Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Germany raises concerns over gas suppliers


Germany’s vice chancellor has said that next winter’s gas supplies to his country have not so far been secured. Robert Habeck, who also serves as the economy and climate minister, hasn’t ruled out there being a so-called domino effect, with a setback in the gas supply chain causing a knock-on shortage in other facilities.


“If we don’t receive further gas supplies … and the deliveries from Russia are capped or stopped, we wouldn’t have enough to keep all our houses warm and to keep all our industry running,” Habeck said, in an interview with the German radio station Deutschlandfunk.
wakae kwakutulia kenge hawa
VIVA PUT IN
 
Mariupol Ukraine kama Allepo Syria ,Vladimir Putin anakinukisha kama hana akili ,mbogo aliyejeruhiwa. Yale yale ya Allepo mabomu ya Putin yamelipua zaidi ya asilimia 80 ya majengo.Putin,Vladimir Putin is war criminal.
PUT IN natoa dozi kulingana na ugonjwa nahali alonayo mgonjwa
VIVA PUT IN
 
Halafu Mimi sina timu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwangu nyeusi ni nyeusi ?
Kwa mie binafsi kinachonifanya nijitenge na Ukraine ni pale unapokutana na hii list inampa Backup kwa nguvu zote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

1. Bush (Na sasa nasikia kaenda Ukraine)
2. IRGC (Islamic Revolutionary Guard Corps) unaeza chimba deep kuwajua vizuri.
3. Biden (Huyu mwanae anahusishwa na Issue kadhaa zilikuwa zinaendelea apo Ukraine)
4. Soros
5. Pelosi
6. Hillary
7. Obama
8. Macron
9. Trudeau
10. The CIA
11. Romney
12. Hollywood Stars [emoji23][emoji23][emoji23]
13. "Fact checkers"
14. Media [emoji847]
15. MEdia [emoji23]
16. MEDia [emoji848]
17. MEDIa [emoji2958]
18. MEDIA [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Apo kuna wengine wengi sijawataja so ukiona hiyo list lazima ujishtukie juu ya uhalisia wa jambo lenyewe... Hiyo list hakuna msafi hata mmoja. Na wote apo ni ma'Opportunists wazuri mno...

Unaanza kujiuliza "motives" zao n nn... Ukiunganisha na hizi "Punics" wanazozionesha kabisa kabisa najiweka mbali kbs nisije nunua Ugonv usio nihusu kuziumiza hisia kwa chuki kumchukia asiye na hatia...

THE WORLD is FULL of ILLUSIONS... Most of what we have now are just "Perspectives" not a "Truth"...
 
🇷🇺🔁🇮🇳 India’s Central Bank is discussing a possible scheme of direct currency exchange with Russia to expand trade amid the Western sanctions, The Financial Times reports. “Very soon I think we'll get this [a rupee-ruble arrangement],”Dr A Sakthivel, president of the Federation of Indian Export Organizations (FIEO), told FT.
LoL ila wahindi ni marafiki wa dhati kabisa wa Urusi ,wanamisimamo thabiti,
Pia Brics inchukua nafasi hapa
Nimewapenda bure
 
Alafu utakuta huyo kuanzia viatu Hadi barabara analotembelea imeandikwa kwa msaada wa watu wa Marekani.
Hakuna msaada au Jambo lolote la maana unaweza kupata kutoka Russia.

Russia ni wabinafsi sana kuhusiana na transfer of Technology.
usipende misaada pambane upate vyako
VIVA PUT IN
 
Aliyasema JF? Blinken yuko JF hapa. Humu JF hatujawahi sema Ukraine ashinde, ugomvi wetu ni performance mbovu ya Russia. Humu hatujawahi jadiliana na Antony Blinken. Unaniulizaje kauli za mtu mwingine, muulize yeye
RUSSIA hana perfomance mbovu anaupiga mwingi kama inavyotakiwa
na anaplay smart sana yupo mwenyewe anaipiga nchi kubwa kieneo naambayo inapata sapot kutoka kwawakubwa nahili hawajalificha hao wakubwa
IRAQ na LIBYA zilisaidiwa nanani?
IRAQ na LIBYA ziliekewa mpak No fly zone ila kwa UKRAINE hawajaekewa
IRAQ na LIBYA walipigwa namataifa zaidi ya 15
VIVA PUT IN
 
Self defeating statement, huoni mwamba ameandika neno 'SIDHANI'. Sote tulijua ndani ya wiki Ukraine kutakua na raisi mpya, mwezi umepita bado dwarf Putin anahangaika [emoji16][emoji16]
sote na nani?
musitujumuishe kwenye mawazo yenu ya hovyo
 
View attachment 2157759

Raia wanapewa mafunzo ya silaha, yani wanakuwa trained kuwa askari baadae RUSSIA akiwauwa wanalalamika wanauwa Raia..Raia hao hao wanajificha kwenye makazi huku wakiwa na Bunduki na kuwavizia WARUSSI wawauwe, Russia akipiga majumba yao wanalalamika anapiga makazi.. Rais wa Ukraine atalaumiwa daima kwa mauwaji ya Raia wake kwa ujinga wake. Comediani anafanya comedian mpaka kwa maisha ya watu, kutwa yuko vedio mara nimeuwa warusi elfu kumi, Russia akiwabonda wanalialia kama wanaweza kuuwa askari elfu kumi basi wana nguvu waache kulialia.
waache walalame sisi tutakapojua wamejificha tutapeleka moto
hata kama kuna wazee nawatoto watakua wameponzwa na rangi zao
 
taarifa kutoka vyanzo vya israel na magharibi zinasea kuwa mkuu wa shirika la ujasusi la urusi FSB Colonel-General Sergei Beseda yy na makamu wake wamewekwa kizuizini huko urusi
 
Back
Top Bottom