Yalikua makombora mangap???Yani toka asubuh mpaka muda huu bado wanaendelea kukusanya maiti za wanajeshi wa ukraine waliouwawa na kombora la urusi
Lakini mkuu nilikuuliza kuhusu kushindwa kwa operation ya Israel aliyo ianzisha mwaka mwaka 2014 kwenye ukanda wa Gaza kwa lengo la kuliangamiza kundi la Hamas na kuidhibiti gaza lakini ukaingia mitini.Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.
We expected hii operation itumie muda mfupi. Superpower nchi ya pili kwa nguvu za kijeshi duniani anavamia jirani yake ambaye hata kwenye nchi 20 za kijeshi duniani hayupo alafu anafanya hivi. Sasa akihitaji kufanya operation nchi kama Chile iliyoko katikati ya bara lingine si mtihani huo
Marekani hakuvamiwa na Ujerumani alienda mwenyewe kupigana nayo. Pale alitakiwa apigane na Japan pekee iliyomvamia ila akapiga kotekote na kuignore alliance ya Japan na Germany. Wakati huo Japan alitoka kutandika USSR mpaka Rais wa Marekani akawa mediator vita iishe.Bro kama mahaba basi unayao. Urussi ndiye aliye Jenga ukuta kuzui raia ambao walikua wanatoroka kwenda west german.sijui history umesomea wapi ila labda USSR.ila bila U.SA German alishinda vita vya pili vya Dunia.
Mkuu samahani kidogo, unasema kwakuwa ile nchi ni jirani ameshindwa kuidhibiti sio?? Sawa haina shida, eeh hapo IRAQ, USA alitumia majeshi yake pekee?? Je vifaa vyake unakumbuka alivituma nchi ngapi za jirani kabla ya kuvamia??Mpaka mwezi huu unaisha lazima mkimbie hoja. Mtakabwa kila kona mpaka mtatapatapa
[emoji630]China does not accept external pressure and is against unfounded accusations against itself on the Ukrainian issue.
This was stated by Chinese Foreign Minister Wang Yi.
According to him, Beijing is going to continue to adhere to an independent position on Ukraine.
The PRC considers the US role in this conflict to be destabilizing. And sanctions against Russia are an aggravating factor in world politics.
Acha kuzungumza uongo...Hakuna mtu aliwahi sema hii vita Ukraine anashinda. Hatuwezi kuwa tunalalamika performance ya Russia kisha tukasema tulitarajia Ukraine ashinde. Hata EU wanaotoa silaha sidhani kama wanaota kuwa Ukraine atashinda, nadhani wao ni kumfanya Russia awe exhausted.
Mkuu Operation gani Israel alishindwa mbona rockets ziliisha kurushwa. Au wewe unahisi ushindi ilibidi uweje. Wapi Israel walipanga kuiangamiza Hamas, walipanga kuharibu miundombinu yao ya kufyatua maroketi inayofichwa shuleni na hospitalini kisha ikishambuliwa raia wakafa zinakuja lawama. Israel ingetaka kuwaangamiza Hamas isingemuacha the legend Ismail Haniyeh ambaye anaingia vizuri tu kwenye territory ambayo Israel wanaingiza majeshi yao na raia wanapata civil service.Lakini mkuu nilikuuliza kuhusu kushindwa kwa operation ya Israel aliyo ianzisha mwaka mwaka 2014 kwenye ukanda wa Gaza kwa lengo la kuliangamiza kundi la Hamas na kuidhibiti gaza lakini ukaingia mitini.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Nchi za NATO zina demokrasia kubwa sana. Zinasubiri justification toka kwa watu wao. Ebu nikuulize; unafikiri mazoezi ya kivita ya majeshi ya NATO kule Norway ya nini?Zelensky keshasema USA na nato Ni waoga. Wewe Ni Nani umpinge[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila technological era ina mambo yake kwani wakati Marekani inaenda Iraq kulikuwa na armour kwenye vifaru kama zilizopo sasahivi. Every technology can result into counter technology. Usitake iwepo counter drone wakati drones hazipoMkuu samahani kidogo, unasema kwakuwa ile nchi ni jirani ameshindwa kuidhibiti sio?? Sawa haina shida, eeh hapo IRAQ, USA alitumia majeshi yake pekee?? Je vifaa vyake unakumbuka alivituma nchi ngapi za jirani kabla ya kuvamia??
Je hii technology ya ant-tanks, na ant-missile ilikuwepo huko IRAQ enzi hizo.
Je kwa kuzingatia hizo technology wewe unaona kama zingekuwepo enzi hizo hapo nchini IRAQ je USA na Washirika wake wangetumia muda gani kushinda hiyo vita??
Mkuu vifaru havikuwepo?? Je kulikuwa na Ant tanks??Kila technological era ina mambo yake kwani wakati Marekani inaenda Iraq kulikuwa na armour kwenye vifaru kama zilizopo sasahivi. Every technology can result into counter technology. Usitake iwepo counter drone wakati drones hazipo
Huyu waziri hana nia njema na UkraineAcha kuzungumza uongo...
Huyu hapa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken (ambae pia nchi yake wanapeleka silaha huko Ukraine) anasema kwa kutilia mkazo kuwa Ukraine inaweza hasa kushinda vita dhidi ya Russia.
Au huyo sio mtu?!
View attachment 2157622
Huja muelewa na huwezi muelewa huyo mwamba, wakati huo pia muamerika hakua advance kama saa hii.Mkuu vifaru havikuwepo?? Je kulikuwa na Ant tanks??
Rudi kweli msingi wa swali, kama hivyo vitu vingekuwepo USA angeshinda hiyo VITA??
Big up Bropamoja mkuu