Dharau zipi ilhali nakwambia "ukweli" wa moyo wangu [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847] Russia "anapigika" mpaka anaomba Poo kwa nchi jirani [emoji23][emoji23][emoji23]
Joannah basi tu najaribu kukupa taarifa za kuukosha moyo wako nikikupa zingine utanuna na kuziona Prop....nda... So twende hivi hivi tutafika [emoji1732][emoji1739]
Any way msikilize huyu dada japo hutomwelewa lugha ake ila "hints" ya anachozungumza naiweka kwa chini...
View attachment 2153573
View attachment 2153574
View attachment 2153575
[emoji1255] The story of civilians about 15 days of hell in basements without electricity, water and communications.
Hadithi ya raia kuhusu
"15 days of hell" katika vyumba vya chini bila umeme, maji na mawasiliano.
[emoji3502]The Kiev security forces did not help civilians in any way.
Vikosi vya usalama vya Kiev havikuwasaidia raia kwa vyovyote vile.
[emoji3502]The Armed Forces of Ukraine deployed armored vehicles in close proximity to civilian bomb shelters.
Vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vilipeleka magari ya kivita karibu na makazi ya raia.
[emoji3502]Everyone who tried to leave the city through "humanitarian corridors" was killed at the exit from Mariupol.
Kila mtu ambaye alijaribu kuondoka jijini kupitia "humanitarian corridors" aliuawa kwenye njia ya kutokea Mariupol.
[emoji3502]Instead of food and water, the Ukrainian military distributed propaganda materials among the local population that the Russian army was defeated and that the war would end not today or tomorrow (photo attached).
View attachment 2153572
Badala ya chakula na maji, jeshi la Kiukreni lilisambaza vifaa vya propaganda kati ya wakazi wa eneo hilo kwamba jeshi la Urusi lilishindwa na kwamba vita havitaisha leo au kesho.
[emoji3502]The Russian army tried to provide the refugees with everything they needed.
Jeshi la Urusi lilijaribu kuwapa wakimbizi kila kitu walichohitaji.
Na hili la mwisho Video nyingi tu za matani ya shehena za vyakula zinazoingizwa kutoka Russia ninazo unfortunately are too large zingine Mb 200, Mb 400 and so ningekupa ukaziona...
Sasa jiulize kwanini Raia wao wanalalamika... Kama kweli ni mashujaa kwanini wawatumie Raia wao kama kinga. Na hiki kitu huezi kukipata kwe Media za magharibi na wala sijazitoa Sputnik wala RT za Mrusi...
Nimeitoa kwa "Uncensored Reporters" walio kwenye tukio wasio na mahaba wala mihemko ka sie... [emoji847][emoji847][emoji847] Ila kwa kua haziwapendezi ruksa kuzichukua kama Propaganda [emoji3577]
Apo nyuma nishawah kukwambia kukwambia ka wakumbuka kua wanasiasa sio watu wazuri, they are just a peace of shi*... Wako radhi kuua Raia wao au kudhuru Raia wao wenyewe kwa lengo la kumchafua mwingine aonekane mbaya... Hao ndo politicians.
Wanashinda kwenye ma'Office wakila selfie saaaafi kabisa dunia iwaone huku Raia wakiteseka.... Wanatulia kwenye viyoyozi huku kamtanguliza mtoto wa mwanamke mwenzio msitari wa mbele akafe vizuri.
Kwa sasa kaanza taratibu kukubaliana na Matakwa ya Russia.
View attachment 2153605