Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Self defeating statement, huoni mwamba ameandika neno 'SIDHANI'. Sote tulijua ndani ya wiki Ukraine kutakua na raisi mpya, mwezi umepita bado dwarf Putin anahangaika 😁😁Teh teh teh...uliposema kuwa hata EU wanaopeleka msaada wa silaha hakuna anayeota kuwa Ukraine atashinda ulikuwa wakusudia EU wa hapa JF?
View attachment 2157748
Haya mwanaJF huyu Sandali Ali anaamini kuwa Ukraine atashinda mpaka yupo tayari kuwekeana dau na ambao wanaamini kinyume chake. Au yeye sio mtu wa JF?
Ifikie muda uache kuongea mambo ya ujumla jumla
View attachment 2157741