Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Sio maabara ya kitaaifa Tanzania yalisaidiwa pia na Marekani? Nasema tu, "biolab" haisemi ni ya kuunda silaha. Pia ukifanya utafiti jinsi ya kujikinga na silaha za kinyuklia katika maabara, si kuunda silaha.
Urusi haukuweza kuonyesha uthibitisho, ingawa wanadai, Aljazeera (media ya si magharibi) waliita madai hayo falke. Kitengo cha UN wanohusika udhhibiti wa silaha walisema adharani hawaon dalili Ukraine inaandaa silaha hizo. Halafu je, Urusi haina maabara ya aina hiyo? Lazima wanayo, kkila nchi kubwa ianfanya utafiti wa silaha hizo na namna ya kujikinga. Urusi inafahamika inatengeneza sumu zinazofaa kwa silaha hizo maana walitumia kuua raia wao waliowahi kukimbia Uingereza.