Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo ni ijumaa nyingine, Ndugu zetu warusi wa Tanzania, msafara umefika wapi?

leo ni siku ya 20[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], nakumbuka tarehe 24 Feb mlipeleka hadi paratroopers pale Kiev, walikimbia au walikula kichapo cha mbwa koko?
23 leo
 
[emoji3544] Warning: Explicit Content[emoji779]️

[emoji635][emoji1255] This Is Another Level of Retardation!!

Take That Putin…

[emoji1109] Tbilisi Georgia

View attachment 2154898

"Viumbe waliostaarabika" wakihamasisha kua "Putin is War Criminal", "Putin Stop War" ajab zaidi nyuma yupo afande anawalinda...

Na hiyo ndio Western culture tunayoihtaji... Freedom with no responsibility [emoji847][emoji119]
Hao ni makahaba wako mawindoni, wanajiuza wapate wakuwashughulikia
 
Ndiyo maana Russia wanachakaza kila jengo maana warusha hivi vi drone wapo kwenye mijengo ya raia. Hii vita ni ya kijinga sana na rais wa Ukraine ndilo pumbavu kabisa, linashabikia raia wake wafe
Kuna mpumbavu na kubwa jinga kuzidi Putin?
 
Asilimia 70 ya ngano inayotumika nchini imeagizwa Urusi na Ukraine- ndugu Watanzania msishangae bei ya Unga, chapati, mikate kupanda. Ndugu watanzania kumbukeni chanzo cha mfumuko ni Vladimir Putin.
1647590389358.png
 
Mshirika wa kibiashara wa 'Burger King' bwana Alexander Kolobov kagoma kufunga migahawa yake 800 nchini Russia baada ya kuombwa na brand hiyo ya kibiashara iliyosambaa duniani kufunga migahawa hiyo kufuatia Putin kuishambulia kijeshi Ukraine.

Watu wanataka kuendelea kupiga pesa. 'Burger' na 'vita vya Ukraine' wapi na wapi?! Acheni kuchanganya mafaili

SmartSelect_20220318-085828_Chrome.jpg
 
Mshirika wa kibiashara wa 'Burger King' bwana Alexander Kolobov kagoma kufunga migahawa yake 800 nchini Russia baada ya kuombwa na brand hiyo ya kibiashara iliyosambaa duniani kufunga migahawa hiyo kufuatia Putin kuishambulia kijeshi Ukraine.

Watu wanataka kuendelea kupiga pesa. 'Burger' na 'vita vya Ukraine' wapi na wapi?! Acheni kuchanganya mafaili

View attachment 2155048
Ni kweli masuala ya vita na mambo ya misosi wapi na wapi
 
Kwisha habari yake ,majivuno na jeuri basi. Pamoja na fedha za Urusi kuzuiwa ,Vladimir Putin analazimika kulipa madeni kuepuka vikwazo zaidi.Shikamoo USA.

 
Back
Top Bottom