LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mwambie rais wa Ukraine aache comedy. Atiingiza nchi yake kwenye matatizo.

Makubaliano yalikiwepo miaka na miaka yeye anayavunja kirahisi tu. Russia will not withdraw troops in Ukraine, maana Ukraine kwa sasa haaminiki.
I agree with u 100%
ila kwa sasa inatosha, mwamba katoa somo kwa Ukrine limeesomeka.
sasa Ukrine itakaa mezani kwa adabu zote.
hivi sas mazungumzo yameanza huko border.
 
yani wewe ni fala sana, kama unamchukia Putin kwa kuwasikiliza wamarekani lazima uwe na akili kama zako

libya,iran afghanstan, saiv wanamtuhumu urusi ili waonekane ni watu .

saivi jamaaa anasema makachelo wametumwa ili wamuue hasa watu weusi wakati ni kweli kwamba wanawazuia wasiondoke kwa kuwabagua kama weusi.

hlf anawachafua kwa kusema wametumwa.
Baada ya kuona Africa hakuna negative response kwa wajamaa wenzetu wa kirusi,Sasa anaanza kutupaka matope!!!. Wao so wanawazuia nduguzetu ili wafie eneo la Vita ili waafrica tumchukie urusi. Ila walichokosea hawakuwanyang'anya simu ma nigga.

Tumeshajua Nini kinafanyika. Na saivi tunamalizia mazoezi ya mwisho ili tunyanyuke na Y8 yetu na dreamliner kwenda kuwachukua watanganyinka wenzetu hapohapo kivu/Kiev. Ila wasijetu kulalamika kuwa Tanzania tumewavamia sisi tunaenda kufanya rescue mission ya ndugu zetu. Wakati dreamliner inasubiri abiria waletwe Ankara hapo vijana wa 92 a.k.a Maroon Commandos na Marine special forces watakua wanatua kwa dharula Katika viwanja vilivyo tekwa na Russia jirani na kiev na karkiv. Alafu gemu itaiehia hapo.

Ila Ukraine wamekosea sana kuzuia watu kuescap Hawa ambao bado wapo Kiev sawa, tunaweza kuelewa kuwa kipaumbele Ni raia wao. ila hao waliopo border!!,sijui wanawazuia Nini?.
Yaaani nimewachukia bure hao pimbiz wa Ukraine. Putin aamrishe tu kamanda ya makombola imalize Vita.
 
Alafu ndo mnasema jamaa ni masikini Sana?
Umaskini wake wanazani kwansababu rahia kuwa na maisha ya kimaskini. Hawajui kupanga ni kuchagua.

Kachagua ku invest kwenye majeshi kuliko kitu kingine chochote kile, so sio maskini kama wanavyosema. Kwasababu nchi yake imejengeka vizuri tu, huwezi kufananisha na Tz.

Yani ukae useme North korea ni maskini, Unaweza kuifananisha North korea na Tanzania? Tanzania maskini Je ina vile vifaa kama vya North korea? Watu humu hamna kitu kichwani wengi ni watoto wa 2005 tu.
images (17).jpeg
images (16).jpeg
images (15).jpeg
images (14).jpeg
images (13).jpeg
 
Nani kamuelewa huyu Masanja mwigizaji wa Ukraine ( Ze Comedian Zelensky), yeya anadai wameua askari wa Russia zaidi ya 4,000, well hongera yao kama ni kweli😎 halafu wakati huo huo anadai ati Russia kafanya mauaji makubwa ya genocide nchini Ukraine! Na kutaka eti Russia iwajibike.

Lifahamu Kombora la balistiki la Russia liitwalo ISKANDER, lililoshambulia na kuusambaratisha uwanja wa ndege wa Ukraine (Zhytomyr Airport)

View attachment 2133876

Urusi uwezo anao wa kutupa haya makombora kwa mbali na kusambaratisha, ila mwisho wa siku atahitaji kuingia mtaani, na hapo ndio amesubiriwa wapigane mlango kwa mlango.
 
I agree with u 100%
ila kwa sasa inatosha, mwamba katoa somo kwa Ukrine limeesomeka.
sasa Ukrine itakaa mezani kwa adabu zote.
hivi sas mazungumzo yameanza huko border.
Lazima kutakuwa na new agreements. Na lazima Ukraine azi sign haraka iwezekanavyo.
 
Hao watatu ndio dunia, ukitengwa na EU, UK, USA na Canada, umeisha.

Nilisoma sehemu Urusi amesitisha safari za kwenye sayari za nje maana imeshindikana.
Khee we vipi?? Kwenu pale Kibera sio Duniani??? Wakenya hizi akili za kijinga huwa mnatoaga wapi??
 
Nani kamuelewa huyu Masanja mwigizaji wa Ukraine ( Ze Comedian Zelensky), wao wanadai wameua askari wa Russia zaidi ya 4,000 halafu wakati huo huo anadai Russia kafanya mauaji makubwa ya genocide nchini Ukraine

Ukishughulisha ubongo kidogo utaelewa, Mrusi anarusha makombora yake kwenye makazi ya watu, hayo ni mauaji ya kimbari....
Ukraine wamezindua tovuti yenye taarifa za kila mwanajeshi wa Urusi aliyeuawa, Warusi wameombwa waingie humo na kutafuta taarifa za watu wao.
 
Baada ya kuona Africa hakuna negative response kwa wajamaa wenzetu wa kirusi,Sasa anaanza kutupaka matope!!!. Wao so wanawazuia nduguzetu ili wafie eneo la Vita ili waafrica tumchukie urusi. Ila walichokosea hawakuwanyang'anya simu ma nigga.

Tumeshajua Nini kinafanyika. Na saivi tunamalizia mazoezi ya mwisho ili tunyanyuke na Y8 yetu na dreamliner kwenda kuwachukua watanganyinka wenzetu hapohapo kivu/Kiev. Ila wasijetu kulalamika kuwa Tanzania tumewavamia sisi tunaenda kufanya rescue mission ya ndugu zetu. Wakati dreamliner inasubiri abiria waletwe Ankara hapo vijana wa 92 a.k.a Maroon Commandos na Marine special forces watakua wanatua kwa dharula Katika viwanja vilivyo tekwa na Russia jirani na kiev na karkiv. Alafu gemu itaiehia hapo.

Ila Ukraine wamekosea sana kuzuia watu kuescap Hawa ambao bado wapo Kiev sawa, tunaweza kuelewa kuwa kipaumbele Ni raia wao. ila hao waliopo border!!,sijui wanawazuia Nini?.
Yaaani nimewachukia bure hao pimbiz wa Ukraine. Putin aamrishe tu kamanda ya makombola imalize Vita.
Wanaokataza waafrika kuingia nchi kwao ni poland na Wala sio Ukraine inaonekana unalishwa matango pori
 
Ndio mimi yule yule tatizo kuna pro-Russians huwa wanaamini mimi ni mwenzao kisa nimejiita jina la kifaru chao. Mimi sipendi kutetea upande, kama ulizoea kwingine kama Syria naitetea Urusi sio kwamba nawashabikia. Inategemea wamefanya nini, na kwa hili la Ukraine wala sina upande ingawa kwa sasa nimeanza kutamani either mazungumzo yamalize vita au Kyiv ianguke.

Nahisi dalili mbaya za Westerns kutaka wabaki wao tu dunia hii tutateseka kiusalama. It seems wanataka vita iendelee, Russia atumie nguvu nyingi aue raia zaidi. Mpaka sasa Russia ameua raia wachache, Ukraine yule Zelensky namtilia wasiwasi Wayahudi sio watu wa kuwaamini sana. Putin alipokuwa anawaita neo-Nazi wapiganaji wa Ukraine kuna ukweli wa mbali, ile vita ya Donbass kuanzia 2014 neo-Nazis walikuwa na batallion yao inapigana kwa ubora kabisa. Tangu Zelensky aombe wageni wakaisaidie Ukraine walioenda wengi ni extremist groups na mashabiki wa Nazi wapo. Surprisingly, Zelensky mwenyewe Myahudi.

Palestina na Yemen wakifanya hikihiki kilichofanywa na Ukraine wanaitwa terrorists. USA akifanya hiki kilichofanywa na Russia, anaitwa global police sijui democracy. Ninachopendelea ni strong Russia, hawa wazungu kwanini wanatumia nguvu sana ashindwe wanataka akishindwa na akafeli uchumi wakose upinzani kisha watufanye nini. Imagine kusingekuwa na Iran pale Middle East jinsi ambavyo Israel ingekuwa inawafanya Waarabu. Kunatakiwa kuwepo balance of power
Kweli Sasa huyu ni wewe, heshima kwako mkuu.
 
Urusi uwezo anao wa kutupa haya makombora kwa mbali na kusambaratisha, ila mwisho wa siku atahitaji kuingia mtaani, na hapo ndio amesubiriwa wapigane mlango kwa mlango.
Mzee huna uhalali wa ku comment kwenye hii thread. Nenda kwenu Kenya kawaambie waache kubaka mbuzi
Screenshot_20211114-121344.png
 
kwa kijemeni "Korea Kaskazini inainanga Marekani kwa kujiwekea 'ubabe wa kijeshi' dhidi ya mahitaji ya himaya ya kiulinzi ya Mosco".
Korea anamuunga mkono Russia na kuwatadhalisha inzi wa USA kuwa anaweza akatia chumvi kwenye kidonda
Mkuu kwa sasa kila nikisoma comment zako nabaki kucheka tu,asante sana kwakuwa mchangamshaji wa Thread hii.
 
Back
Top Bottom