Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Si kweli. Russia ndiyo nchi ya kwanza. Fuatilia historia vizuri.
Na inasadikika Marekani hajawai fika mwezini, ni uzushi ulitengenezwa na wamerekani ili wasionekane wanyonge mbele ya Urusi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila hapa nazani kuna vitu viwili mnachanganyana...

Kuna the first man in Space na The First Man to Walk/Land on Moon...

"The first Person in Space" ni Mrusi Mmoja hivi anaitwa Yuri Gagarin 1961... Na ambae hivi jana kama sikosei amevuliwa hyo "Honor" kisa huu mgogoro wa Ukraine na Russia... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anaevuliwa hyo Honor mwenyewe Marehem nikaanza kujiuliza hicho kitendo kinatatuaje mgogoro uliopo...

Ukipata mda kamfatilie...

Na "The first Person to walk/land on Moon" ndio huyo Mmarekan Neil Armstrong 1969... Ingawa kuna fununu chini kwa chini ikisemekana kua ni "Uongo" ila historia ndivo inavosema...
 
The United States does not intend to escalate and will not send troops to Ukraine, the American envoy to the UN said.
Galip SV Liwagu
20220320_122521.png
 
Rally in support of Russia in Beirut at the UN building.

Lebanese and Syrian activists came out with portraits of Putin and Assad. They announced their intention to send a letter to Guterres asking him to take action against Ukrainian nationalists.

The day before, similar actions were held in Armenia and Serbia.
IMG_20220320_181022_472.jpg
 
Da ila jamaa anateseka huyu,Hadi kweli kabisa namhurumia.
Huko USA wanampa matumaini hewa,Huku Russia wanatwanga.aisee katika watu duniani wanaopitia kipindi kigumu ni huyu bwana.
Yaani Yuko katikati ya wakubwa wawili.
Huyo amezoea comedy. Anazani hii vita pia ni comedy mwache apoteze mda kwa kuwategemea NATO. Akija shtuka atajikuta ametekwa na Russia.
 
Wamarekani wenyewe ndio hawa

View attachment 2158080

Wakati huo wanamtaka Turkey apeleke S-400 alizonunua Russia anajisahau nyuma yeye alifikia hatua ya kumdhulum mwenzie na "Sanctions" juu [emoji23][emoji23][emoji23] kisa manunuzi hayo hayo...

View attachment 2158081

Sasa usiku wa kuamkia leo Raia wa Turkey wameandamana kujitoa NATO....

View attachment 2158082

[emoji1250]Last night thousands of people took to the streets in Turkey and demanded that the country withdraw from NATO.

NATO out [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LoL ila USA ni mtambo wa unafiki,Sasa anahangaika sana kwa kweli,anatapatapa sana,Hana hata uso wa aibu,hili ni taifa la wauaji kabisa Hawa kweli nia cowboy.
Kigeugeu,na wanafiki wakubwa.
Hawa walimpinga sana Turkey kununua S400,Leo wanamuomba apeleke Ukraine.wao wanaiogopa Nini kupeleka zao?
 
Storm warning in Novorossiysk. Due to strong winds with gusts of up to 33 m / s, roofs are torn off houses, cars and stops are overturned, and trees are broken.

No casualties were reported.

Frames from social networks.
Galip SV Liwagu

IMG_20220320_181423_551.jpg


IMG_20220320_181423_033.jpg


IMG_20220320_181423_593.jpg


IMG_20220320_181423_071.jpg
 

Attachments

  • VID_20220320_181423_023.mp4
    1.2 MB
Blue, huna habari. Nafurahi kuona ni nani wanaokupongeza.
Tumeshajadili, hadi leo hakuna aliyeleta watu mwezini isipokuwa Marekani kwenye miaka 1969-1972. Si mara 1 tu, walirudi mara kadhaa wakati ule. Sasa wanaandaa tena. - Kuhusu stori hizi za kitoto unazoamini: kama umeweza kutunza akili kidogo, jiulize tu ka nini wala Warusi (waliozunguka Mwezi na kufikisha mashine halafu kurudisha mawe kadhaa duniani) wala Wachina (waliofikisha juzi gari dogo) hawakutaja kamwe shaka loloto kuhusu mafanikio ya Marekani ya mwaka 1969?? Kwa nini historia hii inafundishwa katika vitabu vyao vya shule?


Si kweli. Russia ndiyo nchi ya kwanza. Fuatilia historia vizuri. Na inasadikika Marekani hajawai fika mwezini, ni uzushi ulitengenezwa na wamerekani ili wasionekane wanyonge mbele ya Urusi.
e
 
LoL ila USA ni mtambo wa unafiki,Sasa anahangaika sana kwa kweli,anatapatapa sana,Hana hata uso wa aibu,hili ni taifa la wauaji kabisa Hawa kweli nia cowboy.
Kigeugeu,na wanafiki wakubwa.
Hawa walimpinga sana Turkey kununua S400,Leo wanamuomba apeleke Ukraine.wao wanaiogopa Nini kupeleka zao?
Ukraine hawana ujuzi wakutumia patriot kwa hio itachukua muda kuwafundisha. Hizo s-300 za mrussi anazo tangia Soviet Union haijaanguka.
Hivo hivo kwa ndege aina ya Mig-29 ambayo rubani wake wanauzoefu nayo.
 
LEO ZAID YA 100 WAMEFYEKWA KWENYE KITUO CHA MAFUNZO MUDA MFUPI ULIOPITA

HII HABARI HATA BBC WAMEILIPOTI JAPO KINYONGE
Hii habari ya wiki moja nyuma. Yaani na wewe umeshakuwa kama GANGA ZUMBA na THE SUNK COST FALLACY ambao muda wote nikubandika outdated information

Hilo neno la kwanza ndilo limeharibu. "leo".

Yaani ni kama uandike : Leo Polepole ameapishwa kuwa Balozi.
 
Comment kwa Kutaja kazi ya hii drone kwa upande wa Ukraine Unazani wanaitumia kufanyia nini?

Near Izyum, a Ukrainian drone Fury was shot down, which corrected the artillery fire
Galip SV Liwagu
 
Russia inatumia ndege chache kwenye hii vita kwa sababu haina complete air superiority, anga la Ukraine bado liko contested. Siku ya kwanza Russia ilitumia makombora kama 100+ ambayo sio mengi.

Marekani wana tactic wanaiita Wild Weaser. Wanatoa ndege kama nne wanaziweka kwenye formation, zinaenda anga la adui sehemu wanayotaka kusafisha wanatanguliza ndege yenye radar cross section kubwa ila yenye countermeasures nyingi kama flares, electronic na chaffs. Ile ndege inatumika kama chambo, radar zinawashwa na SAM sites za adui zinatuma makombora. Kule nyuma mbali kabisa kuna ndege ya AWACS inasoma radar ziko wapi na makombora yanatoka wapi, zikisoma zinatuma wapi communications, vituo gani vinaonekana kufanya relay ya taarifa. AWACS inaambia zile ndege kwenye formation zikashambulie. Hapo wanakuwa wamefanya suppression of enemy air defense (SEAD).

Hapo airbase zishashambuliwa na zinabaki ndege chache ambazo hazina guidance nzuri ya ground radar ambapo marubani wa Marekani kwenye dogfights hawashindwi na training zao nyingi. Changamoto nyingine zinakuwa MANPADS kwa ndege kama A-10 Warthog ambayo ni reinforced na imara sana.

Doctrine za Russia sijui. Hata hivyo inawezekana NATO zile recon aircrafts zao zinazokaa angani 24/7 zinafanya monitoring ya anga na kuiambia Ukraine. Long range SAM sites za Ukraine ziliharibiwa nyingi mwanzoni
Mkuu haya wewe unayajua na uko YOMBO lkn URUSI hawajui haya aiseee.
 
Lukashenka congratulated the Belarusian Paralympic athletes on the second place in the medal standings at the competitions "We are together. Sport"

“In Khanty-Mansiysk, you won a whole bunch of awards, showing high sportsmanship, iron will and unbending character. Once again you proved that there is no limit to human capabilities,” the text of the congratulation says.

The tournament was held in Khanty-Mansiysk. Belarusians won 16 medals (5,2,9). The first were the Russians - 106 awards (39.40.27). The third place belongs to Armenia - 1 gold medal.

The national teams of Tajikistan and Kazakhstan also participated in the competition.
 
Back
Top Bottom