Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hapana ngoja nimuulize general CARDLESS aliyepo upande wa karhkov, ila Battalion yangu hapa Mauripol haihusiki.
Mnaua raia nyie

Screenshot_20220320-083825.png
 
Kiukweli kabisa Kama inavyoonekana happy kwenye maandishi, wamagharibi hasa NATO wanashindwa kuelewa Putin Ni mtu wa aina gani. Baya zaidi wanafikiri Putin Ni mtu asiyetabirika kuhusu maamuzi yake.. hivyo kwenye mienendo yao wanajitahidi kukwepa swala la kufanya Jambo la ajabu, then asiyetabirika akakasirika na akafanya la kutisha.
Pia Putin Ni mzalendo aliyekithiri( ultra nationalist) Yuko tayari kufanya Kila kitu kuijenga Uruii yenye nguvu duniani.
Nb. Warusi hata Baada ya Vita hi hawataacha kuichokonoa nchi nyingine dhaifu either za NATO au ziso NATO.. miaka 13 iliyopita Georgia ilivamiwa na Putin, wenye fikra Pana wakasema mda so mrefu Ukraine itavamiwa., Ikavamiwa kweli miaka 7 baadae..
Hata Baada ya Hili Sweden, Finland waendelee kujianda Russian are coming..
Nb. Putin aking'olewa Bado kwa Sasa West hawana uwezo wa kumweka kibaraka wao kirahisi.. Kuna majenerali kibao wenye mrengo was kiputin
 
Wanazidi kujivua nguo kila uchwao... Watuoneshe basi walau mazungumzo na Hao Raia wanaodai kulazimishwa kwenda Russia...
Russia Mnawalazimisha raia?View attachment 2157968


She said “I am not a party and i do not defend Putin , but the truth is, i am close to civilians ,what i say is that the Ukrainian army is bombing its own people”. [emoji15]

Anakwambia "Mimi sina upande na simtetei Putin, lakini ukweli ni kwamba, niko karibu na raia, ninachosema ni kwamba jeshi la Ukraine linashambulia watu wake". [emoji15]

Hizi media zinafanya matendo ya hovyo sijapata ona... Zipo kufeed interest zao ila sio Raia wanaoumia apo Ukraine...
 
Russia is the most sanctioned country in the world (7116), followed by Iran (3616), Syria (2608), North Korea (2077), Venezuela (651), Myanmar (510) and Cuba (208).


Majority of sanctions (4362) were imposed on Russia after February 22, when Moscow has officially recognized the Donbas republics.


The UK has imposed the most new sanctions on Russia (801), followed by Switzerland (774), the EU (705), France (696), Canada (526), Australia (479), the US (293), and Japan (88).


Out of those, 3915 are personal sanctions and 437 are against organizations.


In total, since 2014 (the Crimean referendum), the most sanctions against Russia were imposed by the UK (1037), followed by Switzerland (1030), Canada (980), EU countries (953), France (944), and Australia (699).
IMG_20220320_154107_506.jpg
IMG_20220320_154127_705.jpg
IMG_20220320_154113_049.jpg
IMG_20220320_154121_741.jpg


Source: Castellum.AI
 
[emoji635][emoji1255][emoji298] There is a mass surrender of the Ukrainian military in the area of the settlement. Kopylov, Kiev region. This is a village west of Kyiv on the E40 Kyiv-Zhytomyr highway.

View attachment 2157946

According to those who surrendered, the command of the 14th brigade of the Armed Forces of Ukraine is demoralized and confused, the servicemen leave their positions and by all means look for an exit to the Russian troops, decide to surrender and cooperate with the RF Armed Forces.

View attachment 2157947

Ila BBC na CNN wanasema hawa jamaa wanashinda sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Warusi na Waukraine wanafanana mwonekano
 
Russia is the most sanctioned country in the world (7116), followed by Iran (3616), Syria (2608), North Korea (2077), Venezuela (651), Myanmar (510) and Cuba (208).


Majority of sanctions (4362) were imposed on Russia after February 22, when Moscow has officially recognized the Donbas republics.


The UK has imposed the most new sanctions on Russia (801), followed by Switzerland (774), the EU (705), France (696), Canada (526), Australia (479), the US (293), and Japan (88).


Out of those, 3915 are personal sanctions and 437 are against organizations.


In total, since 2014 (the Crimean referendum), the most sanctions against Russia were imposed by the UK (1037), followed by Switzerland (1030), Canada (980), EU countries (953), France (944), and Australia (699).
View attachment 2158017View attachment 2158018View attachment 2158019View attachment 2158020

Source: Castellum.AI
Kitu cha Ajab katika data hizi... Nchi zote apo juu ni zile ambazo zimetofautiana na Marekan na kashindwa kuzifanya chochote "kivita" ka alivozoea mfanoe Iraq, Libya, Afghanistan n.k...

What a Coward [emoji706]
 
Aisee huku mambo ni mabaya sana wajameni...

Russia anatumia mashine moja matata sana (angalia mwenyewe video) inakunya mabomu ya kipekee kwa mfululizoo...yaani pale tu mashine ilipo pawaka moto mkali, sijui huko mabomu haya yanapotua😭😭😭

Mashine hii yaitwa TOS-1 heavy flamethrower, inakunya yale mabomu yanayoitwa thermobobaric rockets (vacuum bombs)...



SmartSelect_20220320-153226_YouTube.jpg
SmartSelect_20220320-153521_YouTube.jpg
SmartSelect_20220320-153542_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom