Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Joannah nimetokea kukupenda sana Dada yangu,kwa jinsi unavyofatilia mtanange huu,na jinsi unavyo changia kwa misimamo Yako ilivyo ntamwambia Chifu Hagaya akuteue kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
Unaweza sana nafasi hiyo.
Una misimamo na unajua mengi Sasa hivi kuhusu issues za vita.
Jiandae kuwa Waziri wa Mambo ya ndani.
Ha haaaa haa Unataka kunigombanisha na mjomba wangu wa uchungu Simbachawene?Labda niombee Ile nafasi ya Stagomena Tax,itanifaa
 
Taratibu uku tunakumbushana kile ambacho hakisemwi kwenye Media za Wakubwa...

Mpaka sasa kuna Vyama 11 vya upinzani vimefungiwa Ukraine na huyu Comedian Zelensky tangu 24th Feb alipotia sign ya Marshall Law [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zelensky used Martial Law powers to ban 11 political parties, including left-wing parties. All in the name of “democracy”
 
Ha haaaa haa Unataka kunigombanisha na mjomba wangu wa uchungu Simbachawene?Labda niombee Ile nafasi ya Stagomena Tax,itanifaa
Hapana niliiwaza nafasi hiyo,lakini nikaona ili Beijing ishike hatamu tumuache Stagomena hapo,Chief Hangaya Yuko pale,Mjengoni yupo Tulia Sasa wewe ushike Mambo ya ndani ndio patanoga.
Hapa nchi inakuwa mikononi mwenu.
 
Ukraine hawana ujuzi wakutumia patriot kwa hio itachukua muda kuwafundisha. Hizo s-300 za mrussi anazo tangia Soviet Union haijaanguka.
Hivo hivo kwa ndege aina ya Mig-29 ambayo rubani wake wanauzoefu nayo.
Hamna lolote,USA anaogopa aibu TU,anajua Patriot itavujisha TU.
Kwa makombora ya Urusi halafu Dunia itazitilia mashaka.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Venus Star njoo uone kichekesho kingine uku...

View attachment 2158298

Inasemekana hawa watano kulia pichani wanaopiga picha ni wengi kuliko hao 25+ upande wa kushoto...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh kweli mahaba upofu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] leo 5 kubwa kuliko 25+....
asante umeniokoa kutoka kazi ya kuhesabu umati huu mkubwa wa watu 25! Kweli umati kama huu ni dalili kabisa jinsi wananchi wa Syria na Lebanoni wanavyompenda Putin!!!!! 25!!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Venus Star njoo uone kichekesho kingine uku...

View attachment 2158298

Inasemekana hawa watano kulia pichani wanaopiga picha ni wengi kuliko hao 25+ upande wa kushoto...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Duh kweli mahaba upofu [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] leo 5 kubwa kuliko 25+....
Ila na wewe ndugu yangu punguza mahaba!Hapo Sasa Kuna maandamano kweli?au Ni kikundi Cha waendesha bodboda?
 
Ukraine hawana ujuzi wakutumia patriot kwa hio itachukua muda kuwafundisha. Hizo s-300 za mrussi anazo tangia Soviet Union haijaanguka.
Hivo hivo kwa ndege aina ya Mig-29 ambayo rubani wake wanauzoefu nayo.
Ukute watakao operate hizo Patriot ni hao wamagharibi wakijidai ni Ukraine.
 
🇫🇷🇷🇺France has frozen 22 billion euros ($24 billion) worth of assets belonging to the Russian Central Bank and another 150 million euros from individual bank accounts of Russian nationals, French Finance Minister Bruno Le Maire says.

France has also frozen real estate in the country worth half a billion euros, which is about 30 properties and apartments owned by Russians, according to the minister.
 
Ila na wewe ndugu yangu punguza mahaba!Hapo Sasa Kuna maandamano kweli?au Ni kikundi Cha waendesha bodboda?
IMG_20220320_195350_619.jpg
 

Attachments

  • зеленский-лижет.mp4
    14.9 KB
“I am ready for negotiations with Putin, but their failure could lead to WW3” - Zelensky



Ila dah



[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ProRussia mnaskia uko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anasema "Yuko tayari kwa mazungumzo na Putin wenu na mkishindwa (kufanya mazungumzo) mtapelekea WW3"
 
🇫🇷🇷🇺France has frozen 22 billion euros ($24 billion) worth of assets belonging to the Russian Central Bank and another 150 million euros from individual bank accounts of Russian nationals, French Finance Minister Bruno Le Maire says.

France has also frozen real estate in the country worth half a billion euros, which is about 30 properties and apartments owned by Russians, according to the minister.
asante Macron. Finya hao ma origach .
 
Back
Top Bottom