Nimekwambia hayo mahaba uliyonayo kama ungekuwa unaweza mpe mkeo atakushukuru kila kukicha... Hv hata hiyo taarifa umeisoma kweli? Au umekurupuka kujibu?
View attachment 2153411
Umekielewe kweli anachokizungumza apo? Hyo the Mirror aloweka Profile bendera ya Ukraine ni ya Russia?
Nakuuliza tena umeyasoma hayo maelezo kwenye hiyo tweet?
Anyway nenda kajifunze ulimwengu zaidi....
thenationalpulse.com
US under secretary of state Nuland akiri uwepo wa hiz labs af we bro na mahaba ako wakana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko we unajua kuliko yeye sio?
Endelea kuongeza maarifa uku
The Pentagon Bio-weapons - Dilyana.bg
Na kingine kuna yule former national security advisor na director wa DIA Defence Intelligent Agent Michale T. Flynn kafatilie anazungumza nn kuhusu taifa lake juu ya hizo Biolabs Ukraine... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulivo na mahaba ni sawa na CCM watuhumiwe kuhusu ben Saanane af atokee mtu na mahaba ake kama wewe ukane kabisa uwepo wa ben Saanane... Kwamba hakuna mtu anayeitwa ben Saanane...
Punguza mahaba urejeshe Utashi wako.
AlJazeera inaeleza waiwazi madai yale ni "conspiration theory". Wahusika wa UN walieleza hawana habari. Hakuna aliyeweza kuonyesha mantiki yoyote -kama Marekani wangetaka kufanya utafiti huu- kwa nini waipeleke katika nchi dhaifu ambayo si salama kama Ukraine??? Na kama wangeanza 2005 hawakufika mahali popote hadi sasa??? Jamani kuna mengi ya kulaumu na kukosoa kuhusu Marekani lakini kasi ya kobe si udhaifu wao...
Niliandika juu hii inahusu kiasili programu ya kushughulika makabaki hatari ya silaha za kibiolojia toka enzi za USSR. Baadaye pia ushauri jinsi ya kushughulika viini hatari. Mwishoni nasikia walifanya utafiti wa Covid pia.
Ila jinsi ilivyo na nadharia za njama, zinavuta vichaa wote wa Dunia (pamoja na QAnon wa US. Ukipenda kushikamana na hao, Furahia!!!)
ALJAZEERA:
Russian allegations of US-funded biolabs in Ukraine gain traction with conspiracy theorists including QAnon followers.
www.aljazeera.com
Russia’s claims about secret American biological warfare labs in Ukraine are taking root in the United States too, uniting
COVID-19 conspiracy theorists, QAnon adherents and some supporters of ex-President Donald Trump.
Despite
rebuttals from independent scientists, Ukrainian leaders, and officials at the White House and Pentagon, the online popularity of the claims suggests some Americans are willing to trust Kremlin propaganda over the US media and government.
Like any effective conspiracy theory, the Russian claim relies on some truths: Ukraine does maintain a network of biological labs dedicated to research into pathogens, and those labs have received funding and research support from the US.
But the labs are owned and operated by Ukraine, and the work is not secret. It is part of an initiative called the Biological Threat Reduction Program, which aims to reduce the likelihood of deadly outbreaks, whether natural or man made.
RFE:
UN Says It's Not Aware Of Any Biological Weapons Program In Ukraine
Russia had requested a Security Council meeting to address its allegations of U.S. “biological activities” in Ukraine -- a charge made without any evidence and denied by both Washington and Kyiv.
Izumi Nakamitsu, the UN high representative for disarmament affairs, told the council that the United Nations is "not aware" of any biological weapons program in Ukraine.
The Russian envoy to the United Nations, Vasily Nebenzya, repeated the claim -- without providing evidence -- that Ukraine ran biological weapons laboratories with U.S. Defense Department support.
Under a 2005 agreement, the Pentagon has assisted several Ukrainian public health laboratories with improving the security of dangerous pathogens and technology used in research.
The U.S. envoy to the United Nations, Linda Thomas-Greenfield, said Washington was "deeply concerned" that Russia called the session as a "false flag effort" aimed at laying the groundwork for its own use of biological or chemical weapons in Ukraine.
"Russia has a track record of falsely accusing other countries of the very violations that Russia itself is perpetrating,” Thomas-Greenfield said.