lazima uwe open minded vikwazo kwa urusi vinaumiza sana pale ulaya, na anayecheza huu mchezo yupo mbali.
Mkuu nmeona bwana Yericko anasema wanajeshi wa Russia wansopogana Ukraine siyo wale wenyewe, siyo jeshi analotegemea Russia, wewe waonaje, ni kweli?
 
Huyu raisi wa Ukraine kachaguliwa Crimea ikiwa imechukuliwa tayari, hapo hapo Urusi anatoa msaada wa dhahiri kwa majimbo ya Ukraine yaweze kujitangazia uhuru. Hakuna raisi wa nchi mwenye kujua wajibu wake ambaye anaweza kulivumilia hili. Hili mwisho wa siku kila mkoa utakuwa umejitangizia uhuru na taifa la Ukraine litavunjika kama USSR ilivyovunjika. Tujiulize kama tunasema Urusi ni mpenda haki za watu tujiulize, je wale waasi wa Chenchen walivyotaka kujitenga, kiliwapata?
Kuna wakati nilikuwa nina mawazo kuwa baadhi ya mataifa madogo hayapaswi kuwa na silaha kubwa, lakini ukiangalia vitendo vya China, Urusi na Marekani yenyewe utaona ni wazi hizi tunazosema ni nchi ndogo zinahitaji silaha hatari kabisa za kuzuia uonevu kutoka mataifa makubwa.
India walikuwa hawamuelewi Waziri Mkuu wao aliyepitisha mradi mgumu wa silaha za nyuklia wakiwa maskini. Leo wanashukuru bora wanazo maana maadui zao Pakistan au China ambao nao wanazo hawawatishi.

Zelensky yuko sahihi kupigana na Russia iliyowavamia. Russia ilianza na Crimea, ikaja na Donetsk na Luhansk, leo tena inavamia nchi nzima hata mgekuwa nyinyi na nchi yenu lazima mgefia kwenye mapigano. Kama tunavyokubali Abiy Ahmed azuie Ethiopia kuvunjika.

Putin naye yuko sahihi kuzuia Ukraine kujiunga NATO. Tatizo linakuja hawa wawili hawakukaa kukubaliana
 
Kaka samahani, history book yako kutoka wapi??
1) Ukraine haina silaha za kushambulia nchi kama Urusi, kinyume walikabidhi kwa hiari yao silaha za nyuklia kwa Urusi (iliyoahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine daima)
2. Je kati ya mipaka ya Urusi ni nchi ngapi za NATO? Mipaka ya Rusi inagusana kwenye 6 % za urefu wake na nchi za NATO. (kama Urusi isingechukua ardhi ya Finland na Ujerumani, ingekuwa sehemu ndogo zaidi; ni hapa tu KArelia inagusana kidogo na Norwei na Kaliningrag inapogusana na Poland na Lithuania, tzoite mbili hazikuw maeneo ya Kirusi kabla ya 1945
3. Vita za Urusi dhidi ya nchi nyingine:
a) Urusi imepanuka na kujenga milki ya koloni ambazo ziko nyingi hadi leo (ila ajabu Waafrika wengi hawaelewi): Siberia yoote ilivamiwa na kuchukuliwa kama makoloni ya Urudi katika karne zilizopita; Nchi zote za Asia ya Kati (ambazo zimepata uhuru mwaka 1991) zilikuwa koloni za Urusi tangu karne ya 19; nchi za Kaukazi (Azerbaijan, Georgia, Chechnia, Armenia, Cherkesia) zilivamiwa katika karne ya 19 kwa damu nyingi;
1939 Urusi ilivamia Poland (pamoja na Ujerumani) na Finland;
1940 ilivamia Estonia, Latvia na Lithuania
1953 ilituma majeshi kukandamiza mapinduzi katika Ujerumani Mashariki
1956 ilituma jeshi kukandamitza uhuru wa Hungaria
1968 ilituma jeshi kukandamiza uhurui wa Chekoslovakia
1994/96 na 1999/2009 ilipiga vita kukomesha uhuru wa Chechnya

Si ajabu majirani wengi wana mashaka kuhusu Urusi na ahadi zake.
We unadhani kwann MAREKANI asiungane na wenzake wa AMERIKA YA KUSINI na KASKAZINI kuunda UMOJA wao wa KUJIHAMI??
 
India walikuwa hawamuelewi Waziri Mkuu wao aliyepitisha mradi mgumu wa silaha za nyuklia wakiwa maskini. Leo wanashukuru bora wanazo maana maadui zao Pakistan au China ambao nao wanazo hawawatishi.

Zelensky yuko sahihi kupigana na Russia iliyowavamia. Russia ilianza na Crimea, ikaja na Donetsk na Luhansk, leo tena inavamia nchi nzima hata mgekuwa nyinyi na nchi yenu lazima mgefia kwenye mapigano. Kama tunavyokubali Abiy Ahmed azuie Ethiopia kuvunjika.

Putin naye yuko sahihi kuzuia Ukraine kujiunga NATO. Tatizo linakuja hawa wawili hawakukaa kukubaliana
Wamewahi kukaa pamoja kujadili, ila inaonekana wazi, UKRAINE anataka kujiona yuko huru zaidi.
 
NATO Chief Stoltenberg Holds Press Conference After NATO Defence Minister's Extraordinary Meeting​

The NATO defence ministers' meeting took place in Brussels on Wednesday; the participants are expected to discuss the "new reality" in the field of security in Europe and their ability to strengthen their own security in all areas.

Sputnik is live as NATO Secretary General Jens Stoltenberg is giving a press conference in Brussels following the extraordinary meeting of NATO Ministers of Defence, which took place amid Moscow's special military operation in Ukraine.
 
Back
Top Bottom