Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hawa bhna waende MARIUPOL kwanza
Mariupol kunasafishwa watafte sehemu nyingine ya kwenda
20220320_210704.jpg
 
Blue, huna habari. Nafurahi kuona ni nani wanaokupongeza.
Tumeshajadili, hadi leo hakuna aliyeleta watu mwezini isipokuwa Marekani kwenye miaka 1969-1972. Si mara 1 tu, walirudi mara kadhaa wakati ule. Sasa wanaandaa tena. - Kuhusu stori hizi za kitoto unazoamini: kama umeweza kutunza akili kidogo, jiulize tu ka nini wala Warusi (waliozunguka Mwezi na kufikisha mashine halafu kurudisha mawe kadhaa duniani) wala Wachina (waliofikisha juzi gari dogo) hawakutaja kamwe shaka loloto kuhusu mafanikio ya Marekani ya mwaka 1969?? Kwa nini historia hii inafundishwa katika vitabu vyao vya shule?



e
Hamna binadam ambaye ameshawah kutua mwezini. Acha kubeleive propaganda ingeku rahisi kama unavodhani wangekua washaenda mara kibao tu. Haiingii hakilini mwaka 1971 waliweza kwenda ila huu mwaka 2022 na technologia imekua bado wanahangaika watafikaje mwezini tumia akili ndogo tu kufikiri haiitaji nguvu
 
🇹🇷Ankara will not agree to Washington's proposal to hand over its S-400s to Kiev, Dogu Perincek, the chairman of the left-wing Turkish Vatan Party, tells Sputnik.

"It is impossible that the Turkish government will be willing to even listen to such orders. This information is typical American intelligence propaganda. We have gone through this many times. Again, this is not possible," he said.
 
LVIV, Ukraine- Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy has signed a decree that combines all national TV channels into one platform, citing the importance of a "unified information policy" under martial law, his office said in a statement on Sunday.

LVIV, Ukraine- Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ametia saini agizo la kuunganisha chaneli zote za televisheni za kitaifa katika jukwaa moja, akitaja umuhimu wa "sera ya umoja wa habari" chini ya sheria ya kijeshi, ofisi yake ilisema katika taarifa Jumapili.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kale ka NWO kanapikwa taratib.
 
🇷🇺🔁🇮🇳 India’s Central Bank is discussing a possible scheme of direct currency exchange with Russia to expand trade amid the Western sanctions, The Financial Times reports. “Very soon I think we'll get this [a rupee-ruble arrangement],”Dr A Sakthivel, president of the Federation of Indian Export Organizations (FIEO), told FT.
 
Back
Top Bottom