Wanadukuliwa tuu ikisoma location ni za kichwa nato za kichwa zelensky za kichwa mamluki za kichwa woyo woyoLazima itafikia mahala watazungumza ukweli tu...
Taarifa zasema shambulio la Russia kwenye ngome ya kijeshi iliyokuwa na wapiganaji wa kigeni takribani 600 huko magharibi mwa Ukraine, lilifanywa baada ya Russia kudukua simu za waingereza. Yazungumzwa kuwa waliokuwa wanajeshi wa Uingereza pia wamo ktk watu waliouawa na waliojeruhiwa
View attachment 2157714View attachment 2157715View attachment 2157715View attachment 2157715
Kibao kimegeuzwa baada ya Urusi kudhihirisha udhaifu wake, Ukraine walijikita kwenye kuhimili mashambulizi, ila sasa baada ya kubaini adui alivyo na kumsoma, wameanza kushambulia wao pia.
Kila siku huwa nawaambia hakuna takataka yeyote inayoweza zuia makombora ya masafaarefu hakuna cha s 500 Wala patriotsMkuu, hii vita ni Proxy yaani Russia na Marekani wanapigana kwa kutumia Ukraine.
Watu wengi tufuatilio kwa makini tunafahamu hiyo na tumegundua kitambo.
Ila ukae ukifahamu kuwa hizo "Kinzhal missiles" mmarekani hawezi kuzizuia kwa mifumo yake ya ulinzi aloweka Ukraine au ndani ya NATO territory.
Yaani sifa yake ya speed, manoeuvrabililty na altitude inayafanya yawe si rahisi kuyafanyia tracking na interception.
Tuone hizo Switchblade Drones labda zitaweza kusaidia maana hizi ni "tactical unmanned aerial system"
Hizo zipo za aina mbili Swithcblade 300 na Switchblade 600.
Hizo za 600 ndizo Mmarekani ataka azitumie kulipua vifaru na magari ya kivita ya Russia ili kuwapa uwezo wapiganaji wa Ukraine kupigana vilivyo maana zaweza kusafiri maili 6.
Ukiona mtu anavipigia marufuku hata vyombo vyake vya habari visiandike habari za uvamizi unafikiri kuna nini hapo.Uko sahihi kabisa....😀😁Askari wa Russia wamekufa kwa maelfu ila wale Ukraine wamekufa inasemekana siyo zaidi ya kumi😀😀wanaokufa kwa upande wa Ukraine ni watoto, wanawake na wazee yaani ni raia tu wanakufa..halafu juzi Russia imewavizia Askari wa Ukraine waliokuwa usingizini😂😂😂 na kuwaua wachache tu hata Mariupol imekombolewa na huko Kharkiv warusi wamekimbizwa😂😂Yaani warusi bwana wanaua raia tu🤣😂. BBC, CNN, Aljezeera na Sky News oyeee...
Una uhakika hiyo nchi ya Ukraine haikuwa na hatia au hukusikia ule usemi wa JK "za kuambiwa changanya na zako" hadi uwe mfia USA na EU kwa mahaba yote hayo ya propaganda zao[emoji848][emoji28]Akizungumza kwenye kikao/mkutano chama Cha conservative huko Blackpool Waziri Boris Jonson alisema,
" Ni wazi kwamba Putin amefanya kosa kubwa (catastrophic mistake) na unatakiwa kujiuliza KWANINI kafanya hivyo??
Kwanini aliamua kuivamia nchi hii isiyonahatia kabisa,
Siyo kweli kwamba aliamini Ukraine itajiunga na NATO kwasasa, alijua wazi hakukuwa na mpango wowote wa matarajio za nchi za Magharibi kuweka makombora kwenye ardhi ya UKRAINE.
Waziri Boris alisema,
Putin aliogopeshwa na UKRAINE kwa sababu tofauti, amekuwa na hofu kwasababu UKRAINE wana Uhuru wa habari, na uchaguzi huru,
Ni kwasababu Urusi na Ukraine wamekuwa karibu Sana hivyo mfumo wao unaweza kuwa na athari kwake na Urusi,
Na kwamba Putin anahofu ya kile kinachosemekana kuwa ni MAPINDUZI (Moscow color revolution ) na hivyo kwaukatili anataka kufutilia mbali mshumaa wa Uhuru UKRAINE Jambo ambalo nimuhimu Sana ameshindwa/amefeli.
Waziri pia ameonya Putin mshindi hataishia UKRAINE ataendelea Georgia, Moldova etc hivyo kuanzisha Zama mpya ya Vitisho Ulaya mashariki yote kuanzia eneo la Baltic (baltic region) mbaka bahari nyeusi(black Sea).
View attachment 2157884View attachment 2157885
Waendeleee tu kutuma, Wala sio kazi kutuma siraha, watume zote tu.
ZipoUnahisi SA hakuna nchi za Ulaya na Asia anazo zikalisha?
Chanzo cha nini wakati unaona video.Chanzo ni kipi mbona Kam blue and white 😃😃