Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Wacha unafki, jamaa ndo ameanzisha. Mimi niko hapa kwa maslahi ya Ukraine.
Ameanzisha na wewe ukaingia mzima mzima kuendelezaa vita na Tanzania yote iliyopo humu kwenye huu uzi? Hakuna Mtz atakayesapoti ulichofanya sababu anasapoti Ukraine kama wewe. Tutakushambulia.