Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Sijui kama sijui vizuri kiswahili Hapo umesema " Hakuna Aliyeleta watu Mwezini" au "Aliyepeleka watu Mwezini"...Blue, huna habari. Nafurahi kuona ni nani wanaokupongeza.
Tumeshajadili, hadi leo hakuna aliyeleta watu mwezini isipokuwa Marekani kwenye miaka 1969-1972. Si mara 1 tu, walirudi mara kadhaa wakati ule. Sasa wanaandaa tena. - Kuhusu stori hizi za kitoto unazoamini: kama umeweza kutunza akili kidogo, jiulize tu ka nini wala Warusi (waliozunguka Mwezi na kufikisha mashine halafu kurudisha mawe kadhaa duniani) wala Wachina (waliofikisha juzi gari dogo) hawakutaja kamwe shaka loloto kuhusu mafanikio ya Marekani ya mwaka 1969?? Kwa nini historia hii inafundishwa katika vitabu vyao vya shule?
e