Natty Bongoman
JF-Expert Member
- Oct 10, 2008
- 648
- 384
unaishi wapi ka hujaona hata mafuta yanapanda nk... ama we mwanafunziAnaitetemeshaje labda?
unaishi wapi ka hujaona hata mafuta yanapanda nk... ama we mwanafunziAnaitetemeshaje labda?
ana akili timamuMshirika wa kibiashara wa 'Burger King' bwana Alexander Kolobov kagoma kufunga migahawa yake 800 nchini Russia baada ya kuombwa na brand hiyo ya kibiashara iliyosambaa duniani kufunga migahawa hiyo kufuatia Putin kuishambulia kijeshi Ukraine.
Watu wanataka kuendelea kupiga pesa. 'Burger' na 'vita vya Ukraine' wapi na wapi?! Acheni kuchanganya mafaili
View attachment 2155048
umelishwa italian limbwataWewe unaangalia RT na Sputnik?
Nimejaribu kusoma mara mbili mbili lakini wapi sijaelewa kitu.Sio maabara ya kitaaifa Tanzania yalisaidiwa pia na Marekani? Nasema tu, "biolab" haisemi ni ya kuunda silaha. Pia ukifanya utafiti jinsi ya kujikinga na silaha za kinyuklia katika maabara, si kuunda silaha.
Urusi haukuweza kuonyesha uthibitisho, ingawa wanadai, Aljazeera (media ya si magharibi) waliita madai hayo falke. Kitengo cha UN wanohusika udhhibiti wa silaha walisema adharani hawaon dalili Ukraine inaandaa silaha hizo. Halafu je, Urusi haina maabara ya aina hiyo? Lazima wanayo, kkila nchi kubwa ianfanya utafiti wa silaha hizo na namna ya kujikinga. Urusi inafahamika inatengeneza sumu zinazofaa kwa silaha hizo maana walitumia kuua raia wao waliowahi kukimbia Uingereza.
Hitler aliipeleka dunia yote kwenye vita vya pili vikubwa zaidi duniani.sijawahi ona mjinga anatetemesha dunia... jirudi kichwani
unaangalia bbc tu... amka
🤣🤣🤣🤣23 leo
Hivi wewe mkenya hapo mombasa wakisema waungane na alshababu kujitenga na kuanza kuingiza silaha hapo mombasa nairobi watakubali ....na ndivo ilivo kwa russia dogo ukrain anawaletea hatari karibu na moscow .....hata kama ndo mim nisingekubal ningewasafisha kwa mabomu mpaka mshike adabu....Warusi wamefuata nini kwenye nchi ya watu, rais wa Ukraine ni shujaa na huyo mtume wenu Putin raundi hii atatiwa mimba maana amesababisha maelfu ya wanajeshi Warusi wafe Kwa ujinga wake.
Mkumbushe naona keshasahau huyo jamaa ...yeye anakomaa na urus akati kwao kulitokea janga kama hilo na NAIROBI haikukubali huo ujingaMK254 kile kikundi cha Mombasa kilichotaka kutangaza dola huru kilifikia wapi? Je ni wangapi mliwaua ili kikinyamazisha hayo madai????? Ukishajibu hayo nenda ukakojoe, unye na kulala maana siasa za dunia huzijui
Hivi wewe mkenya hapo mombasa wakisema waungane na alshababu kujitenga na kuanza kuingiza silaha hapo mombasa nairobi watakubali ....na ndivo ilivo kwa russia dogo ukrain anawaletea hatari karibu na moscow .....hata kama ndo mim nisingekubal ningewasafisha kwa mabomu mpaka mshike adabu....
pushilini kasusa maiti zake