Ukraine ilitaka kujiunga na NMATO tangu muda mrefu, lakini haikupokelewa. Ndani ya Ukraine ilikuwa chaguo la wananchi, lakini NATO imewakataa,
Kulikuwa na ushirikiano kuwapa jeshi la Ukraine uzoefu katika silaha za kujitetea.
Si silaha za kushambulia.
Washauri kutoka nchi za NATO ziko nchi nyingi, hata Tanzania. Mimi nakumbuka sasa Marekani na Ujerumani. Wanafanya mazoezi na wanajeshi wa Tanzania na kuwafundisha.
Hii ya Biolabs ni propaganda tupu. Karibu kila nchi kuna "biolabs"; mfano kwa uchunguzi wa magonjwa. Dar es Salaam biolabs ziko. Hakuna maabara ya Marekani Ukraine.
Marekani ilifanya mapatano na Ukraine na nchi nyingine kama Georgia kuwasaidia kudhibti silaha za kibiolojia zilizokuwa zilibaki baada ya mwisho wa USSR.
ambayo ni jambo jema sana.