The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Unataka uone za kutoka Kremlin sio? 😬😬Nikiona habari ya kiingereza kutoka page yenye bluetick, naiona kama tuzo za Basata tu.
Unataka uone za kutoka Kremlin sio? 😬😬Nikiona habari ya kiingereza kutoka page yenye bluetick, naiona kama tuzo za Basata tu.
Hujitambui hata wamarekani wenyewe wanasema s 500 ya Russia haina mpinzani na hawana uwezo wa kuzuia silaha za hypersonic za mrusia SASA wewe wa Gongolamboto utajua niniKila siku huwa nawaambia hakuna takataka yeyote inayoweza zuia makombora ya masafaarefu hakuna cha s 500 Wala patriots
Tumia akili aisee watu ambao wanajitengenezea silaha na mengine wanauza kwenye nchi nyingine wataishiwaje na silaha?au hapo umeacha akili yako somewhere
Ukweli anao Mungu anayerudishiwa viumbe vyake ....ndio anayohesabu ewe MyUkraine wa SimbitiTupe ukweli kutoka Kremlin
Source Kiev?unaakili kweli?
Marekani wapuuzi Sana,walipoona Russia ni nchi kubwa na yenye nguvu ,wakafanya figisu na kuigawanya vipande kadhaa ,hawakuridhika wakaamua kumtumia Ukraine ili wapenye kirahisi kuimaliza russia.putin yuko sahh ,aipige tu Ukraine hakuna namna.Kiukweli kabisa Kama inavyoonekana happy kwenye maandishi, wamagharibi hasa NATO wanashindwa kuelewa Putin Ni mtu wa aina gani. Baya zaidi wanafikiri Putin Ni mtu asiyetabirika kuhusu maamuzi yake.. hivyo kwenye mienendo yao wanajitahidi kukwepa swala la kufanya Jambo la ajabu, then asiyetabirika akakasirika na akafanya la kutisha.
Pia Putin Ni mzalendo aliyekithiri( ultra nationalist) Yuko tayari kufanya Kila kitu kuijenga Uruii yenye nguvu duniani.
Nb. Warusi hata Baada ya Vita hi hawataacha kuichokonoa nchi nyingine dhaifu either za NATO au ziso NATO.. miaka 13 iliyopita Georgia ilivamiwa na Putin, wenye fikra Pana wakasema mda so mrefu Ukraine itavamiwa., Ikavamiwa kweli miaka 7 baadae..
Hata Baada ya Hili Sweden, Finland waendelee kujianda Russian are coming..
Nb. Putin aking'olewa Bado kwa Sasa West hawana uwezo wa kumweka kibaraka wao kirahisi.. Kuna majenerali kibao wenye mrengo was kiputin
ulitaka source iwe nini Russia Today?Source Kiev?unaakili kweli?
Kwahy Kama video ni feki mm ntathibitishaje si kurishwa matango pori ukuChanzo cha nini wakati unaona video.
Vipi umemalizana na issue ya TANESCO!?Putin soon ata surrender ingawa tunaona kuwa ameweza kuipiga Ukraine ila ndani ya .nchi kama China hatamsaidia vikwazo vinamwumiza zaidi kuliko wa Ukraine kupigwa.Ikifika mwezi wa sita Putin atakosa mpaka mishahara ya kulipa kwani hatakuwa amefika mwisho.Hapo ndipo utakapojua issue sio kuwa na silaha wala jeshi issue ni kuwa na hela au uchumi una flow. Putin ataondolewa au atapata upinzani kutoka kwa wanaomzunguka na watataka aondoke madarakani.Naona mwanamke akiongoza nchi ya russia au akitumika kummaliza Putin au ataondok mwenyewe kutokana na ugonjwa au hatakiwa poison na kitu au mwanamke.Russia kurudi katika hali ya kawaida ya kiuchumi watalazimika kuilipa Ukraine na Ukraine itajengwa kuliko mwanzo kwani ili russia irudi kwenye system ya dunia watapewa masharti ya kuiachia Ukraine na ardhi yote warudishe pamoja na kulipa madhara ya vita.Mark my words 😄
Dah! Hii video hadi huruma, jameni aliyemuingiza Putin mkenge haitokuja siku asamehewe.....