Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
😄😄😄😄😄😄
 
NATO haijawahi ivamia Russia usilete mambo ya Simba na Yanga kwenye vita. Yani umekaa hapo umejipanga kushabikia, kama unataka wapigane iambie Russia iwavamie.

NATO inaiogopa Russia haijavamia, mbona NATO inatoa silaha Russia apigwe. Russia naye atoe silaha ili NATO apigwe, aanze na hilo ili aendelee kujipanga na vita
Urusi kawapa sana silaha wateleban awaue wanajeshi wa Marekani na NATO kipindi cha vita ya Afghanistan mpaka Marekani wakaanza kulialia
Screenshot_20220317-214135.jpg
Screenshot_20220317-214209.jpg
 
Urusi kawapa sana silaha wateleban awaue wanajeshi wa Marekani na NATO kipindi cha vita ya Afghanistan mpaka Marekani wakaanza kulialiaView attachment 2154594View attachment 2154595
Ambacho unajifanya hujui ni kwamba US ndio aliwapa silaha Mujahideen tena kwa waziwazi na kwa shipments nyingi waitoe Soviet Union hapo Afghanistan. Zile helikopta zao zilizokuwa zinadondoka ni kazi ya Stinger MANPADS from US arsenal. Mambo ya kawaida haya, hata leo Marekani anatoa silaha waziwazi kabisa kwa Ukraine na anatangaza
A%20Mujahideen%20fighter%20aims%20an%20FIM-92%20Stinger%20missile%20at%20passing%20aircraft%2C...jpg
 
Hahahaha kwamba wewe ni afisa wa FSB au?!

Humu nipo tangu huu mjadala unaanza mpaka Leo na sio kwamba nimeingia Jana au Leo nasoma updates karibu zote zikiwemo Hot news za huyo jamaa anayeiita NYUNDO YA MOTO
Narudia tena. Ukiwa unajadiliana na mimi leta facts siyo stori za vijiweni na umbea.
 
Wachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
Ha ha ha GANGA ZUMBA kweli ni kiazi.
 
Hawa UKRAINE wasipokuwa makini hii miji yao inaenda kuwa kama Aleppo au Grozny. Nimeona hata US sekretari ametilia shaka mbinu wanazotumia URUSI.
Ubishi wa Zelenskyy utawacost wenyewe.
Na sio ubishi tu wa Zelensky.... Ongezea kabisa Jamii ya Nyuma ya Pazia inayom-control Zelensky... Ambao hawana habari kabisa na nn kilichopo nchin apo na kwa Raia hao zaidi ya matakwa yao kukamilika....

Nazan tusisahau Most of Leaders duniani are just "Puppets"... Nyuma yao ndio wapo wenye mamlaka ambao huongoza mataifa hayo nyuma ya pazia... Na wao ndio huamua nani aongoze na nani asiongoze.

Nini kifanywe na nini kisifanyike [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Nahisi tatizo wanamsikiliza zelinsky aliejichimbia... mrusi anawapa nafasi kuondoka, wengine wanatishiwa wasiondoke - wengine wanaamini unafiki wa taarifa za habari "eti mtashinda, dunia inawaunga mkono"
Utaratibu ni uleule kuirudisha Ukraine iwe kama kijana bachela anayeanza maisha na kigodoro
 
Wamarekani wakomaa na Biden, wasema yeye ndiye aliye waletea machungu ya kupanda bei ya mafuta, na sio Putin.

Wanasema Biden alipoingia Ikulu ya Marekani January 2021, mafuta yalikuwa yakiuzwa kwa USD 2.37 kwa galoni (lita 3.8), sasa hivi ni USD 4.39 kwa galoni na yanaendelea kupanda karibu kila siku.

Waambieni waMarekani waache kulilia. Mbona hata sie huku Tanzania twanunua kwa bei karibu sawa na hiyo? USD 4.15 kwa galoni? Tatizo walizoea kuuziwa bei ya dezo kutokana na mafuta ya Putin aliyokuwa akiwamiminia.

=====

20220317_215018.jpg

SmartSelect_20220317-214842_Chrome.jpg

Screenshot_20220317-220221_Chrome.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo nyie mkiambiwa ukweli mnabisha lkn mkisema nyie mnataka tukubali.
hao jamaa vichaa kabisa 😂😂 halafu ujiwashinda kwa hoja wanakimbilia matusi
 
Back
Top Bottom