Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
Subiri warusi waje wakugombeze kwa kuleta habari kutoka kwa Millard Ayo.Wnazipenda tu zile za Millard zinazowafurahisha wao
Sasa mnatupigia kelele hapa kila siku kwa nini,shusheni hata leo muufute mji wa Kyiv kama hiyo jeuri mnayo,mmebaki mnambwela mbwela tu nnje ya Kyiv na li msafara lenu la magari ya kichovu yanayoishiwa mafuta ovyo,sijui limefia wapi kwa sasa 🙂Wanilalamika ni nyie waukrain kwamba mnashushiwa mabom, sasa kwa vile mmeamua kupigania mitaani kaeni kwa kutulia hayo mabom yashushwe,
Wanilalamika ni nyie waukrain kwamba mnashushiwa mabom, sasa kwa vile mmeamua kupigania mitaani kaeni kwa kutulia hayo mabom yashushwe,
Major General Vitaly Gerasimov did not deserve a magnificent funeral. Screwed up and shamefully disappeared near Kharkov on 07/03/22. And everything is like this: Not a war, but a special operation, not genocide, but denazification. And even some kind of hybrid funeral. Because #losing
Wewe nae uwe unaona aibu,kila kitu kwako ni propaganda ila unacholeta wewe unalazimisha watu tukiunge mkono. Punguza upumbavu na ujuaji,shwaini.Achana na hizi habari za uzushi hazisaidii, sio kila kitu unajua.
Mbona yuko sawa, video zake zipo, na hana shida yoyote? Hizi taarifa kutoka CNN, BBC, SKYNEWS zisikutoe ufahamu kwa kiwango hiki. We bakia kwenye kuchambua vita na zaidi ukibase USA, NATO na UKRAINE.
Hizi ndio mnazipenda ila kama zingesema jeshi la Urusi limekwama mngedai ni propaganda.Mtalaamu mbobevu wa Mambo ya kivita Toka Marekani amechambua vita vya Urusi na Ukraine na kubaini kuwa Hadi Sasa tayari sehemu kubwa ya jeshi la Ukraine limeshashindwa na waliibaki wamezingirwa na hawana madhara makubwa. Hata ukiingiza silaha Ukraine hakuna namna ya kuzifikisha kwa askari waliozingirwa! Jisomee mwenyewe hapa:
American military expert explains ‘slow’ Russian advance in Ukraine.
Propaganda in the West has created false expectations of Ukrainian success, retired US officer says. American military expert explains ‘slow’ Russian advance in Ukraine.
Western military equipment captured by Russian troops during the military operation in Ukraine, near the village of Huta-Mezhyhirska, north of Kiev. [emoji2398] Sputnik / Russian Defence Ministry.
Russia has largely achieved its objective of neutralizing the Ukrainian military, but Western governments mistakenly believe the deliberate progress designed to avoid civilian casualties reflects weakness and are funneling weapons to prolong the fighting, a former top Pentagon adviser has said.
Russian President Vladimir Putin has given strict orders from the outset to avoid civilian casualties and extensive property damage, retired US Army Colonel Douglas Macgregor told the Grayzone in an extensive interview on Tuesday.
This has slowed the Russians’ advance “to the point where it has given false hope both to the Ukrainians … but seized on by people in the West, to try and convince the world that a defeat is in progress, when in fact the opposite is the case,” Macgregor said.
“The war, for all intents and purposes, has been decided,” the retired colonel said. “The entire operation from day one was focused on the destruction of Ukrainian forces. That’s largely complete.”
The Ukrainian units still active “are completely surrounded, cut off and isolated in various towns and cities,” said Macgregor, including as many as 60,000 on the border with Donetsk, whose supplies are likely running out by now.
Media coverage of the fighting, however, ignores this reality and paints a picture of the Russian military being “inept” – in the words of some US senators – because it didn’t defeat Kiev in mere days. This is then used as an argument by advocates of NATO intervention and a “no-fly zone,” but also those who wish to send more weapons to Kiev.
Zelensky renews push for no-fly zone in address to US CongressREAD MORE Zelensky renews push for no-fly zone in address to US Congress
“It’s very obvious Washington wants this to continue as long as possible, in hopes Russia would be desperately harmed. I just don’t see that happening,” Macgregor told Grayzone on Tuesday.
The biggest problem right now is that “in the West, there is no truth. There is wishful thinking and there is this impression of success by the Ukrainians that doesn’t stack up,” the colonel added. “The biggest lie I’ve heard repeated on television is, Russian troops have been told to deliberately murder Ukrainian civilians. That’s absurd, it’s nonsense.”
Ukrainian President Volodymyr Zelensky asked the US Congress on Wednesday to send fighter jets, air defense missiles and other weapons to Kiev, as well as establish a no-fly zone over Ukraine, so his army could defeat Russia. He made the same argument to Canadian lawmakers on Tuesday.
Macgregor, however, believes that such shipments will have no effect and that Zelensky’s refusal to negotiate an armistice is only going to get more Ukrainians killed.
Sio Libya wakati tunaona utopolo wake ardhini.RUSSIA sio LIBYA MKUU
Apo kwenye "udhaifu" ni kile tofauti na kilichotarajiwa na wengi hasa upande wa magharibi ambao wamezoea kulipua lipua na kuua Raia hovyo so walitarajia na mwenzao atafanya hivo...Mkuu ni kweli Urusi inaweza kuwa imeonesha udhaifu ila mm kinacho nikera ni kurazimisha Urusi ifanye kitu ambacho hata hao nato wenye nguvu unao wasema hawajawahi kufanya na hawatakaa waweze kufanya.
Ukraine ni linchi likumbwa mno na lenye miji mingi huwezi kuliteka kirahisi ndani ya muda mnao taka Urusi afanye labda utume jeshi la watu milioni moja
Mkuu na ww acha kuikuza sana Israel tofauti na uharisia.
Sasa hivi upo unainanga Urusi kwa kushindwa kuiteka Ukraine ndani ya wiki tatu za vita.
Lakini mbona hauongelei kushindwa kwa Operation ya Israel ya kuliangamiza kundi la hamas na kuidhibiti gaza mwaka 2014?
Tena Operation hiyo ilidumu zaidi ya mwezi lakini hakuna walicho kiambulia zaidi ya kupoteza wanajeshi wake, kupoteza baadhi ya vifaa vyake na kuuwa watu wasio na hatia, ina maana hamasi ingekuwa na silaha za kisasa kama alizo nazo Ukraine Israel ingekumbana na maafa makubwa sana kuliko hata haya anayo kumbana nayo Russia.
Mkuu kuhusu udhaifu wa silaha za Urusi dhidi ya zile za kimagharibi, mbona huongelei silaha za kimagharibi ambazo mpaka sasa zimeshindwa mbele ya silaha za kirusi na kiirani nchini Yemen na Syria?
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Bado ana google tulia basi [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]Mkuu T14 Armata njoo hapa [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] tuna jambo letu mie na wewe. Usijifanye mjanja kusoma kimya kimya[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji854]
Wakiwashe thread iwe tamu nipate Cha kufundisha History 2 form six mwakani.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂