Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Siangalii[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Utakooooooomaaaa

IMG_20220320_195007_661.jpg
 
Mkuu haya wewe unayajua na uko YOMBO lkn URUSI hawajui haya aiseee.
Sijasema hawayajui kama huna hoja usiniquote. Walimu wako watakuwa wakipata shida sana, kwamba ukishajua kitu basi unakifanya. Russia wakijua USD ndio strongest currency basi nao Ruble yao inakuwa strongest? Ni kama umeazima akili za mimba yako ndizo unatumia
 
Mbona hii ni edit kabisa angalia weusi chini ya makwapa

You missed the joke 🙂 yeah ni edit watu wanamake fun of him anavyodanganya kuwa yuko kiev kumbe hayupo na videos zake nyingi zinaeditiwa kuonesha yuko kiev na nyingine alizirecord kabisa kule 🙂
 
Russia inatumia ndege chache kwenye hii vita kwa sababu haina complete air superiority, anga la Ukraine bado liko contested. Siku ya kwanza Russia ilitumia makombora kama 100+ ambayo sio mengi.
Mkuu T14 Armata, unasema Russia anatumia ndege chache... hili jambo halina ukweli wowote. March 11, Pentagon ilisema Russia anarusha ndege kama 200 hivi ktk operation yake hii ya kijeshi ktk kuishambulia Ukraine. Sasa ndege 200 ni chache hizo?

Pili, wewe wasema siku ya mwanzo Russia ilitumia makombora 100+ ukidai ni machache. Unaposema machache watumia kigezo gani, ikiwa huna ujuzi wowote juu ya hali halisi (targets) ilivyokuwa field (vilengwa)?

Hata Marekani pamoja na washirika wake waliposhambulia Libya, siku ya kwanza walitumia makombora takriban 112 (100+). Na hayo utasema ni machache?

Ifikie wakati tuache kujifanya tunajua kila kitu...hata mambo tusio kuwa na ufahamu nayo twataka kujitia twayajua na kuyatolea ufafanuzi wa uongo!

SmartSelect_20220320-200953_Chrome.jpg


SmartSelect_20220320-204109_Chrome.jpg
 
The Russian military is completing the defeat of the nationalist battalion "Donbass".

This was reported in the Russian Ministry of Defense.

The Russian army advanced 12 kilometers into the DPR and reached the outskirts of the villages of Nikolskoe and Sladkoe.

"The RF Armed Forces destroyed up to 60 people, 2 tanks, 3 infantry fighting vehicles, 6 pieces of artillery and mortars."

▪️Republican forces of the DPR are fighting for the settlements of Kamenka and Novoselovka.

"A group of 20 personnel, 1 tank, 1 infantry fighting vehicle and 3 cross-country vehicles was broken."

The Russian military shot down seven Ukrainian unmanned aerial vehicles.

▪️Russian aviation hit 89 Ukrainian military facilities in a day.
 
❗️Summary of the Russian special operation in Ukraine from the Ministry of Defense. The armed forces complete the defeat of the national battalion "Donbass".

▪️During the day, Russian troops advanced 12 km, reached the Nikolskoye line and, together with the units of the DPR, blocked the settlement of Sladkoe.

▪️Up to 60 militants, two tanks, three infantry fighting vehicles, six field artillery pieces and nationalist mortars were destroyed. Currently, a battle is being fought with the remnants of the militants and units of the 54th separate mechanized brigade of Ukrainian troops for the capture of the settlements of Sladkoe, Novoukrainka and Shakhterskoe.

▪️During the day, aviation hit almost 90 military facilities of Ukraine, including 4 command posts, two MLRS installations, 9 artillery pieces, 5 depots of rocket and artillery weapons and ammunition, as well as 65 places of accumulation of military equipment. 7 drones destroyed.

▪️ During the special operation in Ukraine, the Russian Armed Forces eliminated more than 200 drones, almost 1.5 thousand tanks, 150 MLRS installations, almost 600 field artillery pieces and mortars, almost 1.3 thousand units of special military vehicles.
 
Back
Top Bottom