Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Putin fake?Putin hotuba yake leo inatisha raia wake. It seems hapendelei Warusi matajiri wanaoishi nje anaosema wako Westernized zaidi na anasema wengine wao watatumika kuisaliti nchi. Hao amewaita fifth column. Pia anasema anadhani 'purification' ya jamii ni necessary
Putin tangu mwaka jana kwenye hotuba ya mwaka mpya 2021 ulipoanza hakuwa anafanya movements za mkono wake wa kulia. Anauficha mpaka leo za zile gestures anatumia wa kushoto tu, wa kulia hautikisiki. Kuna observer mmoja tangu aseme hivyo siku hiyo huwa nauzingatia