Zelensky anasema, mazungumzo tu ndio yatamaliza vita ya Ukraine.
Wale watu ambao wanayabeza mazumngumzo haya kuwa hayatamaliza vita, hawafahamu umuhimu wa mazungumzo haya. Jeshi la Russia limekuja kutufuta kwenye uso wa dunia..tunapoteza watu kila kukicha. Kama kuna hata asilimia moja tu (1%) ya chansi ya kustopisha vita hii kwa njia ya mazungumzo, basi lazima tuitumie chansi hiyo...Lazima tutumie namna yoyote, chasi yoyote ile inayopatikana itakayotuwezesha kujadiliana majadiliano yatakayotuwezesha kupata fursa ya kuzungumza na Putin
Naona akili zinaanza kumkaa sawa Zelensky...
View attachment 2158149