We kichwa ako iko special [emoji119][emoji119][emoji119] so no matter nini utaambiwa as long as hakiwasemi vibaya Russia na Putin wao kwako n "Invalid"....
Haya sasa tuendelee na Mapambio Russia wana njaa... Ukraine Oyeeeee... Oyeeeee
Wanaiba vyakula wapuuuzi sana hao... Ukraine Oyeeee.... Oyeeeee
Wameenda kuomba msaada China wa chakula wasije kufa njaa... Ukraine Oyeeee... Oyeeee
Russia na Putin wao wote wachumba tu... Ukraine Oyeeeee... Oyeeee...
Putin a.k.a Mr Vodka kwa mujib wa Miss
Joannah ni mshamba tu hajielewei... Ukraine Oyeeeee... Oyeeee....
NATO na USA n malaika wala sio wachokozi wao bali wamestaarabika kuliko kitu chochote dunia... NATO oyeeee... oyeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
USA na Biden wake watamwadabisha Russia na Putin wao.... USA oyeeeee... oyeeee [emoji847][emoji847][emoji847]
Ukimaliza apo
Joannah nenda kaoge ulale tu rafiki angu haya ya nje ya mipaka waachie wenyewe... Look like little you know kwe siasa za kidunia so ushauri wangu tu "Spare your emotions" kisha yape kisogo...