NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Ukraine Kumbe Inawaumiza sana Wanajeshi wa Russia!
Mmeanza upya ... Propaganda za awali zimeshindwa etiAkizungumza kwenye kikao/mkutano chama Cha conservative huko Blackpool Waziri Boris Jonson alisema,
" Ni wazi kwamba Putin amefanya kosa kubwa (catastrophic mistake) na unatakiwa kujiuliza KWANINI kafanya hivyo??
Kwanini aliamua kuivamia nchi hii isiyonahatia kabisa,
Siyo kweli kwamba aliamini Ukraine itajiunga na NATO kwasasa, alijua wazi hakukuwa na mpango wowote wa matarajio za nchi za Magharibi kuweka makombora kwenye ardhi ya UKRAINE.
Waziri Boris alisema,
Putin aliogopeshwa na UKRAINE kwa sababu tofauti, amekuwa na hofu kwasababu UKRAINE wana Uhuru wa habari, na uchaguzi huru,
Ni kwasababu Urusi na Ukraine wamekuwa karibu Sana hivyo mfumo wao unaweza kuwa na athari kwake na Urusi,
Na kwamba Putin anahofu ya kile kinachosemekana kuwa ni MAPINDUZI (Moscow color revolution ) na hivyo kwaukatili anataka kufutilia mbali mshumaa wa Uhuru UKRAINE Jambo ambalo nimuhimu Sana ameshindwa/amefeli.
Waziri pia ameonya Putin mshindi hataishia UKRAINE ataendelea Georgia, Moldova etc hivyo kuanzisha Zama mpya ya Vitisho Ulaya mashariki yote kuanzia eneo la Baltic (baltic region) mbaka bahari nyeusi(black Sea).
View attachment 2157884View attachment 2157885
Takwimu za Russia losses hizi hapa 👇Ukraine Kumbe Inawaumiza sana Wanajeshi wa Russia!View attachment 2157971
Kaishiwa silaha na anawagonga Kwa mawe na makombeo Kwa sasa
Hao ukraine kwa kujipa moyo tu wanajua
Angalia na takwimu za losses za ukraine
Unauchambua uchumi wa Urusi ukiwa Kakamega unachunga mbuziTatizo mnaaminishana ujinga kwenye misikiti, mlidanganywa Putin ndiye atawasaidia dhidi ya Marekani, hamkujua Putin mwenyewe kwa ujiinga wake ameingia kwenye kumi na nane za wale, alisubiriwa sana miaka yote, uchumi wake umedondoka kweli kweli, Urusi inaelekea kuwa shithole kama hapo ulipo wewe, yaani hata waarabu wenye dini yao wameufyata ni nyie masheikh wabongo mnajifanya viherehere.
Hapana ngoja nimuulize general CARDLESS aliyepo upande wa karhkov, ila Battalion yangu hapa Mauripol haihusiki.Russia Mnawalazimisha raia?View attachment 2157968
Ushahidi huu hapa 👇Kaishiwa silaha na anawagonga Kwa mawe na makombeo Kwa sasa