Nadhani wanaotakiwa kujiandaa zaidi niKiukweli kabisa Kama inavyoonekana happy kwenye maandishi, wamagharibi hasa NATO wanashindwa kuelewa Putin Ni mtu wa aina gani. Baya zaidi wanafikiri Putin Ni mtu asiyetabirika kuhusu maamuzi yake.. hivyo kwenye mienendo yao wanajitahidi kukwepa swala la kufanya Jambo la ajabu, then asiyetabirika akakasirika na akafanya la kutisha.
Pia Putin Ni mzalendo aliyekithiri( ultra nationalist) Yuko tayari kufanya Kila kitu kuijenga Uruii yenye nguvu duniani.
Nb. Warusi hata Baada ya Vita hi hawataacha kuichokonoa nchi nyingine dhaifu either za NATO au ziso NATO.. miaka 13 iliyopita Georgia ilivamiwa na Putin, wenye fikra Pana wakasema mda so mrefu Ukraine itavamiwa., Ikavamiwa kweli miaka 7 baadae..
Hata Baada ya Hili Sweden, Finland waendelee kujianda Russian are coming..
Nb. Putin aking'olewa Bado kwa Sasa West hawana uwezo wa kumweka kibaraka wao kirahisi.. Kuna majenerali kibao wenye mrengo was kiputin
We ni mjinga Nani kakuambia Kila mtu ni muislamu peleka ubaguzi wa kishamba wa kikenya huko.ungejua sababu ya hii Vita usingeongea hapa.
Mzee sisi watanzania hatuna udini wala ukabila. Mambo ya udini na ukabila yaishie kwenu kwenya. Ebo!!!Hakuna muislamu asiyemsujudu Putin kisa Marekani, ndio mnaopiga makelele humu, ila anateswa balaa, alishauriwa vibaya keshaingia kwenye kumi na nane, amesubiriwa miaka mingi sana.
Tu parle francais?.They are undressing every morning ... Show us then at least a conversation with those Citizens who claim to be forced to go to Russia ...View attachment 2157997
She said “I am not a party and i do not defend Putin , but the truth is, i am close to civilians ,what i say is that the Ukrainian army is bombing its own people”. [emoji15]
"I am not neutral and I do not support Putin, but the truth is, I am close to civilians, what I am saying is that the Ukrainian army is attacking its people," he said. [emoji15]
These media are doing stupid things I have never seen ... They are there to feed their interests but not the Citizens who are hurting in Ukraine ...
Unakumbuka ukitukana waislamu kwenye uzi wetu pendwa.Mzee sisi watanzania hatuna udini wala ukabila. Mambo ya udini na ukabila yaishie kwenu kwenya. Ebo!!!