Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwanza nitake radhi kwa kunivunjia heshima!narudia umenikosea Sana!Wewe uliwahi niona wapi Mimi Ni mshabiki wa Biden na NATO?tafuta sehemu naisifia USA nakupa laki Sasa hivi!yaani Kama ambavyo simpendi Mr zero ndio ambavyo simpendi Biden na NATO,yaani Sipendi mtu anayeleta ukiranja na unokounoko na ubabe wa kijinga kwenye mipaka ya wenzie....kila kitu kina mipaka na iheshimiwa.....by the way pambio ulilianza vizuri ukaharibu mwisho....Dah kwa hiyo leo hii Joan Mimi hapa ndio I know nothing concerning Inter-politcs?
@Joannah bn [emoji23][emoji23][emoji23] yani ka HB wako Mr Zelensky...

Kwamba huwashabikii NATO wala Biden ila unaamin "Propaganda" zao... Kwamba unazijua International politics and yet unaamin Russia kaenda kuomba msaada wa chakula china... Ya kwamba uko so deep in International politics still hujui kilichokuwa kikiendelea Ukraine na sababu ya kumpeleka Russia Ukraine... Kwamba uko deep in International Politics ila ukakubali kulishwa "Tango Pori" na T14 Armata kuhusu Mkono w Putin... What a "Genius" [emoji119]

Anyway nikutake radhi ase [emoji847][emoji847][emoji847] nimekuvunjia heshima [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18] ni "kweli" unazijua vizuri tena Haswa niliteleza tu nisameh bure [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]....

Na kingine kumbe mapambio uliyapenda [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] basi takazana kuyaleta...

Kuna wasaidizi na ma-afisa usalama wa Putin wamenyongwa Ukraine... Ukraine Oyeee.... Oyeeee...

Kuna jeshi la siri lina mpango wa kumpindua Putin... Jeshi Oyeee... Oyeeeee...

Zelensky kavaa gwanda na kwenda kulipua vifaru laki 8 vya kirusi... Zelensky Oyeeeee... Oyeeeeeeeeeeeeee
 
Baada ya kubaini udhaifu mkubwa wa jeshi la Urusi ,Ukraine kuridhia kutojiunga na NATO ili amani ipatikane. Brave Ukraine inaweza kupambana na dhaifu Russian Federation "one to one". RF bonge la paper tiger.

Bora aisee,maana Putin kachoka mbaya hadi wafuasi wake hapa pia wapo hoi,namuona Joannah anavyowatoa povu,nasoma comment zao nacheka hatari.Ukiwa bado mgeni wa JF unaweza piga ngumi screen ya Computer yako au simu kisa umepanic Putin anasemwa vibaya 🤣
🤣
 
The RF Armed Forces destroyed an ammunition depot in the Rivne region, where missiles for the Tochka-U complex were stored.

From the briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation.

Russian aviation and air defense over the past day shot down a Ukrainian Mi-24 and Mi-8 helicopter, as well as 12 drones.

◾️Also, 11 anti-aircraft missile systems of the Armed Forces of Ukraine were destroyed per day, including the S-300 division
 
As a result, Pride hitchhiked to the border and left
^hitchhike^!!! Alilazimika KUDANDIA usafiri na kutoroka!!! 🙂 Alifanya maamuzi ya busara sana. Angekuwa marehemu kama yule deadliest snipper wa Canada aliyekaa uwanja wa vita hardly dakika 30, akazimwa.

Hii ni sawa na kisa cha yule askari wa UK aliyesimulia maumivu baada ya kurejea home kwa mbinde:

1647502167034.png
 
Kwanza nitake radhi kwa kunivunjia heshima!narudia umenikosea Sana!Wewe uliwahi niona wapi Mimi Ni mshabiki wa Biden na NATO?tafuta sehemu naisifia USA nakupa laki Sasa hivi!yaani Kama ambavyo simpendi Mr zero ndio ambavyo simpendi Biden na NATO,yaani Sipendi mtu anayeleta ukiranja na unokounoko na ubabe wa kijinga kwenye mipaka ya wenzie....kila kitu kina mipaka na iheshimiwa.....by the way pambio ulilianza vizuri ukaharibu mwisho....Dah kwa hiyo leo hii Joan Mimi hapa ndio I know nothing concerning Inter-politcs?
Unabishana na mtu hana kifua cha kuhimili na kwake yeye swala la kukubali kutokubaliana ni msamiati,nasoma comment nacheka hatari.JF ya siku hizi full burudani😂🤣
 
Mzee unafikiri Russia hawajui zipo sana kwenye rada zao na wanajua zinakopitia unaichukuli Russia kama Tanzania hivi. Sema waangalie Russia atatumia silaha nzito zaidi zikaleta maafa makubwa zaidi.

Possibility ya WW3 ipo kimasihara hivihvi
Ili Russia na NATO wapigane inabidi Russia amvamie member wa NATO na hapo Article 5 itatumika. Au NATO imvamie Russia. Unajua nimejibu nini pale, hakuna WW3 ndicho nimesema.

Humu watu mnakimbilia kujibu ila hamzingatii mnayemjibu kasema nini. Sijasema Russia hawezi shambulia hizo silaha, atazishambulia zikiwa Ukraine which doesn't provoke NATO. Hawezi shambulia zikiwa Poland ambako wakiziweka mpakani huwezi sema zinaingia Ukraine, na Poland iko active members wa NATO wakiwa karibu na vita huwa wanakaa attention kama Turkey ilivyodungua ndege ya Russia iliyokuwa inaenda Syria ila ikaingia kidogo kwenye anga lake.

Poland sio Ukraine mradi ziko ndani ya ardhi ya Poland hapo Russia akizishambulia ndio vita inaweza tokea. Hata juzi hapo alishambulia kambi yenye member wa NATO iliyopo Ukraine. Hawezi enda shambulia kambi ya NATO iliyopo Poland ambako kuna joint emergency force eti kisa shehena ya silaha inapitia hapo. Hiyo ni kitu kingine
 
Hizo sio habari za CNN wala BBC. Hizo ni observation tatizo lako la kuchukia hizo media lisikufanye uzisingizie kila taarifa inayotolewa. Hapo hujafatilia hata unachopinga mradi umeitaja NATO basi ushamaliza
🤣🤣
 
A mercenary from the UK stayed in Ukraine for only nine hours and escaped.

Jake Pryday himself, a NATO veteran, told 1843 Magazine about this. According to him, immediately upon arrival, he and other volunteers were told that they would undergo a five-day training, and then, regardless of their military experience, they would go to the front line.

The Briton spoke about the conditions offered to the mercenaries: they were settled in a room without heating, where there are 25 beds without sheets. And in the dining room, a breakfast of noodles and "a strange-tasting juice that smelled of gasoline" was served.

They promised to pay 7,000 hryvnias per month (about $230). All were offered an indefinite contract, under which they were not supposed to leave the country. “You are essentially signing your death warrant,” Pridey says. "I'm not interested in being a hero or dying."

He, like many others, refused to sign the contract: “For me, this is a hoax. They are selling you a dream. “You can help the Ukrainian people!” But then they throw you in the worst place possible in a war zone."
View attachment 2153643
As a result, Pride hitchhiked to the border and left.
Galip SV Liwagu
I'm humbly requesting the mods to pin down this comment for our future generations to study & restudy!
 

Russian Su-25 Aircraft Destroys Military Warehouses of Ukrainian Forces​

Russian Su-25 attack aircraft have destroyed military warehouses of the Ukrainian forces overnight, the Russian defence ministry said on Thursday.
Kwa hiyo hizo shehena za AMERICANATO zinakuja kuanza kwenye Ground Zero? Mwambieni Joe Biden, Zelensky wajisalimishe; waokoe maisha ya raia wasiokuwa na hatia.
 
Hizo S300 si ndo zilikua zinapigwa kwenye Vita ya Armenia na Azerbaijan. Kila kukicha zilikua zinalipuliwa na drones za Israeli na Turkey ambazo Azerbaijan walinunua.
Nilikupa somo juzi kuhusu uvumi wa kuwa Azebaijan aliiharibu S-300 ya Armenia sio wa kweli.

Leo nakujuza kuwa wakati wewe ambaye huijui S-300 (si tech iliyotumika kuiunda tu hata inavyofanya kazi) ukidai kuwa system hiyo haifai kwa ulinzi wa anga, rais Zelensky wa Ukraine amemuomba rais Biden wa Marekani ampatie msaada wa S-300 air-defense systems imlinde dhidi ya mashambulizi ya Russia.

Pia nakuongezea kuwa hata hao Azebaijan pia wanayo S-300 wanaitumia kwenye ulinzi wa anga yao.

========

Screenshot_20220317-101440_Chrome.jpg


SmartSelect_20220317-101133_Chrome.jpg
 
Hivi haya Mambo yalishindika kwa mediation kweli?Ila politicians Ni wabinafsi Sana.
Swali zuri Joannah... Nikuulize tena apo apo tangu 24th Feb uliwah kusikia western wanawaomba wakae chini wazungumze zaidi ya kutuma silaha kila leo?

Before 24th Feb uliyasikia "mikwara" alokuwa anapigwa Russia na Putin wao endapo atasogeza Pua Ukraine???

Alipoingia na kuwaambia atakayesogea "atapata pigo la kihistoria"... Wamefanya nini mpk leo zaidi y kutuma silaha wakipeleka pia wanajesh wao wanakufa ovyo kisha wanatuambia kwenye vyombo vya habari kua "Mashujaa"...

Kwanini wanataka kuirefusha vita? Kwanini wanawakinga Raia mbele wafe? Kinachotafutwa ni "War Criminal" na kulinyong'onyeza taifa la Urusi. Then what? Target kubwa akiwa Putin...

Je wajua pressure ya kutofikia mwafaka wa mazungumzo inatoka wapi? Magharibi... Je akina nani wanaoumia zaidi n Raia wa Ukraine.

Shujaa wako anatumika ila hutaki kukubali, nchi yake inageuzwa battle ground kwa kafara ya raia wake kushibisha Interest za kundi flan [emoji848]

Ushawah kujiuliza the "Fall of Russia" "Sanctions against Russia"... Economically anafaidika nani na kuumia wakina nani? Yes Russia anakuwa affected na hizo sanctions ila consequences kwa Europe unaifaham? Na sasa anatumia mwanya wa Russia il kujihalalishia "Secondary sanctions kwa China" endapo akitumika kuby-pass hvo vikwazo vilivoelekezwa Russia..

Je kwa nchi ambayo iko dependents kwa over 50% ya nishati kutoka Russia.. nishati ndio Uti wa mgongo wa Uchumi popote dunian... Atakubali USA ampangie nini cha kufanya kwa Russia?

This is more than kile kinachoonekana nje... It's "Geopolitical War" inayochezwa na ma-big Fish nyuma ya Pazia uku Ukraine na Raia wake wakitumika kama "Pawn" ya kutimiliza Ajenda zao....
 
Putin hotuba yake leo inatisha raia wake. It seems hapendelei Warusi matajiri wanaoishi nje anaosema wako Westernized zaidi na anasema wengine wao watatumika kuisaliti nchi. Hao amewaita fifth column. Pia anasema anadhani 'purification' ya jamii ni necessary

Putin tangu mwaka jana kwenye hotuba ya mwaka mpya 2021 ulipoanza hakuwa anafanya movements za mkono wake wa kulia. Anauficha mpaka leo za zile gestures anatumia wa kushoto tu, wa kulia hautikisiki. Kuna observer mmoja tangu aseme hivyo siku hiyo huwa nauzingatia
Umenifanya nirudi kuangalia clip zake kama mbili tatu hivi,hilo la mkono ni kweli nimenotice.
 
Ha ha ha acha kujifarij zelensky kawazalilisha nato. Dunia imeshuhudia udhaif na uwoga wa marekani mbele ya urusi ha ha ha ha hata mimi nimestuka kwa kweli ndio maana juzi iran imejipigia tu vikambi vya marekani
It's rather the opposite! AMERICANATO amemdanganya, amemchomea, amemuuza na kumdhalilisha Zelensky na Ukraine yake. Pathetic!
 
Ukraine ikipewa mifumo ya Ulinzi na ikafanikiwa kuzidhiti ndege za Urusi nadhani Urusi itaanza kutumia makombora zaidi yatakayo fanya uharibifu mkubwa sana kuliko hata hizo ndege.

Mimi nadhani waongee kila upande ujaribu kulegeza mashariti yake ili vita hii hiishe ndio jia pekee ya kuinusuru Ukraine mengine ni kujifariji tu.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.

Kwenye masuala ya armour tiyari anti tank missiles zinafanya maisha ya tank crews za Russia yawe magumu. MANPADS zimefanya helicopters zisahaulike kabisa. Ukraine anataka silaha za kwenda sambamba mambo ya kupigana ground yanakuwa ni kupambana sawa.

Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
 
Video ya leo ikionesha rubani wa ndege ya kivita wa jeshi la Russia akiingia kwenye ndege na kwenda kushambulia targets ndani ya Ukraine. Watu 20,000 wame-like video, huku wengine kibao wakisifia kazi nzuri na ya lazima ya kulinda usalama wa nchi ya Russia ifanywayo na wanajeshi wa Russia nchini Ukraine



View attachment 2153370

Kumbe ni likes 20+ k only si zote zinatoka ndani ya Russia,mbona kuna clips kibao za Ukraine zina likes mara 4 ya hizo na hatuoni ajabu🙂.
 
Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
Hawataki kusikia hii hoja hata kidogo,watakujia na ile sababu ya" Russia hatumii nguvu sana katika hii vita"
 
Back
Top Bottom