Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anaepinga ndiyo ana burden ya ku proof kile anachokipinga,Simple.
Sheria ama kanuni ya wapi hiyo? Anayeleta shauri na hoja ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha ukweli husika beyond reasonable doubt. Otherwise, asipofanya hivyo, hatakuwa tofauti na Joe Biden anayedai waziwazi mbele ya TV cameras kwamba Kamala Harris ni mkewe!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha kbs, tena leo nimeamini wala Putin mwenyewe hamfaham vizuri.


Anakwambia ugonjwa alonao Putin angekuwa marekan angejiuzuru [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajisahaulisha kibabu Biden kimeshaanza kupoteza kumbukumbu kias cha kuanza kumwita First Lady Makam wake wa Raisi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado kipo madarakani.

View attachment 2153443
Nyundo tu hahahaa[emoji1787]



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Diseases Spread to Humans Through Bats Studied in Kharkov Under US Control For Years​


The Russian defence ministry continues to study documents received from employees of Ukrainian laboratories on the implementation of biological warfare programmes by the United States and its NATO allies on the territory of Ukraine, the official said.
Hao Pro AMERICANATO wasituulize tena kwa nini Putin anamshughulikia dogo Zele! Sasa tunaelewa kwa nini US alikuwa na papara za kuhamishia China magoli ya chanzo cha UVIKO-19!

Plus, statement yake kwamba maafisa wa Ukraine wanapaswa kufanya vyovyote vile ili nyaraka za biolabs zisiangukie mikononi mwa Warusi. Too late, Joe!

We can also see clearly why Trump applauded Putin saying he is such a smart president.
 
Destruction of the positions of Ukrainian nationalists in the Kiev region.

The video is published by the Ministry of Defense of the Russian Federation.

The camouflaged fortifications were discovered using UAVs. They were then hit with artillery.
 
Ukraine jeuri sana,
Urusi hakuwa na intelligence ya uhakika, na ali underestimate uwezo wa Ukraine, Zerensky, Wananchi wa Ukraine...

Kwa muda mrefu Urusi atapoteza sana
Ukraine hana chakupoteza maana silaha anapewa bure

Vita ikiisha fedha za Urusi zilizokuwa blocked ndo zitaenda kutumika ijenga Ukraine
Watakuja kukwambia BRICS, gesi na mafuta. Putin ni authoritarian na kawaida ya hawa ukiwaambia ukweli wanakutimua kazi, ukishafutwa kazi kwenye defense au intelligence community ya Russia ukiwa na cheo kikubwa basi wewe life expectancy inashuka.

Zelensky anakubalika sana na jeshi na ni mhunimhuni tu wala hajakaa kimadaraka, viongozi wake hata wa kijeshi wanamuelewa na hawamuogopi. We tazama wanadiplomasia aliotuma waende Belarus wengine wamevaa kapelo wengine majaketi ya mistari tofauti na wanyuka suti. Zelenskiy yuko approachable huna haja ya kumdanganya, jeshi lilimuhakikishia linaweza mount opposition mradi aweze kujiliza wampe silaha na alivyo Myahudi basi hicho ni kipaji chao. Ndio maana Marekani ilitaka imtoeoshe akagoma.
Wakati huo Putin intelligence community yake ilimwambia Ukraine kuna neo-Nazis tutawapiga, Zelenskiy hakubaliki na raia watalipokea jeshi la Urusi. Mambo yalipobadilika Putin akataka jeshi la Ukraine limpindue Rais wao.

Urusi haikujipanga, Ukraine tangu wanajeshi wake mwaka 2014 wajisalimishe pale Crimea bila kurusha hata risasi, then Donetsk na Luhansk zikatwaliwa basi nchi imejifunza kupambana. Haiwezekani ilikuwa inafanya mazoezi bure tu na kutumia gharama nyingi. Hata mauzo ya silaha iliyokuwa nayo imestop mfano Congo DRC ilikuwa imeagiza vifaru modification ya T-64 ila Ukraine wanazitumia wenyewe
 
Sheria ama kanuni ya wapi hiyo? Anayeleta shauri na hoja ndiye mwenye mzigo wa kuthibitisha ukweli husika beyond reasonable doubt. Otherwise, asipofanya hivyo, hatakuwa tofauti na Joe Biden anayedai waziwazi mbele ya TV cameras kwamba Kamala Harris ni mkewe!
Sasa aliyeleta mwanzo si ametoa kile alichoamini kuwa ni sahihi tayari,wewe unaekipinga hicho alichokileta kuwa si sahihi basi leta kile unachodhani ni sahihi ili udiscredit kile kilicholetwa.Hayo mengine ya Biden ni stress zako tu Mkuu ,hiyo nakuachia u deal nazo mwenyewe😅
 
Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.

Kwenye masuala ya armour tiyari anti tank missiles zinafanya maisha ya tank crews za Russia yawe magumu. MANPADS zimefanya helicopters zisahaulike kabisa. Ukraine anataka silaha za kwenda sambamba mambo ya kupigana ground yanakuwa ni kupambana sawa.

Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
Mkuu kuna watu wanasema Russia hatumii jeshi analotegemea (red army), angetumia hao Hali ingekuwa tofauti, kuna ukweli?
 
Update: Urusi inatumia silaha za kizamani ambazo shabaha zake ni za kiwango cha chini
Wajeda zaidi ya 7,000 wa Urusi wameuawa kwenye vita
Majeshi ya Urusi yanasonga mbele kwa ugumu mno.
Wananchi wa Urusi hawapati update ya vita, Vyombo vya habari nchini mwao zinasifu tu haziwaonyeshi wananchi wake yanayotokea live vitani, vyombo vya habari haviko huru.
 
Watakuja kukwambia BRICS, gesi na mafuta. Putin ni authoritarian na kawaida ya hawa ukiwaambia ukweli wanakutimua kazi, ukishafutwa kazi kwenye defense au intelligence community ya Russia ukiwa na cheo kikubwa basi wewe life expectancy inashuka.

Zelensky anakubalika sana na jeshi na ni mhunimhuni tu wala hajakaa kimadaraka, viongozi wake hata wa kijeshi wanamuelewa na hawamuogopi. We tazama wanadiplomasia aliotuma waende Belarus wengine wamevaa kapelo wengine majaketi ya mistari tofauti na wanyuka suti. Zelenskiy yuko approachable huna haja ya kumdanganya, jeshi lilimuhakikishia linaweza mount opposition mradi aweze kujiliza wampe silaha na alivyo Myahudi basi hicho ni kipaji chao. Ndio maana Marekani ilitaka imtoeoshe akagoma.
Wakati huo Putin intelligence community yake ilimwambia Ukraine kuna neo-Nazis tutawapiga, Zelenskiy hakubaliki na raia watalipokea jeshi la Urusi. Mambo yalipobadilika Putin akataka jeshi la Ukraine limpindue Rais wao.

Urusi haikujipanga, Ukraine tangu wanajeshi wake mwaka 2014 wajisalimishe pale Crimea bila kurusha hata risasi, then Donetsk na Luhansk zikatwaliwa basi nchi imejifunza kupambana. Haiwezekani ilikuwa inafanya mazoezi bure tu na kutumia gharama nyingi. Hata mauzo ya silaha iliyokuwa nayo imestop mfano Congo DRC ilikuwa imeagiza vifaru modification ya T-64 ila Ukraine wanazitumia wenyewe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa pumzika sasa, yaan wewe intelejensia yako imekupa majibu kuwa PUTIN aliambiwa kuwa Zelenskyy hapendwi hivyo watashinda hiyo vita.
Kumbe ww ni mweupe hivi??
 
Hivi haya Mambo yalishindika kwa mediation kweli?Ila politicians Ni wabinafsi Sana.
Njia ya majadiliano ilikuwepo,lakini kumbuka wakati huo tayari Ukraine walikuwa wamepitisha Kwa kura kuomba kujiunga na NATO!
Bila kuwa mshabiki,Ukraine ndiye alikuwa wa kwanza kupiga hatua kuilazimisha Russia kufanya uvamizi!
Na aliyekuwa nyuma ya hayo yote anajulikana!
Kama muda ungerudi nyuma,sidhani kama Ukraine angeingia mkenge na kufanya uamuzi alioufanya,Mateso wanayopitia wananchi wa Ukraine hawastahili,maana ukifikiri sana inachopigania Ukraine,it's not worth the sacrifices!
 
Mojawapo ya mifumo ya ulinzi hiyo ni kuzuia makombora. Wakipewa drones zitaenda zuia artillery na MRLs. Sasa kama Ukraine wana TB2 peke yake wanaihangaisha hivi Urusi ingekuwaje wawe na drones za Israel.

Kwenye masuala ya armour tiyari anti tank missiles zinafanya maisha ya tank crews za Russia yawe magumu. MANPADS zimefanya helicopters zisahaulike kabisa. Ukraine anataka silaha za kwenda sambamba mambo ya kupigana ground yanakuwa ni kupambana sawa.

Hii vita ilitakiwa iwe imeisha kama Russia ni superpower na anapigana na ka Ukraine ambako ni the poorest country in Europe. Sasa unashindwa maskini kina Ukraine silaha zenyewe wanaombaomba uje uwezane na kina muungano wa kina Germany, France, UK, etc.
Mkuu ni kweli Urusi inaweza kuwa imeonesha udhaifu ila mm kinacho nikera ni kurazimisha Urusi ifanye kitu ambacho hata hao nato wenye nguvu unao wasema hawajawahi kufanya na hawatakaa waweze kufanya.
Ukraine ni linchi likumbwa mno na lenye miji mingi huwezi kuliteka kirahisi ndani ya muda mnao taka Urusi afanye labda utume jeshi la watu milioni moja

Mkuu na ww acha kuikuza sana Israel tofauti na uharisia.
Sasa hivi upo unainanga Urusi kwa kushindwa kuiteka Ukraine ndani ya wiki tatu za vita.
Lakini mbona hauongelei kushindwa kwa Operation ya Israel ya kuliangamiza kundi la hamas na kuidhibiti gaza mwaka 2014?

Tena Operation hiyo ilidumu zaidi ya mwezi lakini hakuna walicho kiambulia zaidi ya kupoteza wanajeshi wake, kupoteza baadhi ya vifaa vyake na kuuwa watu wasio na hatia, ina maana hamasi ingekuwa na silaha za kisasa kama alizo nazo Ukraine Israel ingekumbana na maafa makubwa sana kuliko hata haya anayo kumbana nayo Russia.

Mkuu kuhusu udhaifu wa silaha za Urusi dhidi ya zile za kimagharibi, mbona huongelei silaha za kimagharibi ambazo mpaka sasa zimeshindwa mbele ya silaha za kirusi na kiirani nchini Yemen na Syria?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Waingie huko mtaani kikomando waviziane mlango kwa mlango, mumewakuta watu kwenye mitaa yao kisha mnalalamika kwanini wanatumia mitaa kupigana.
Wanilalamika ni nyie waukrain kwamba mnashushiwa mabom, sasa kwa vile mmeamua kupigania mitaani kaeni kwa kutulia hayo mabom yashushwe,
 
Back
Top Bottom