Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah! Hii video hadi huruma, jameni aliyemuingiza Putin mkenge haitokuja siku asamehewe.....

 
jaman mmesikia kilichotekea saudia leo usiku? mifumo ya ulinzi wa anga ya marekani aina ya patroit iliyopo saudia imefeli kuyatungua makombora na drone za waasi wa yemen. na kupelekea mabomb ya gas kulipuliwa

marekan kwenye air system defense ni sifuri kabisa hafui dafu hata kwa iranView attachment 2157435View attachment 2157436
kama wakiingia vitan na mrusi ulaya itachakaa
Siii sio massage mkuu kutoka kwa putin?
 
Kwa huu upumbavu naona heshima imepungua twende kwenye WW3 tu maana Marekani anataka kujifanya bingwa wa Dunia. Wamchangie China na Urusi tuone kama kuna kitu kitabaki zaidi ya magofu tu.
The United States has proposed introducing additional duties on a number of goods from China.

Such a bill was introduced to Congress by the member of the US House of Representatives from the Republican Party, Ted Budd. RT has read the document.

The politician believes that Beijing "provides financial support" to Moscow against the backdrop of the situation in Ukraine. Support, the document says, consists, in particular, in increasing the volume of purchases of Russian agricultural products.

Along with this, the bill speaks of the need to consider further steps that would be aimed at suspending Russia's participation in the World Trade Organization.
Galip SV Liwagu View attachment 2157823
 
🇸🇰NATO units began to arrive in Slovakia to deploy Patriot systems.

Earlier, the head of the country's defense ministry announced his readiness to transfer his S-300 to Ukraine, only after receiving other air defense systems.

The Russian Foreign Ministry called the possible transfer of the missile system to Kiev illegal and promised that Moscow would not allow this.
 
Russians are 10 times worse, my cousin can attest to that wakati akikua Saratov State Medical University. Jiulize mbona hakuna wafrika ama foreigners wengi huko.
Acha uongo wa kinyang'au
Kuna waafrika karibu 27000 wanachukua elimu ya juu nchini Urusi.

Halafu kwani Urusi ilihusika kwenye biashara ya utumwa kwa mtu mweusi?

Au ilihusika na ukoloni kwa bara la Afrika?
Screenshot_20220320-140928.jpg
Screenshot_20220320-141241.jpg
 
Hezbollah hii ambayo kila mara Israel inashambulia silaha zake zinazotoka Iran.

Kushindwa vita unakuchukuliaje. Urusi ikivamia Ukraine ikaua watu mamilioni ila ikashindwa kukamilisha operation hapo tutasema imeshindwa. Marekani ilishindwa Vietnam kwa kukosa kukamilisha lengo. Lengo la Israel ni existence palepale Arab land. Lengo la Hezbollah ni kuifuta Israel, Israel imefutika? Nani kashinda pale, hata ukija kwa vifo ni upande gani huwa wanakufa wengi zaidi
wikipedia na makamanda wa israel walisema walishindwa vita sasa wewe unabisha nini? Na mkatab wa kusalimu amli ulisainiwa pale UN

PUNGUZENI MAHABA ISRAEL HUWA INAKALISHWA MARA KIBAO TU
 
The Russian claim could not be independently verified and for that matter we treat it as a mere propaganda just like others.
 
Back
Top Bottom