Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255] The level of madness in the Ukrainian media rolls over

On March 14, an article was published about the deceased medic entitled “She saved her sworn brothers to the last: the invaders killed the mother of 6 children”.

View attachment 2154229

Then, on March 16, an article about the same dead woman was published on another site, only with a different title “Military doctor, mother of 12 children died in battles with the invaders”.

View attachment 2154228

Huyu Mama kafa mara 2 [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] 14th katangazwa kufa chombo na chombo kingine...

16th wakaibuka tena kumtangaza upya kua kafa...

Yani ni vituko tupu
 
Slovakia is discussing with the United States a possible replacement of Soviet-made weapons, including the S-300 and MiG-29, the Slovak Defense Ministry said.
Galip SV Liwagu
SmartSelect_20220314-181856_Gallery.png
 
Kwa hoja hizi tunakurekebisha bado unaleta ubishi? Narudia jielimishe
Ongea vitu vyenye maana, mtu akikosea basi eleza hoja sahihi ni ipi ili pia na yeye ajifunze kama kuna cha kujifunza. Hii ya kila jibu lako kusema jielimishe wakati hajaweza kushawishi watu na kile kidogo unachokijua ni jambo ambalo nalo linahitaji elimu.
 
BoJo Backtrack: “No way” Ukraine joining NATO “any time soon”


UK Prime Minister Boris Johnson has apparently slammed the NATO door firmly shut on Kiev, insisting it has always been the west’s position - despite his own ministers stating the opposite only last month. (Declassified UK)


"We've made it clear to Putin that there is no way Ukraine is going to join NATO any time soon," Johnson said Wednesday, adding he had spoken again to Ukrainian President Zelensky this week.


Lord Ahmad, Minister for the UN and Commonwealth, claimed all NATO allies remain committed to the 2008 Bucharest Summit Declaration that agreed Ukraine would join the alliance.


Nothing like a united front.


View attachment 2154295View attachment 2154296
i dont want any time soon means there will be time.nasem hiv natpatandika kiev mpaka abaki kuni na mafiga

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Sababu kubwa ya watu kuwekeza nje ya nchi ni kukimbia sera mbovu na ubabe wa Serikali iliyopo madarakani.Hivi kwa mwekezaji ambaye hapatani na Putin anaweza kufanya biashara ndani ya Urusi?
Hata hapa Tz wakati wa mwendazake kuna watu walihamishia biashara zao Rwanda, Congo DRC, etc, sababu zilikuwa ni hizi hizi.
Mkuu permanides kwa hiyo sababu uliyozungumza waonekana sio mfatiliaji mzuri wa mambo. Kuna makampuni kibao tu ya US, UK, France, Sweden n.k. yamewekeza nje ya nchi zao tena Russia. Mfano:
  1. Mwaka 2021 kulikuwa na makampuni 3651 ya ujerumani yamewekeza Russia.
  2. Mwaka 2021 mashirika ya wamarekani yalikuwa yamewekeza zaidi ya USD Bilioni 100
Kwa hiyo kwa mawazo yako utasema kuwa nchi hizo nazo watu wake wamewekeza Russia kwa sababu ya sera mbovu zilizomo katika nchi zao za asili?

=======

SmartSelect_20220317-180259_Chrome.jpg
SmartSelect_20220317-180836_Chrome.jpg
SmartSelect_20220317-180612_Chrome.jpg
 
Watu wanabisha kwa hoja eti kama silaha za Russia ni dhaifu mbona anashambulia Ukraine. Comparison yetu tunaifanya kwa pande zilizosababisha vita sio upande unaoathirika na magomvi yao.

Russia anaipiga Ukraine isijiunge na maadui zake NATO, Ukraine ni dhaifu mno mbele ya Russia. Kitu ambacho Russia anatumia hakijaguswa ni Kalibr missiles ni ngumu kuzifanyia interception. Mengineyo yote aina zote za vifaru kina T series zishapigwa, aina zote za IFV na APC kina BMP series tiyari, the most modern helicopter ya Russia Ka-52 zishapigwa kuna videos mbili zinaonekana. Ndege anazotumia ni Su-25 na Mig-34 zishapigwa, air defence system za Pantsir na Tor tiyari, artillery pieces na Grad rockets tiyari ila TOS sijaona kwanza zinatumika kwa uchache maana ni lawama zile, magari kina Kamaz hayo ndio wahanga wakubwa. Na silaha nyingine.

Kwa hizi silaha alizonazo Russia ishaonekana ni vulnerable kwa silaha za NATO. Zinataka tactics nzuri za deployment sahihi zaidi sio haya mambo ya Russian tanks kwenda mjini kwa adui bila infantry cover. Kwa kuwa silaha zinapigika na of course za NATO zinapigika vilevile ingawa sidhani kwa kiasi kama hiki, basi Russia anahitajika kuwa na number kubwa ambayo inataka uchumi mkubwa. Ukraine hata ipigwe leo ijisalimishe bado jeshi la Russia sio kitisho sana kwa NATO, hatujajua wings nyingine kama submarines na nukesView attachment 2153810
Ndo maana anasema NATO wakiingilia anafungua Nuclear, anajua NATO ni superior ila anajua ana nuclear
 
Mkuu permanides kwa hiyo sababu uliyozungumza waonekana sio mfatiliaji mzuri wa mambo. Kuna makampuni kibao tu ya US, UK, France, Sweden n.k. yamewekeza nje ya nchi zao tena Russia. Mfano:
  1. Mwaka 2021 kulikuwa na makampuni 3651 ya ujerumani yamewekeza Russia.
  2. Mwaka 2021 mashirika ya wamarekani yalikuwa yamewekeza zaidi ya USD Bilioni 100
Kwa hiyo kwa mawazo yako utasema kuwa nchi hizo nazo watu wake wamewekeza Russia kwa sababu ya sera mbovu zilizomo katika nchi zao za asili?

=======

View attachment 2154354View attachment 2154352View attachment 2154353
Tulikuwa tunazungumzia kwa muktadha wa Urusi.
 
Inabidi uwe na uwendawazimu na ego kubwa ndio uanzishe vita baina ya Russia na NATO. Kama Hitler alivyokuwa anajiona yeye ndio yeye akapigana na nchi kibao, bora yeye alikuwa na silaha na jeshi linapiga hasa na makamanda wake walikuwa moto wa kuotea mbali.

Hazionekani dalili za escalation kuvuka Ukraine
Soma na rudia Tena, kusoma nilichoandika.
 

Kremlin: Many people in Russian are showing themselves to be traitors​

The Kremlin has said that many people in Russia were showing themselves to be traitors and pointed to those who were resigning from their jobs and leaving the country.

Kremlin spokesperson Dmitry Peskov made the comments a day after President Vladimir Putin delivered a stark warning to Russian “traitors” who he said the West wanted to use as a “fifth column” to destroy the country.

Pro Russia mje huku mshaanza kuitana traitors
Kwenye Taifa lenye watu zaidi Milioni 140 ulitarajia kusiwe na wasaliti?
 
Back
Top Bottom