The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Wewe mwenye akili tupe source kutoka kremlinSource Kiev?unaakili kweli?
Wewe mwenye akili tupe source kutoka kremlinSource Kiev?unaakili kweli?
Je parle francais.Tu parle francais?.
Labda wamarekani wa huko kwenu gamboshiHujitambui hata wamarekani wenyewe wanasema s 500 ya Russia haina mpinzani na hawana uwezo wa kuzuia silaha za hypersonic za mrusia SASA wewe wa Gongolamboto utajua nini
Bado ,hawataki kunijibu wewe waache nawasubiri waje kutengeneza linguzo Lao ndani ya nyumba yangu akia nani bora nikose umeme mwezi ila wataniomba poooVipi umemalizana na issue ya TANESCO!?
Moi aussi, je suis de la GuadeloupeJe parle francais.
Duh!!! Labda mzee wewe siyo mstaarab.Bado ,hawataki kunijibu wewe waache nawasubiri waje kutengeneza linguzo Lao ndani ya nyumba yangu akia nani bora nikose umeme mwezi ila wataniomba pooo
hawa NAZI Ona wanavyotesa raia[emoji3064][emoji174][emoji174][emoji174]
Hayo Masuala Ya Udini Upeleke Kibera hukoHakuna muislamu asiyemsujudu Putin kisa Marekani, ndio mnaopiga makelele humu, ila anateswa balaa, alishauriwa vibaya keshaingia kwenye kumi na nane, amesubiriwa miaka mingi sana.
Je suis kenyan, enchante.Moi aussi, je suis de la Guadeloupe
kuna inchi inaitwa iran ni ya pili kwa vikwazo baada ya urusi wamewekewa vikawazo tangu 2018 mpaka leo but hawajawai ketetelekwa ndo wanazidi kuwa imaraPutin soon ata surrender ingawa tunaona kuwa ameweza kuipiga Ukraine ila ndani ya .nchi kama China hatamsaidia vikwazo vinamwumiza zaidi kuliko wa Ukraine kupigwa.Ikifika mwezi wa sita Putin atakosa mpaka mishahara ya kulipa kwani hatakuwa amefika mwisho.Hapo ndipo utakapojua issue sio kuwa na silaha wala jeshi issue ni kuwa na hela au uchumi una flow. Putin ataondolewa au atapata upinzani kutoka kwa wanaomzunguka na watataka aondoke madarakani.Naona mwanamke akiongoza nchi ya russia au akitumika kummaliza Putin au ataondok mwenyewe kutokana na ugonjwa au hatakiwa poison na kitu au mwanamke.Russia kurudi katika hali ya kawaida ya kiuchumi watalazimika kuilipa Ukraine na Ukraine itajengwa kuliko mwanzo kwani ili russia irudi kwenye system ya dunia watapewa masharti ya kuiachia Ukraine na ardhi yote warudishe pamoja na kulipa madhara ya vita.Mark my words 😄
Da ila Urusi inatisha,sikujua kama wanaiogopa namna hii.Finland's bid to join NATO will run the risk of escalating the situation in Europe.
This statement was made by President Sauli Niinistö in an interview with the Financial Times.
“I understand very well that, for example, when joining NATO, it may seem that our worries are over. But all these alternatives involve risks that we must be aware of,” he stressed.
According to the president, there is an alternative to joining the alliance - deepening defense cooperation with the United States and Sweden.
Galip SV Liwagu View attachment 2157794