In Berdyansk, from the side of Melitopol, a column of Nazi equipment entered, about 30-35 pieces. 17/03/22 16.30
NI silaha gani Kali ambazo mpaka sasa haijatumia kwenye hii Vita?! Au unataka watumie nyuklia au chemical weapons?! Maana masilaha yake mazito mazito karibu yote kashatumia kuanzia thermobaric bombs,cluster bombs,iskander missiles,kalibr missiles, artillery shells,nk.Nyinyi ndio mnataka Ukraine iangamie maana mnasema Urusi ni dhaifu kwa kushindwa kuiteka Ukraine.
Kwa maana hiyo nyinyi mnataka Urusi ianze kutumia silaha kali za kuuwa maelfu ili ashinde vita haraka.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Ongea vitu vyenye maana, mtu akikosea basi eleza hoja sahihi ni ipi ili pia na yeye ajifunze kama kuna cha kujifunza. Hii ya kila jibu lako kusema jielimishe wakati hajaweza kushawishi watu na kile kidogo unachokijua ni jambo ambalo nalo linahitaji elimu.