Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

During the military special operation, paratrooper Yaroslav Vyacheslavovich Turutin from Dimitrovgrad, Ulyanovsk region, was successfully demilitarized. Cossack cadet corps will not lead to good
 
Wewe ni muongo, soma hizo war head specification za Iskander
Screenshot_20220317-222211.jpg
 
#Donetsk , 17/03/22, all sorts of shit flew over the city
 
SS Mkuu Makombora ya tani tatu mbona yashatumika tukianza na hilo iskander,uzito wake ni 3800kg ambayo ni Sawa na tani 3 na kg 800.
Ambacho hakijatumika Labda NI nyuklia tu Ila convectional weapons karibu zote kashazitumia kuangusha maghorofa huko Ukraine
hakuna silaha ya kisasa iliyotumika ya makombora ya exkander hata bongo yapo na yazaman kinoma urusi anatumia su 25 za miaka ya 70
 
What happened? Yes, nothing happened, just 19-year-old Kolmogorov Ivan Lvovich from the village of Voskresensy in the Perm Territory successfully went to the army (however, he managed to

Resident of Vadinsk Viktor Suzdaltsev, born in 1999 was the only child in the family, but still, for some reason, he went to Ukraine. Who is his doctor now?
 
Habari
Wandugu Rais Putin amesaini na imewekwa sheria kwa aliyeko russia na kwingineko duniani ukikutwa umetaja neno vita badala ya operation maalumu ni kosa na unakwenda jera miaka 15 na ukiandamana kupinga pia operation unakwenda miaka 15 jera .....msije kusema haukujua .....
Hayo ni Maneno ya kisiasa na Wala sio Maneno ya Kijeshi. Labda pia itakuwa anafanya makusudi ili kuficha Aibu ya jeshi la Urusi nchini Ukraine.

Hivi ni Operation gani ya Kijeshi ambayo inahusisha zaidi ya Wanajeshi 150,000 ambao Wengine hawana hata ujuzi (Conscripts) Tena kwa zaidi ya siku 20 Sasa harafu Operation hiyo iitwe Maalumu ya Kijeshi? Huu ni uongo mkubwa kwa Putin.

Mkumbusheni maana ya Operation Maalumu ya Kijeshi labda ataelewa. Mpeni hata mfano wa OPERATION ENTEBE/OPERATION THUNDERSTORM au Maalufu Kama OPERATION YONATHAN ambayo Ilifanywa na Makomandoo wa Israel kuwakomboa Mateka zaidi ya 200 kwenye nchi iliyoko mbali kabisa na Israel-Uganda (4,500Km) na ilichukua mda wa Dakika 53 TU na Komandoo mmoja TU wa Israel (YONATHAN) Ndiye aliyekufa.

Sasa Nchi ya Pili kijeshi Duniani imeshindwa kabisa kuidhibiti nchi ndogo kabisa Kijeshi Duniani ukilinganisha na hiyo nchi ya Pili kijeshi Duniani. Harafu Cha kushangaza Hiyo nchi ipo Sebuleni kabisa lakini Jeshi lake linatungua tu Vindege vya Super Power namba 2 Duniani.

Mimi najifikilia,hivi ingelikuwa Ukraine ipo Umbali hata wa 4,000Km kutoka Urusi angeliweza hata kupeleka mwanajeshi hata mmoja au angeliishia TU Kurusha Nyuklia?

Hizi Rank za Millitary Power Duniani naomba ziangaliwe upya,Kuna nchi naona imepewa nafasi ya juu ambayo siyo ya kwake. Ipelekwe hata Namba 15 huko ili kuweka Record Sawa.
 
Wachambizi wenye akili kama akina Malcom lumumba, the bold nk wapo kimya sana. Kila tukichungulia uzi tunakuta 'viazi' kama ganga zumba na wapumbavu wengine. Wao ni hisia mbele za kushabikia watu. Wakiangalia movies za nje basi wanaleta hisia kwenye uhalisia.
Inasikitisha JF wapumbavu kutawala.
tuuwe tuuwee
 
Boris Johnson wa Uingereza arejea mikono mitupu toka Saudi Arabia. Aliamua kwenda Saudia kumpigia magoti MBS (Mohammed bin Salman) aongeze uzalishaji wa mafuta ili kufidie gepu la mahitaji ya mafuta ya Russia na hivyo kupunguza gharama za maisha zilizopanda zaidi Uingereza. Hata hivyo MBS kayatupilia mbali maombi yake.

Mwambieni Boris Johnson, siku nyingine akitaka kufanya maamuzi ya kususia bidhaa muhimu, atafute kwanza sehemu ya kupata bidhaa hiyo. Sio anakurupuka kurupuka tu kisha anaanza kutaabika!

Hii vita ikiisha kwa namna yoyote Ile,itasababisha mabadiliko makubwa sana yaifumo ya kidunia.
Inawezekana vitta hii ni mpango wa Mungu kuvunjwa nguvu za Magharibi.
Naona USD inaenda kupoteza nguvu yake,naona nchi nyingi zinaenda kujitoa kwenye makucha ya Marekani,naona balance of power halisi na east kuwa na nguvu zaidi,
Naona Marekani ikidharaulika zaidi,naona NATO inaenda kuvunjika na Ulaya kuwa na jeshi lake bila USA.
Nchi za Dunia zimeshamuona USA kama mhuni na malaya,kwa sababu yeye anpovamiaga nchi nyingine hakuna anemwekeaga vikwazo,lakini kwa Urusi anamtaka Kila mtu amwekee Urusi vikwazo.
Dunia imeamka aisee.
 
Ila nguvu ya dollar brother sio rahisi kwa hii miaka 30 inayofuatia.
 
Hii vita ikiisha kwa namna yoyote Ile,itasababisha mabadiliko makubwa sana yaifumo ya kidunia.
Inawezekana vitta hii ni mpango wa Mungu kuvunjwa nguvu za Magharibi.
Naona USD inaenda kupoteza nguvu yake,naona nchi nyingi zinaenda kujitoa kwenye makucha ya Marekani,naona balance of power halisi na east kuwa na nguvu zaidi,
Naona Marekani ikidharaulika zaidi,naona NATO inaenda kuvunjika na Ulaya kuwa na jeshi lake bila USA.
Nchi za Dunia zimeshamuona USA kama mhuni na malaya,kwa sababu yeye anpovamiaga nchi nyingine hakuna anemwekeaga vikwazo,lakini kwa Urusi anamtaka Kila mtu amwekee Urusi vikwazo.
Dunia imeamka aisee.
Mwanangu una uchungu hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi msululu wa ule wa magari ya kivita na vifaru kwa urefu wa maili 1.3 vimegeuzwa chuma chakavu vyote

Urusi kapigwa, kashindwa, kapoteza majenerali 4 na vifo vya askari wake wengi kwa muda mfupi zaidi rekodi ya juu zaidi

Askari wa Urusi wamewagomea wakuu wao kusogea mbele wakati huo Vifaa vya kisasa vinaingia kuwasaidia UKRAINE

ibaki tu wazi zama za ubabe na kupiga nchi nyingine sababu una nukes unatishia watu zimepitwa na wakati

Russia is no longer Super Power ila tu anabaki na nafasi with large arsenal of nukes
 
Hii vita ikiisha kwa namna yoyote Ile,itasababisha mabadiliko makubwa sana yaifumo ya kidunia.
Inawezekana vitta hii ni mpango wa Mungu kuvunjwa nguvu za Magharibi.
Naona USD inaenda kupoteza nguvu yake,naona nchi nyingi zinaenda kujitoa kwenye makucha ya Marekani,naona balance of power halisi na east kuwa na nguvu zaidi,
Naona Marekani ikidharaulika zaidi,naona NATO inaenda kuvunjika na Ulaya kuwa na jeshi lake bila USA.
Nchi za Dunia zimeshamuona USA kama mhuni na malaya,kwa sababu yeye anpovamiaga nchi nyingine hakuna anemwekeaga vikwazo,lakini kwa Urusi anamtaka Kila mtu amwekee Urusi vikwazo.
Dunia imeamka aisee.
Shule mlizosoma zimefanya mmekuwa viazi, umegeuka shehe yahaya au mganga ndele wa kupiga ramli
 
Mwanangu una uchungu hatari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi msululu wa ule wa magari ya kivita na vifaru kwa urefu wa maili 1.3 vimegeuzwa chuma chakavu vyote

Urusi kapigwa kashindwa kapoteza majenerali 4 na vifo vya askari wake wengi kwa muda mfupi

Askari wa Urusi wamewagomea wakuu wao kusogea mbele wakati huo Vifaa vya kisasa vinaingia
Huu nao uongo mwingine
 
Mkuu
Hii vita ikiisha kwa namna yoyote Ile,itasababisha mabadiliko makubwa sana yaifumo ya kidunia.
Inawezekana vitta hii ni mpango wa Mungu kuvunjwa nguvu za Magharibi.
Naona USD inaenda kupoteza nguvu yake,naona nchi nyingi zinaenda kujitoa kwenye makucha ya Marekani,naona balance of power halisi na east kuwa na nguvu zaidi,
Naona Marekani ikidharaulika zaidi,naona NATO inaenda kuvunjika na Ulaya kuwa na jeshi lake bila USA.
Nchi za Dunia zimeshamuona USA kama mhuni na malaya,kwa sababu yeye anpovamiaga nchi nyingine hakuna anemwekeaga vikwazo,lakini kwa Urusi anamtaka Kila mtu amwekee Urusi vikwazo.
Dunia imeamka aisee.
Mbona umetaja athari kwa upande mmoja (magharibi) VP upande wa Mashariki kutakuwa na athari gani?
 
Back
Top Bottom