Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

The number of Russian Facebook users has decreased by 40% in 10 days of blocking.

These are the data of a study by Mediascope, conducted at the request of RBC.

Instagram lost 16% of users in Russia in just 1 day of blocking.

The decrease in the audience of some social networks contributed to the increase in others: the Telegram audience has grown sharply. The social network "VKontakte" on February 24 had 46.5 million Russian users, and on March 15 - already 50.3 million.

P.S. We take this opportunity to remind you that Sputnik is available in all popular social networks.

Telegram ni ya 2 Russian brothers,Russia sio zimbabwe wana options unawafungia huku wanahamia huku haha
 
Shambulio la ndege za russia kwenye kituo cha kupokelea mamluki cha ukraine,karibu na mpaka wa poland,lilikuwa pigo baya sana kwa nchi za magharibi na limewachanganya sana.
Wanajaribu kuficha ukweli wa madhara yaliyotokea,lakini walionusurika ndo wanatoboa siri baada ya kufika kwao,soma screen shorts hapa chini.View attachment 2156941View attachment 2156942View attachment 2156943
Wanaogopa kusema, wanamuweka Zelensky kwenye hali ngumu mno. Na sasa Urusi imeanza kutumia kinzhal missiles nakuhakikishia Ukraine itabaki mpweke, na soon watanyoosha mikono juu. Huyu Zelensky kweli ni comedian, historia itamkumbuka vibaya sana kwa kuleta maigizo kwenye maisha ya watu.
 
Dogo, mimi sio wa bei rahisi kihivyo.

ikiwa hapa bongo tumeshuhudua wana Ccm wakivaa nguo za Chedema na kwenda kuvamia kiongozi n wa Chadema jukwaani, na magazeti yaakandika:, Wanachadema HAI wamvaa Mbowe , wasema hawamtaki jimboni humo kwasababu hajaleta maendeleo yoyote.

ila ukijipa muda kufuatilia unagundua BILA chembe ya shaka kuwa hao walio fanya hivyo ni vijana watiifu wa Uvccm na picha zao za nyuma zinaletwa kama ushahidi.

Sasa wewe unapoona habari kama hii unakimbilia kuangalia uniform na alama ulizoambiwa ila wengine wanakimbilia kuangalia ambavyo HAVIKUANDIKWA katika hiyo HABARI hapo ndipo zilipo tofauti zetu mimi na wewe.


Endelea kuwa manipulated media bila kuchanganya na zako.
Kumbe bavicha!!!
Mmebakiza akili za kuvukia barabara tuu

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Taarifa zimekuwa nyiiingi, Maneno meengi, screen short zisizoisha.
Sasa hivi humu sisomi wala hizo Link. Ntaanza kuwa serious kuzisoma pake Urusi itakapochukua Ukraine au Ukraine kuyakubali matakwa ya Urusi au Urusi kutafuta namna ya kuikimbia hii anayoiita operation.
Ni suala la muda tu kuwa mtaratibu and enjoy the ride
 
.
Screenshot_20220320-122008.jpg
Screenshot_20220320-122027.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20220320-122148.jpg
    Screenshot_20220320-122148.jpg
    43.6 KB · Views: 27
Acha kuzungumza uongo...

Huyu hapa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken (ambae pia nchi yake wanapeleka silaha huko Ukraine) anasema kwa kutilia mkazo kuwa Ukraine inaweza hasa kushinda vita dhidi ya Russia.

Au huyo sio mtu?!

View attachment 2157622
Aliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeye
 
🇬🇪A TV channel close to Saakashvili reported the death of three Georgian soldiers in Ukraine.

According to the Mtavari Arkhi TV company, Bakhva Chikobava, Gia Beriashvili and David Ratiani are former servicemen of the Georgian Armed Forces who were enlisted in the Azov Battalion*.

According to TV, Chikobava died in Mariupol, and the other two in the city of Irpin.

The Georgian authorities have repeatedly stated that they will not participate in hostilities in Ukraine, will not send volunteers to this country and will not join the anti-Russian sanctions.

* Neo-Nazi organization against which a criminal case has been opened in Russia
 
Aliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeye
Unajificha kwenye shamba LA karanga .... Pole. Joti wa Ukraine nchi inaharibika nyie mnashupaza shingo waukraine wa Chinangali
 
Zelensky aendelea komba diplomasia itumike, wakati majeshi ya Russia yakizidi kuchukua miji ya Ukraine kwa njia ya mtutu wa bunduki.

Mwambieni Zelensky aache kulialia kama mwanamke, apigane vita kimya kimya...Putin hana haja ya diplomasia ktk jambo hilo kwa sasa

View attachment 2157661
Na kinachofurahisha waliopost Hii habari Ni wale wale waliomsnitch,kumjaza na kumuinguza kwenye Vita asiyoiweza
 
Johnson has been criticized for comparing events in Ukraine to Brexit.

According to Bloomberg, during a speech at the Conservative Party convention in Blackpool, he said that the British, like the Ukrainians, have an instinct to choose freedom.

For comparison, Johnson recalled Britain's exit from the EU: “I don't believe it happened because they were hostile to foreigners. They wanted to be free."

After that, the British prime minister was criticized both in London and abroad. In particular, Donald Tusk said that such words upset the Ukrainians, as well as offend the British and common sense.
Galip SV Liwagu
IMG_20220320_123352_518.jpg
 
Mkuu vifaru havikuwepo?? Je kulikuwa na Ant tanks??
Rudi kweli msingi wa swali, kama hivyo vitu vingekuwepo USA angeshinda hiyo VITA??
Vifaru vipo tangu 1917 uko. Anti tank zinazidi kuwa evolved kila mahitaji yakitokea, tunatakiwa kutumia era fulani kuhukumu. Unataka tutumie hukumu za Iraq mwaka 2003 wakati Abrams zilizokuwepo kipindi kile ni block tofauti na sasa.

Kipindi kile vifaru vya Urusi ilivyouza kwa Iraq havina ERA, leo vya Urusi anavyo mwenyewe vingine vina ERA na sometimes active measures alafu vinapigwa na Panzerfaust 3 za Ujerumani ambazo aliunda miaka ya 1970s hadi 80s. Tuache hizi NLAW ambazo ni modern. Kwahiyo vifaru sio immortal, sie tunasema general performance ya jeshi
 
Back
Top Bottom