Mwanamkiwi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 2,023
- 2,402
Uchaguzi wa Zelenski kwa zaidi ya asilimia 70 ni dalili kwamba mielekeo ya Nazi hazina mashiko katika Ukraine.Huyo myahudi kaingia madarakani mwaka gani unaambiwa Nazi wameanza kunolewa 2004 kwa dhumuli la kudhoofisha Russia
Sent from my CPH1931 using JamiiForums mobile app
Hao watu wanaoitwa Neo-Nazi wako Urusi, Ukraine, Poland, nchi mbalimbali za Ulaya. Hata hapa TZ unasikia watu wanaomsifu Hitler . Kote idadi ni ndogo (maana hali halisi ni kichaa cha kisiasa), pia Ukraine. Miaka 2004 wakati wa mapinduzi 2004 Ukraine vikundi vya vilionekana kwa makelele mengi na media waliwaonyesha kipana, hali ambayo haikulingana na nguvu yao.
Kwa Putin ni mbinu tu kutafuta sababu ambazo ni uwongo.