Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

In the course of a special operation on the territory of Ukraine, while performing military duty, the reconnaissance driver Korolev Dmitry Vasilievich was killed, which was shown by this
 
#Mariupol ' direction, Russian TOS-1A "Sun" (some of the frames are the same as above
 
Kwa huu upumbavu naona heshima imepungua twende kwenye WW3 tu maana Marekani anataka kujifanya bingwa wa Dunia. Wamchangie China na Urusi tuone kama kuna kitu kitabaki zaidi ya magofu tu.
Na kwa mara ya kwanza USA naye ataonja joto la jiwe kwa vitu vizito vizito kutua kwake.
Halafu wakishamalizana wote wataenda kupanga foleni kuomba kwa macho kuvimba.
 
Tank commander Kirilin Nikita from Novokuibyshevsk heroically carried out the assigned combat missions and died
 
Vita ni mbinu.

Russia yatuma ujumbe kwa Ukraine, NATO na Marekani.

View attachment 2156501
Rubani wa ndege ya kivita ya Russia akikagua kombora la Kinzhal wakati wa majaribio hivi karibuni katika eneo lisilojulikana. Picha na Reuters.

Hayo makombora hufyatuliwa kutoka kwenye meli za kivita au kutoka kwenye ndege za kivita MiG-31K ambazo pia hubeba makombora ya nyuklia.

Makombora hayo yalitengenezwa kwa ajili ya kuteketeza meli za kivita za NATO na na mifumo yake ya kujilinda yaani "Air defence systems."

Kitendo cha Russia kutumia makombora hayo jana ni kujibu kitendo cha Marekani kuagiza vifaa vipya vya kisasa vya kuzuia makombora ya Russia lakini si haya ya Kh-47M2 Kinzhal ambayo Russia imesema yana uwezo wa kuvunja mifumo hiyo mipya ya Marekani.
Hakuna kisichojulikana,kuna meli za Russia zilionekana kwenye bahati ya Japan inasadikiwa zilikuwa njiani kuelekea Ukraine na ni meli za kivita.

Najua hii ni kutokana na kujibu mapigo ya mazoezi ya NATO
 
Funeral Kazan Salakhutdinov Danis Nail uly, born in 1987, either a major or an ensign, came under fire near Lugansk on 02/25/22 and died
 
Back
Top Bottom