Hawa waliyejaribu kutua khiv na wakafyekwa au wawapi hap!?Dada umewahi kuwasikia wanyama wanaoitwa "Spetsnaz"?
Wewe ndo unaitumia kuangalia hayo ambayo hata Google ni wewe kuamua niangalie niniCompletely irrelevant, Telegram kazi yake Kubwa nikusambaza pornography
Hahaha umenifurahisha!Pro Russians wako busy na Sputnik na RT za serikali ya Urusi eti ndio ziko neutral
tushaghairi mazungumzo acha tuwachape kwanzaWanajeshi wanajificha kwenye mahandaki unataka wakachomolewe kwa mtindo gani na wana silaha?? Hayo mabomu ya Vacuum ndio kazi yake sasa, kikubwe UKRAINE wakubaliane na matakwa ya URUSI, kisha wajipange kwa siri sana kutengeneza silaha za kujilinda.
wewe hujui ila sis waarabu wa MISRI LEBABANON na kwengineko tunafaidika zaodi na RUSSIAKwa kitu gani Urusi imara ita/inaifaidisha dunia? Absolutely nothing. Waendelee tu kuua watu Ukraine kwa tatizo la kufikirika.
Hivi history yake imekaaje? naomba nifahamu kutoka kuwa comedians mpaka president“I am ready for negotiations with Putin, but their failure could lead to WW3” - Zelensky
View attachment 2158398
Ila dah
View attachment 2158404
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ProRussia mnaskia uko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anasema "Yuko tayari kwa mazungumzo na Putin wenu na mkishindwa (kufanya mazungumzo) mtapelekea WW3"
Halafu Mimi sina timu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa waliyejaribu kutua khiv na wakafyekwa au wawapi hap!?
Ukitaka source nitakupa zaidi ya moja!